BABU MWENYE NYUMBA (5) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 26 Mei 2022

BABU MWENYE NYUMBA (5)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Geofrey Mustafa

SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
"Babu naomba uenda bwana, ivi mbona unataka kuniaribia ndoa mwenzako ndio nini ivyo sasa..mi sijapenda tena nimekoma...!!"
Baada yakuongea ivyo, ndipo naye Babu akamjibu huku akimuachia;
"Sawa nakuacha lakini elewa mpaka saizi bado sijakutia, inamaana huitaki mboo yangu..??"

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI
πŸ‘‰GUSA HAPAπŸ‘ˆ

SASA ENDELEA...
Groly akawa anamjibu huku anavaa chupi yake haraka haraka kinyama;
"Usijali mbona ata naenjoy Sana, yani sipati picha siku ikiichomeka iyo ndonga yako nahisi ntapata raha ambayo sijawahi kupata kabisa"
Basi Babu akaanza kuondoka zake taratibu kabisa, lakini kabla hajaufikia mlango, mala Kadodo akamwambia Groly; "Ngoja nirudi zangu sebureni maana naona mashetani yako yakupiga kelele yamesafiri...!!

Basi Groly kuona ivyo ikabidi ajiongeze haraka Sana kwa kujifanya anamkaribisha Babu kumbe Babu alikuwa hapo hapo ndani;
Groly; "Karibu Babu, samahani yani umeingia mpaka ndani wala sijakuona mweee..!!
Basi naye Babu kwa mbembwe akajifanya kujibu huku akielekea kwenye sofa kukaa;
Babu; " Yani enzi zangu Mimi nakua, mgeni kabla ata hajafika eneo la uwanja wenu anaanza kupiga odi, na Unatakiwa umsikie kisha uwahi kwenda kumpokea chochote alafu unamleta mpaka nyumbani, lakini saizi mambo yamebadilika kabisa hakuna kupiga odi tena ukifika mlangoni unakutana na switch ya kengere...na omba alie karibu na iyo kengere awe mstaharabu vinginevyo Kama ndio unaiza mchicha basi wote utanyaukia hapo getini na jua ukisubiri geti lifunguliwe...!!"
Basi baada ya Babu kumaliza kuongea wote wakacheeka kisha Kadodo akamwambia Groly; "Aisee Groly ebu mpatie kinywaji chochote Mzee baruani hapa"

Basi Groly haraka akamimina juice ya embe ambayo uwa inakuwepo muda wote kisha akawa anamletea Babu, lakini kabla hajamfikishia ile juice Kadodo akainuka kuelekea chumbani tena. Basi ile Groly anafikisha tu juice mezani Babu akamshika mkono nakumvuta kisha akamnyonya ulimi Kama sekunde sifuri ivi mala sauti ya Kadodo ikaita toka kule chumbani;
"Weee Groly nakuomba mala moja uje"

Wakati Groly anajifuta futa mdomo wake, Babu akamwambia; "Yani naomba ufanye juu chini mpaka tutombane leo Sawa mpenzi..??"
Groly akamjibu kwa kutikisa kichwa juu chini Yani akimaanisha sawa amekubali.
Kisha uyoo akaenda zake chumbani alikokuwa ameitwa na mumewe Kadodo;
Groly; "Nimekuja mume wangu mpenzi"
Kadodo; "Ivi Groly, mbona unaanza kuleta mabadiliko yakijinga jinga hapa..!!"
Groly; "Mabariko gani tena jamani mpenzi..!!"
Kadodo; "Ivi ilo gauni ndio lakuvaa mbele za watu ilo...kwanza linaangaza pili limeacha wazi sehemu kubwa yakifua chako, kibaya zaidi sikujui ata nguo za ndani umevaa..!!??"
Groly; "Jamani mume wangu, kweli ndio kosa lakunifokea ilo jamani. Hapa ndani tupo wawili tu Mimi na wewe na ndio maana nilipofika nikatoa nguo za kazini nikavaa ili gauni ili nianze kupika, na ata ulipofika wewe sikujali maana wewe huu mwili ni mali yako Sasa kosa langu nini hapo mume wangu...??"
Kadodo; "OK, naomba yaishe twende subureni"
Groly; "Kadodo mume wangu nakupenda, sitaki nikuudhi Kama uyo Babu labda yeye kaingia ghafla tu bila ata odi...!! Nimemuona akiwa tayari yupo ndani sasa ningefanyaje na mboga zilikuwa kwenye moto..!!"

Basi baada yakumaliza mzozano wakimya kimya atimaye wakatoka sebureni muda uo Babu alikuwa tayari amemaliza ile juice;
Kadodo; "Ndio Mzee naona tumekuacha peke yako bwana, samahani Kwa ilo"
Babu; "Wala Usijali Kijana, ata Mimi sio mkaaji ila nilikuwa nimekuja kukwambia kuwa kuna rangi nyingi tu zipo store, kwaiyo ukijisikia kubadilisha au kung'alisha basi utanijulisha nataka uishi hapa mpaka upate kiwanja na ujenge nyumba yako au nakosea Mama..??"
Akadakia Groly aliyekuja muda uo toka chumbani alikokuwa amebaki kubadilisha nguo alivaa kieshima kabisa mpaka Kadodo akafurahi kuona ivyo. Basi Groly akasema;
"Ni kweli Babu kuama hama nyumba sio vizuri"

Basi Kadodo akamwambia Babu; "Nimekuelewa Mzee ngoja tuangalie mwisho wa mwezi naweza kubadilisha muonekano wa hii rangi ya ndani naona kama imepauka kidogo. Baada ya hapo Mzee baruani akainuka zake kisha Mdogo Mdogo akawa anenda zake nje, kweli mjini Chuo kikuu, kum* kanyonya bado na juice nayo kwa mlija kanyonya lakini bado na ndonga yake pia kanyonywa...!! Daah!! Lazima Babu anenepe bila kula.

Wakati Babu anaufuangua mlango ili aende nje Groly akamdokeza kwa sauti ya kitoto; "Babu kaa tunapika Babu...! "
Ata ivyo alikuwa amechelewa kwani Babu alikuwa tayari kaisha potelea nje. Ilikuwa tayari saa kumi na moja jioni muda ambao Kadodo ndio uwa anakula chakula cha jioni akidai anaenda sawa na utafiti wa maladhi ya figo ambayo uchochewa Sana na tabia yakuchelewa kula alafu hufanyi kazi ngumu.
Wakati Kadodo yupo mezani kupata chakula na mkewe mala ghafla umeme ukazima...!!
Kadodo; "Daah!! Aisee mambo gani tena aya..!!" Groly; "Mmh! Sikujui itakuwa Luku, sijui umeme umekatika sijui ni nini..!!
Kadodo; "Nadhani ni Tanesco maana nimeangalia kupitia hapa dilishani naona ata kwa majilani kuna giza pia..!!"
Groly; "Khaa! Alafu ata Taa ya Solar hatua..!!"
Kadodo; "Nenda kachukue mshumaa hapo dukani tuje tule mambo mangine yaendelee"

Basi Groly akatoka zake huku kawasha torch ya Simu yake, wakati anaenda dukani akakutana na yule Kijana aliyekuwa na Babu basi wakapishana tu bila ata salam. Ila wakati anarudi sasa alipofika tu karibu na geti lakuingilia kwenye face kwao akasikia sauti ya Babu ikimwita Kwa pembeni kidogo. Basi ikabidi aende na kweli alimkuta Babu akiwa...!!

Groly akafika mpaka pale alipokuwa amekaa Babu kwenye muharobaini, Babu akamvuta Groly huku akimwambia; "Njoo tuitumie hii nafasi ya giza kumalizia kipande chetu cha filamu sogea mtoto mzuri"
Lakini kwa upande wa Groly haikuwa ivyo maana aligoma kabisa, huku akimsihi Babu awe mvumilivu tu yeye yupo kwa ajili yake; "Babu naomba uwe mvumilivu vinginevyo tutakuja kufumaniwa alafu ikawa balaa, acha saizi Mimi nipeleke ndani huu mshumaa"
Babu; "Sasa unadhani kuna nafasi nyingine tena inaweza kutokea kama hii mpenzi..??"
Groly; "Usijali Mimi nipo kwa ajili yako, kwaiyo usiwaze kabisa niache niende sawa"

Basi Babu akawa ameponyokwa na mnofu wa nyama mikononi mwake, Groly taratibu kabisa akasepa zake nakumuacha Babu pale pale gizani kaganda kama moto anaye cheza ule mchezo wakujificha au kamfumbukile.
Basi mpaka ikafika SAA tatu za usiku umeme ulikuwa bado kurudi, kutokana na hali iyo Kadodo aliwahi Sana kulala maana hakuwa na chakufanya ivyo ikamlazimu na Groly kulala pia maana ataenda wapi umeme umekatika kote.  Sasa Kama unavyo jua jiji letu lilivyo na joto kibaya zaidi Groly kazariwa ndani ya friji yani Njombe kwaiyo kwake ilikuwa ni mateso... Jasho lilikuwa linamtoka mwili mzima mpaka Kadodo akamwambia asogee pembeni kidogo au aende sebureni akapunge upepo.
Basi wakati Groly na Kadodo wakizungumzia joto kumbe na upande wa Pili yani kule kwa Babu mwenye nyumba mambo yalikuwa ivyo ivyo... Wao walikuwa wanatumia Taa za Solar ivyo ndani kwao kulikuwa na mwanga, basi Babu alipoona uzarendo umemshinda kulala karibu na mkewe akaenda zake dilishani kisha akawa anapa upepo mwanana kabisa.

Lakini akiwa pale dilishani hakuamini kabisa macho yake alipomuona Groly akitoka nje huku akiwa kajifunga kanga kwa style ya shingoni ivyo ni lazima mapaja yake yabaki wazi karibu robo tatu yake ivyo kipande cha paja kinacho baki ndio kile kilicho iziba Kuma yake..!! Babu akajikuta kapata BARIDI Kali mwili mzima, basi akarudi chumbani kisha akamwambia mke wake; "Aisee Mimi naona niende tu nje kabisa"
Mkewe akamwambia kufanya nini tena huko nje jamani Mzee baruani?
Babu kwa hasira huku akitoka mle chumbani, akamjibu; "Naenda kurudisha umeme, maana naona wewe mwenzangu husikii joto kabisa."

Basi Babu haraka akatoka zake nje lakini alishangaa tena..! Maana hakumuona Groly...!! Roho ilimuuma Sana akalegea mwili mzima...kutokana na hasira akaona bora akae tu hapo hapo nje, maana akirudi ndani lazima atagombana na mkewe.. Lakini akawa anajiuliza yule alikuwa ni Groly kweli au jini...!! Mbona katoweka ghafla kama.lakini akajisemea ata liwe jini Mimi natomba tu kama maisha tayari nimesha kula Sana tu.
Basi Babu akiwa kakata tamaa kabisa huku kajiinamia zake anakumbuka enzi izo akiwa Kijana alivyo kuwa anawachapa mpini....!
Akiwa bado yupo ndani ya kumbukumbu zake za ujanani, mala akasikia sauti ya Groly; "Wee Babu unafanya nini saizi hapa nje..?"
Babu aliona Kama.....

Babu alishtuka Sana kumuona Groly kaibuka ghafla ghafla vile..hapo akaanza kuhisi labda uyu kweli ni jini maana hii hali sio ya kawaida, basi Babu ikabidi apunguze zile shobo zake maana roho yake tayari ilishaingiwa na woga. Lakini masikini binti wawatu wala ata mashetani tu kichwani hakuwa nayo, basi Babu akamuuliza Groly; "Aisee siamini Kama nimekuona  maana nilikuona nikiwa ndani, sasa ile nitoke nje nashangaa sikukuona tena..! Nikajiuliza maswali kibao nikaamua kutulia zangu tu hapa, aya nambie ulikuwa wapi..??"

Basi Groly huku akitabasamu akamwambia; "Mbona nilikuwa umo bafuni jamani..!"
Babu kusikia ivyo akamjibu haraka; "Aha! Kumbe ulikuwa kuosha kitumbua, nadhani leo mumeo kafanya yake au sio..!!"
Groly akamjibu huku akianza kuondoka; "Akha! Wala hajafanya chochote, nilikuwa napunguza joto tu mwilini bwana..!!"
Basi Babu kuona Groly anaondoka ikabidi amzuie kwa kumshika mkono huku akimwambia, "Unaenda wapi sasa bibie mbona ivyo sasa....Njoo bwana..!"
Groly huku akivunga vunga akaweka ndoo chini kisha akamuuliza Babu; "Babu tutafanyia wapi sasa jamani, naomba tupange siku nyingine.!!

Babu kusikia vile akajua kumbe mtoto anataka kutiwa ila anazuga tu, basi akamfuata akamshika mkono nakuanza kumkokota kuelekea kule kule bafuni alikotoka muda mfupi tu Groly, basi wakazama mpaka bafuni huku Groly akimwambia Babu; " Naomba nitombe haraka niondoke maana nimetoka muda mlefu kidogo kwa mume wangu, naogopa hasije kushtuka alafu akanifuatilia..!"
Babu akamjibu; "Ondoa shaka Bibie, leo sina muda kabisa wakupiga picha na kum* yako..!! Leo naanza na show moja kwa moja.."

Wakati yote ayo yakiendelea huku nje, kule ndani mke wa Mzee Baruani naye alihisi joto Kama limemshinda akaona bora aende nje akaungane na mume wake kupunga upepo wakati wanasubiria uluma ya tanesco. Akaanza kujivuta toka pale kitandani na safari ikaanza kuelekea nje kwa mume wake Mzee Baruani ambaye muda uo alikuwa dunia nyingine kabisa kiakili yani ulimwengu wa raha ya mwisho duniani. Mke wa Babu mwenye nyumba alishangaa Sana maana pale nje hakuona ata dalili yoyote yakuwepo mumewe..!! Alijiuliza sana atakuwa kaenda wapi uyu Mzee saizi...!!??

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAMπŸ‘‡BONYEZA HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni