MAHABA NIUE (29) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA ILIPOISHIA... Mr, Mwasha alisimama na kwenda chumbani, ila Josephine ana chukua mwanya ule na kuanza kuipekua simu ya mume wake ili ajue nini kinaendelea, aliingia kwenye uwanja wa meseji na kukuta sms walizo kua waki tumiana na watu wake juu ya mipango ya kumkamata Ramsey . KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Mungu wangu, RAMSEY!" alijisemea Josephine huku akiweka mkono mdomoni, haraka haraka alitoa simu yake mfukoni na kumtafuta ramsey hewani ili ampe habari kuwa akimbie mara moja, kita kacho fuata ni kifo, ila simu ya ramsey ina ita bila kupokelewa, ana jaribu tena na kukuta haipatikani kabisa, na kumfanya azidi kuchanganyikiwa NA kuanza kuandika ujumbe mfupi haraka haraka ili hata akifungua simu Ramsey aukute. Baada ya Mwasha kurudi alirudi na Magazine inayokaa risasi na kuweka tena mezani "Mume wangu mbona sikuelewi, eti DAvid, KUNA nini"? "leo nataka kuuwa mwizi nampi…