Notifications
  • MY DIARY (42)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA MBILITULIPOISHIA...Uzalendo ulinishinda ikabidi nimuulize ni kwanini bado wanatumia njia hiyo ya kizamani kutunza kumbukumbu wakati siku hizi kuna kitu kinachoitwa Human Resource Informaion system ambapo kumbukumbu zote za wafanyakazi kama waliochishwa kazi, wagonjwa, walioenda likizo ,waliopandishwa vyeo na taarifa nyingine muhimu uhifadhiwa kwa kutumia komputa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (41)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA MOJATULIPOISHIA...Mark anashangaazwa sana na mwanamke huyo lakini kwa kuwa shida yake ilikuwa ni hela anaamua kuachana nae na kuanza maisha mapya hapo jijiini Dar es salaamMaisha yanaendela lakini Mark amekuwa tajiri na mtu mwenye mafanikio sana kiuchumi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Pamoja na mafanikio hayo ni mtu ambaye mapenzi bado yalikuwa yakimuumiza siku hadi siku.Filamu…
  • MY DIARY (40)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINITULIPOISHIA...Alikuwa akinyata kwa kweli. Kweli hata mimi nilimkubali tu siku ya kwanza ingawa bado nilikuwa sijajua ufanisi wake wa kazi.Nilikaa nae hapo kwangu kwa mda wa siki tatu huku asubuhi tukiamka na kuendelea na kazi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ndani ya mda huo nikagundua kuwa alikuwa na uzorfu mkubwasana hivyo kazi hiyo alikuwa akiimudu kabisa.Hapo sasa nilimkubali sana…
  • MY DIARY (39)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TISATULIPOISHIA...Nilikuwa na furaha sana huku nikiamini kuwa ndoto zangu za kuja kuwa mtu maarufu zinaweza kufanikiwa hata kabla ya kuyapata yale madini. Sikutaka mbwembwe niliamua kuikopi na kuipesti hiyo stori kama ilivyo na kuifowadi kwa Mark.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kama lisaa hivi Mark alipiga na kuniuliza kama kweli ilikuwa nai mimi nimetunga hiyo…
  • MY DIARY (38)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Usiku nilishituka usingizini baada ya mbu kuning’aata na kunisumbua sana. Niliwachukia sana hao mbu kwa sababu walinikatisha ndoto yangu ambayo nilikuwa nikiota.Ndoto ilikuwa ikielezea jinsi harusi yangu na Mark itakavyokuwa. Ndoto ilikuwa tamu sana maana ilinipa taswira ya picha halisi ya maisha yangu ya mbeleni.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilishusha neti…
  • MY DIARY (37)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SABATULIPOISHIA...Hapo alitulia tulii kama mtu aliyeaamia dunia ingine. Kimoyo moyo nikawa najisemeha kama amehamia dunia ingine na kuanza kuwaza ujinga sahuri yake mimi nipo kazini bwana acha nitafute hela. Ndio ni lazima nifanye kazi kwa utaalamu na utundu wa hali ya juu ili waendelee kusimuliana huko mjini ili niendelee kupata hela.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Wewe…
  • MY DIARY (36)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SITATULIPOISHIA...Sasa wewe fikiria mimi niliyeletewa zawadi sikujua ni zawadi gani lakini yeye tayari alishafungua na kuchungulia na kujua nini kilifungwa huko ndani.Basi nikaendelea kumuhudumia yule mama huku na yeye akiniambia kuwa itabidi nikimmaliza hizo zawadi tusifungue hapo hapo na waniimbie wimbo wa happybirthday.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Tuliendelea na stori mbili…
  • MY DIARY (35)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TANOTULIPOISHIA...Tatu niliambiwa kuwa ndugu zake na wazazi wake walihusika kwenye mipango hiyo hivyo walibariki kabisa huyo binti kuniacha mimi mumewe wa ndoa na kuamua mtoto wao aolewe upya. Nne ni kwamba huyo mzungu amewaamishia wazazi wake mjini na amewajengea nyumba ya kifahari.Kwa hiyo mimi ninavyowapigiana simu na kuwajulia hali kumbe wenzangu huwa wananichora tu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

BABU MWENYE NYUMBA (6)

Mwandishi: Geofrey Mustafa

SEHEMU YA SITA
ILIPOISHIA...
Akaanza kujivuta toka pale kitandani na safari ikaanza kuelekea nje kwa mume wake Mzee Baruani ambaye muda uo alikuwa dunia nyingine kabisa kiakili yani ulimwengu wa raha ya mwisho duniani. Mke wa Babu mwenye nyumba alishangaa Sana maana pale nje hakuona ata dalili yoyote yakuwepo mumewe..!! Alijiuliza sana atakuwa kaenda wapi uyu Mzee saizi...!!??

