BABU MWENYE NYUMBA (6) JINA: BABU MWENYE NYUMBA Mwandishi: Geofrey Mustafa SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Akaanza kujivuta toka pale kitandani na safari ikaanza kuelekea nje kwa mume wake Mzee Baruani ambaye muda uo alikuwa dunia nyingine kabisa kiakili yani ulimwengu wa raha ya mwisho duniani. Mke wa Babu mwenye nyumba alishangaa Sana maana pale nje hakuona ata dalili yoyote yakuwepo mumewe..!! Alijiuliza sana atakuwa kaenda wapi uyu Mzee saizi...!!?? KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Lakini akaamua kupuuza tu maana Kama umri wao tayari umeenda kwaiyo ata mambo ya wivu hayakuwepo japokuwa mapenzi hayana mwisho. Lakini ile anataka kuanza kurudi ndani akashangaa kuona ndoo ndogo mlangoni kwa kina Kadodo alipoisogerea karibu akagundua kuwa ile ni ndoo yakuogea maana ilikuwa na kata pamoja na sabuni Imperial au Carson pamoja na kitambaa...!! Lakini cha ajabu kilicho kuwa kinamshangaza yule Bi…