MAHABA NIUE (23) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU ILIPOISHIA... "lile shati hali kumtosha vizuri, sasa kaka yangu nili kua nataka nilirudishe hapa kwako," "sija kuelewa vizuri" "yaani nime leta lile shati lako, sito linunua tena" "dada sikia. hilo halitowezekana hata kidogo, sifanyi biashara izo hapa, ivi mfano dada angu, wateja wote wange kua kama wewe una fikiri ingekuaje"? KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Sio ivyo , ndo maana nika kuomba" "hilo hali towezekana, tafuta ela ya shati ulete nikupe simu yako, embu muache makusudi basi" Ramsey aliongea vile huku akimuacha martha akiendelea kuta fakari, hakutaka kuongea nae tena sababu kitendo kile ana chokitaka asinge kubali kuki fanya, "dada katafute iyo hela," "sawa" Martha aliongea huku akitoka nje. waliongea na prosper stori za hapa na pale , baadae ilipofika jioni Ramsey alimuacha Prosper na kumwambia yeye anaenda ku…