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI
👉GUSA HAPA👈

SASA ENDELEA...
Lakini akaamua kupuuza tu maana Kama umri wao tayari umeenda kwaiyo ata mambo ya wivu hayakuwepo japokuwa mapenzi hayana mwisho. Lakini ile anataka kuanza kurudi ndani akashangaa kuona ndoo ndogo mlangoni kwa kina Kadodo alipoisogerea karibu akagundua kuwa ile ni ndoo yakuogea maana ilikuwa na kata pamoja na sabuni Imperial au Carson pamoja na kitambaa...!! Lakini cha ajabu kilicho kuwa kinamshangaza yule Bibi ni kwamba ile ndoo ilikuwa bado mbichi kabisa ikimaanisha kuwa mtu alitoka kuogea muda mfupi tu...!!

Hapo sasa Bibi ikabidi atumie akili yake ya ziada maana yeye tayari kala chumvi nyingi alafu isitoshe ayo mambo kayapitia sana tu, basi akajua kwa asilimia tisini mumewe lazima atakuwa na mahusiano na uyu binti mpangaji wao kwaiyo kwakuwa yeye anafanya kazi ofisi za haki za BINADAMU akaona ni vema ili swala na Kadodo alijue ili aone upumbavu anao ufanya mke wake ikiwa ndoa yao ingali bado changa kabisa alafu bado ata familia hawana..!

Basi yule Bibi haraka akaenda dirishani kwa upande wa kitanda cha kina Kadodo kisha akaanza kuita; "Weee Kijana....Weee Kijana...Amka haraka ni Mimi Mama mwenye nyumba hapa..!!"
Basi Kadodo akamsikia kwa shida huku akiwa bado na usingizi mzito akawa anampapasa Groly huku akisema; "Weee Groly ebu msikilize Bibi anataka nini au anasemaje..!"
Lakini aligundua kuwa pale kitandani alikuwa peke yake, hapo sasa usingizi ukamuisha wote na sekunde iyo iyo macho yakawa makavu kabisa ndipo akajifunga taulo tu huku akimwambia yule Bibi; "Nakuja haraka Bibi, kwani kumetokea nini tena jamani..!!????"

Haraka Kadodo akatoka mpaka mlangoni, cha kwanza akakutana na ndoo alipoicheki akaona sababuni pamoja na kitambaa cha mkewe Groly...!!! Hapo haraka akamsogerea yule Bibi nakumuuliza; "Bibi mbona sielewi bado..! Ebu nieleweshe haraka basi Mama yangu..??"
Bibi akamwambia kwanza; "Kijana wangu ukisikia ukubwa ndio huu unaanza kukufika kwaiyo naomba uwe na kifua cha kiume ili uweze kulipokea ili tukio baya na kubwa kwenye maisha ya mahusiano na ndoa kwa ujumla husipo fanya ivyo ukitumia hasira utakuja kujuta baadaye..!!"
Kadodo akaanza kupata picha lakini tatizo aelewi iyo picha imepigiwa wapi au inapigiwa wapi mpaka muda huu, basi akamsogelea karibu kabisa yule Bibi kisha akamwambia kwa sauti ya chini yenye msisitizo; "Mama niambie sasa kimetokea nini au nini kinaendelea mpaka usawa huu Mama..???"
Hapo ndipo Bibi akaamua ku.....!!

Basi Bibi akaona hisiwe tabu kwakuwa mumewe kayataka mwenyewe ngoja ayapate sasa maana umri umeenda lakini bado anafanya ujinga. Ayo yalikuwa mawazo ya yule Bibi aliyekuwa akijifunga kikoi chake vizuri huku akimuelekeza Kadodo akimuongezea na maneno ya uchochezi; "Mjukuu wangu Kama ulidhani umepata mke pole yako, yule sio mke ukitaka kuamini ilo nenda kwenye iyo bafu ta wote ukashuudie....!! Ila naomba husijichukulie sheria mkononi utakuwa umefanya makosa.!!"

Basi Kadodo akaenda kwa kasi ya risasi akapiga teke ule mlango, akazama nao mpaka ndani....!! Mala ikasikika sauti ya Groly; "Mamaa yamenikuta niliyikuwa nayatafuta....!!
Mala kikasikika kibao " Paaaaaaa....!!*** niambie uyoo Mzee yukwapi..???
Alikuwa ni Kadodo akimwambia Groly, maana alishangaa Sana kumkuta Groly akiwa peke yake mle bafuni huku akiwa uchi na nguo yake ilikuwa imetundikwa kwenye enga ya mle bafuni...!! Groly akamjibu Kadodo huku akimshika miguu akilia kilio kizito; "Kadodo mume wangu sijafanya naye chochote niamini mume wangu nakuomba..!!"

Wakati uo yule Bibi alisogea mpaka mlangoni, aliposikia Kadodo anauliza kuwa Mzee yukwapi hapo ndipo. Bibi akajua uenda mume wake ametumia dawa fulani yakujificha ndani ya Giza ambayo ilitumika sana kwenye vita ya kagera na askari wetu waliokuwa wanafanya upelelezi ndani ya imaya ya IDD amini dada, Bibi akasema; "Sikubali kabisa  yani uyu mpumbavu anataka kunifanya Mimi nionekane muongo, ngoja niende kumchukulia Antibiotics yake Leo analo mkosa aya huyu..!!"
Basi Bibi akatembea haraka haraka kuelekea chumbani kwake, na muda mfupi tu akawa amerudi, akaenda moja kwa moja mpaka pale kwenye eneo la tukio muda uo tayari na yule Kijana aliyekuwa amekuja na Mzee baruani alikuwa naye amesha amka kwaiyo alikuwa yupo pale eneo la tukio. Basi Bibi akajifanya kuuliza; "Wajukuu zangu kumetokea nini hapa jamani wanangu..??"

Basi Kadodo kwakuwa alijua Bibi aliuliza vile makusudi, ikabidi naye Kadodo ajifanye kumsimulia;
"Yani kama unavyo ona Bibi uyu katoka muda mlefu sana kule chumbani akidai anaenda kujimwagia maji ili apunguze joto, lakini tangu alipotoka mpaka saizi ni zaidi ya saa zima..!! Nikaona bora nifuatilie maana saizi ni usiku lakini nilipofika hapa bafuni kabla sijagonga nikasikia sauti za mahaba sikuamini kabisa..!!"
Bibi akajifanya kuuliza tena;
"Kwaiyo alikuwa na nani na uyo mwingine yukwapi sasa ili taratibu zingine zifuatwe..!!"
Kadodo akamwambia, muuliza uyu Malaya maana ata Mimi nimefungua mlango tena kwa kuvunja lakini sijakuta MTU zaidi ya uyu Malaya wake..!!

Bibi akatabasamu kisha akatoa kiberiti nakuchoma dawa fulani ya majani makavu inaitwa mafumbasha, ilipowaka kidogo akaizima kisha ikawa inatoa Moshi TU.
Mala ghafla Babu mwenye nyumba akatokea kwenye moja ya kona huku akikohoa peke yake.. Koho..kohokohooo..!!!
Muda uo huo na umeme ukarudi kukawa kweupe balaa hapo sasa kila kitu kikawa live..!!
Kadodo; "Yani Groly Wewe ndio wakutembea na mbabu kama uyu kweli Groly... Ivi umekosa nini kwangu Groly...!! Kweli wanawake hamna shukrani kabisa Aisee..!!"

Alikuwa anaongea Kadodo mpaka anatoa machozi, maana katoka kumuona majuzi tu, muda uo Mzee Baruani alikuwa kainama tu huku akijua aliyekuwa kaleta dawa ni mke wake tu hakuna mwingine maana Kadodo alikuwa tayari kashindwa kumuona kabisa.
Basi baada ya Kadodo kuendelea kuongea pale huku akitaja taja mpaka majina, ikabidi yule Bibi amshike begani huku akimwambia; Punguza hasira ebu bana kifua Wewe mwanaume bwana, yanini uongee yote ayo wakati inaonekana wazi kabisa nini kilicho tokea na wahusika tunao hapa..!! "
Baada yakumaliza kumwambia maneno machache Kadodo, akawaambia wote wamfuate ndani kwake maana wakiendelea kukaa pale watakuja kusababisha watu wajue alafu ikawa aibu kwa kila mmoja.
Lakini Kadodo yeye aliendelea tu kusema; "Bibi naomba mnielewe kuanzia sasaivi simtaki uyu mwanamke ni alamu kwangu..!!"

Lakini Bibi akamjibu huku akimsihi; "Kadodo naomba uwe mpole mjukuu wangu, kwanza mkeo kasema hawaja fanya chochote alafu pia kumbuka wanawake wote ni wale wale utaacha wangapi mjukuu wangu, punguza hasira ngoja nikamfanyie uchunguzi sawa mwanangu...!!?"
Hapo kidogo Kadodo akawa mpole akaacha kuongea ongea, akasema tu "Sawa Bibi lakini... Roho yangu haina Amani kabisa"
Bibi akamjibu; "Naomba potezea kabisa chukulia kawaida vinginevyo utachukua maamuzi Malaya alafu ukajutia, utamuacha uyu alafu ukaja kumkumbuka shauri yako.!!"

Kwa upande wa Babu alikuwa Kama kashonwa mdomo vile kwanza alikuwa na hasira kwanini kafumaniwa wakati bado hajampiga pumbu Groly mwenyewe...!! Pili alikuwa kachukia kwanini mke wake kamwaibisha kwa kuleta ile dawa ya mavumbasha...!! Lakini yote tisa kumi ni je; Kadodo akiamua kuvunja mkataba nakuama si ndio atakuwa kaikosa kabisa kuma yenyewe mazima..!!  Hapo Babu ndio hasira zikazidi...hakukubali kula Kwa macho.!!
Ayo ndio yalikuwa mawazo ya Babu mwenye nyumba kichwani mwake.

Wakiwa wameketi pale sebureni kwa Mzee Baruani watu watatu yani Kadodo yule Kijana mgeni wa Babu alafu na Babu mwenyewe, muda uo Bibi alikuwa chumbani pamoja na Groly. Basi Bibi akaanza kumpanga Groly aseme uongo kumsingizia Babu ili aokoe jahazi lake la ndoa  ambalo linaelekea kuzama..!; "Bibi ebu niambie ukweli ilikuwaje mpaka ukafikia hatua hii mjukuu wangu..??"
Groly akamjibu; "Bibi ni shetani tu maana Kadodo yupo busy sana hanipi haki yangu ya ndani, kwaiyo Babu alianza kunifuatilia toka muda mlefu Sana tangu yule house girl akiwepo nilitamani nikwambie lakini nikaona itakuwa sio vizuri Mimi ni MTU mzima ngoja nimkatalie tu basi ikawa ivyo. Lakini leo ndio aliponiona nakunijaribu nikashindwa kujizuia Mimi Bibi....! maana nina nyege sana...!! Kadodo hanitombi kabisa nakosa raha ya ndoa...nisamehe sana Bibi..!!"

Bibi akamjibu; "Nikusamehe nini mjukuu wangu, kama kutombwa na uyo Mzee Baruani nimesha tombeka sana wee fikiria tangu mwaka 1963 mpaka leo mwaka 2017 kuna miaka mingapi hapa, alafu eti niendelee kumuonea wivu au kukuchukia wewe sina mpango kabisa mjukuu wangu. Ila tatizo lipo kwako mwenzangu ambaye ndoa yako ndio kwanza haina ata mwaka mmoja..!!"
Basi baada yakumaliza kuongea Bibi akamfuata Kadodo nakumwambia kila kitu huku akimsihi kuwa Groly hajafanya mapenzi kabisa na Mzee Baruani, ata ivyo ashukuru kwani  Groly anamsimamo kwani alimkatalia kabisa Mzee Baruani...!! Na ndio ikawa bahati nzuri tumewaona wakiwa bado... Alafu pia tatizo lipo kwako Kadodo maana nasikia hampi unyumba mkeo unajifanya upo busy muda wote... Sasa ilo ni tatizo je angechepuka huko nje ungejua....!! Uzembe wako mwenyewe ata ningekuwa Mimi nisinge vumilia kabisa akah..!"

Basi Mzee Baruani akaomba msamaha sana pale hasa kwa Kadodo ambaye alikuwa jicho nyanya, Kadodo akasema amemsamehe Mzee Baruani isipokuwa Groly ndio hawezi kumsamehe mpaka waende kupima ili apate uhakika Kama kweli hakumsaliti. Baada yakumaliza kuongea ivyo Kadodo akainuka nakuondoka zake huku akimuacha Groly pale pale sebureni kwa Mzee Baruani akiwa na yule Bibi. Basi ikabidi Babu aende kulala na yule Kijana wao ambaye ni mgeni kisha Groly akaenda kulala na Bibi, huwezi amini Kadodo kila akilifikiria umbo zuri na tamu la mkewe Groly mboo yake ilidinda nakujikuta akijuta kwanini kamuacha kule ndani... Wakati Babu naye yupo huko huko hapo ndio akaikumbuka ile nyimbo ya Peter Msechu  anayoitwa hasira hasata. Akili alijua kweli Groly hakufanya mapenzi na yule Babu ilo akamsifia mkewe lakini alikuwa analeta ubishi ubishi tu ili naye aonekane kachukia sana.
Kwa upande wa Babu baada yakuona amekosa kabisa usingizi, akaamua kwenda chumbani kwa ili......!!!!

Babu aliamini kabisa endapo wakienda kupima ikaonekana kweli Groly hakufanya mapenzi basi wanaweza kuama kabisa na nyumba yenyewe alafu yeye akawa ndio kamkosa mtoto wakihehe mazima..!!

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
42 Babu Mwenye Nyumba Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni