Notifications
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…

MAHABA NIUE (29)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA
ILIPOISHIA...
Mr, Mwasha alisimama na kwenda chumbani, ila Josephine ana chukua mwanya ule na kuanza kuipekua simu ya mume wake ili ajue nini kinaendelea, aliingia kwenye uwanja wa meseji na kukuta sms walizo kua waki tumiana na watu wake juu ya mipango ya kumkamata Ramsey.

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
"Mungu wangu, RAMSEY!"
alijisemea Josephine huku akiweka mkono mdomoni,

haraka haraka alitoa simu yake mfukoni na kumtafuta ramsey hewani ili ampe habari kuwa akimbie mara moja, kita kacho fuata ni kifo, ila simu ya ramsey ina ita bila kupokelewa, ana jaribu tena na kukuta haipatikani kabisa, na kumfanya azidi kuchanganyikiwa NA kuanza kuandika ujumbe mfupi haraka haraka ili hata akifungua simu Ramsey aukute.

Baada ya Mwasha kurudi alirudi na Magazine inayokaa risasi na kuweka tena mezani

"Mume wangu mbona sikuelewi, eti DAvid, KUNA nini"?
"leo nataka kuuwa mwizi nampiga risasi zote ziishe iizi, nataka nimtandike mtu risasi mbele yako ukiona,"
"laki.."
"nyamaza, , kaa KIMNYA fungua iyo baasha hapo, na utoe maelezo juu ya izo picha Josephine, leo nakuuwa humu ndani, malaya wewe, malaya ,tena narudia malaya wewe, tena nita kuua wewe na huyo malaya mwenzio, "

Mr, mwasha aliweka ile bahasha ya kaki juu ya meza ya kioo na kumruhusu JOsephine afungue.

***********

kila alilo jaribu kufanya RAmsey kumshika Naike ili alegee na amle uroda lina shindakana kutokana na Naike kutokua tayari kufanya mapenzi na Ramsey,
"ila Ramsey, hatu jakubaliana tuje kufanya mapenzi humu, ulisema tuna kuja kuongea"
"Naike usiwe kama mtoto sasa, kwani wewe kuingia humu kwa akili yako, unandhani kuna stori humu, hapa ni chumbani, jiongeze"
"ila wewe uliniambia tuna kuja kupiga stori"
"sasa si nili tumia tafsida,sasa uli taka nikwambie tuna kuja kufanya tendo la ndoa?"
"mimi sipo ta...."

kabla ya Naike kumalizia maneno RAmsey alimrukia shingoni na kuanza kumnyonya shingo huku akimlazimisha kwa nguvu kumlamba mdomo Naike bado ana kua mbishi sana kuku baliana na Ramsey.

aliibana mikono ya Naike juu ya kItanda nayeyey kumlalia kwa juu ambapo anaa nza kumnyonya masikio na kumfanya naike aanze kufumba macho akihisi raha na kumfanya RAmsey ajue tayari kesha shinda na kwenda kumla mtoto huyo wa kilokole,

aliomba tena mdomo wa mrembo huyo na safari hii Naike kutoa ulimi na kuanza kubadilishana mate yaani denda, huku ramsey akianza kumshika matiti Naike na kumfanya mrembo huyo aanze kutoa mihemo ya puani.
"griii griii"

ili kua ni simu ya rAmsey ikiita, ila aliipuuzia na kuendelea na shughuli pevu ile ambapo mpaka wakati ule Naike alikua hana nguo ya juu,

Ramsey alizidi kudata hasa alivyyona jinsi gani mrembo huyo alivyo kua mweupe pee, na mwenye kitovu kizuri.
"R,,,AMs,,ey"
"naaam"
"pokea siii..mu"
"hapana , tuendeleee tu,"
"pokea simu mimi nipo tayari kufanya mapenzi nawewe"

ili mbidi ramsey asimame pale kitandani na kuangalia simu ambapo aliona ni Josephine ana piga, aliipuzia na kuizima simu ile bila kujua ilikua na umuhimu sana katika maisha yake, na laiti angejua ange ipokea haraka sana,

kutokanna na kujua kuwa Josephine ata muharibia mipango yake ana izima simu na kuitupa chini, ambapo alimuendea Naike na kuanza

kumnyonya mdomo huku mkono wake mmoja ukiwa kwenye ikulu ya Naike akiichezea vizuri,na kumfanya mrembo huyo aanze kukatika taratibu huku akisikia raha na taratibu kwenda kuishika, switch socket ya Ramsey na kuitoa na kuanza kuichua,
"Ram"
"naam"
"una condom"?
"hapana sina"
"nenda katafute"
"aaah yanini sasa?"
"mimi siwezi kufanya mapenzi bila mpira, siziamiini siku zangu"
"no sitouza mechi"
"hata kama, kata fute condom kwanza ndo tuje tuendelee please nakuomba, tena fanya upesi"

kweli Naike alimaanisha,Ramseya litoka chap chap na kubeba simu yake na kuvaa nguo zake, ambapo tishrt lake alianza kulivalia akiwa ana shuka ngazi za hotel hiyo na kumfanya agongane kigombo na watu wawili, ila aliwapuuzia na kuendelea na safari yake, sababu alikua na moto sana,

"RAMSEY KIMBIA UWE ZAVYO MPENZI WANGU, MWASHA KARUDI NA KAJUA KILA KITU KUHUSU SISI, UKIIPATA HII MESEJI KIMBIA, INA WEZEKANA HII NDO IKAWA MESEJI YANGU YA MWISHO KUKU TUMIA, NAKUPENDA SANA RAMSEY, NAKUOMBA KAJI FICHE POPOTE PALE"

ulikua ni ujumbe mfupi wa maneno kutoka kwa josephine baada ya kuwasha simu ambapo Ramsey aliusoma mara mbili mbili, huku akifikicha macho yake kana kwamba ana ona vibaya, aliangalia huku na kule na macho yake kugongana na mzee mmoja wa makamo ambae alikua mwana jeshi tena mkubwa ambae begani alikua na nyota kadhaa,

na kumfanya mwanajeshi yule amfuate sababu alimtambua vizuri sana na kujua kivyovyote vile amekwisha
na ndo anaenda kuuwawa
*********

MIAKA NANE ILIYO PITA

Baridi lili zidi kutanda usiku huo na kufanya wana funzi wengi waende kulala mabwenini ndani ya shule FABIAN'S high school iliyokua Mkoani Morogoro, wana funzi wachache sana wali baki prepo kuji somea kama ratiba inavyo sema.
"ooyaa Ramsey, twenzetu tuka lale, kusoma kuelewa kaka, kukesha mbwe mbwe tu"

aliongea Salumu ambae tayari alikua ameshika madaftari yake mkononi tayari kwa kuondoka kwenda bwenini kulala.
"salumu eeh"
"sema bwana mi nasikia usingizi"
"uta nisindikiza bondeni kwa mademu basi, nataka nika onane na vero kaniambia nika muone kabla ya prepo kuisha"
"mwanangu umeanza sasa, we una jua kabisa hii wiki ya sir,LANG'O alafu unataka atukute huko kwa mademu"?
"mwanangu hatukai sana"
"poa twende basi sasa hivi"

kweli Ramsey aliweka vitu vyakea sawa na wote kushuka kwa chini ambapo wasichana husoma usiku muda wa prepo
"wewe nani, Rachel, naomba niitie Veronica Dennis"
"yupo darasa gani"?
"fom thrii hapo, mwambie namwita"
"poa poa,"

kweli vero aliitwa usiku huo na RAmsey kumuomba wakutane usiku kisimani ili waweze kuongea vizuri, vero hakuwa na kipingamizi chochote,

kweli wanarudi mabwenini kulala baada ya kengele kulia, kelele nyiingi sana zina tokea bweni la wavulana na ndio huwa kawaida hasa baada ya Prepo kuisha.

Ramsey alichukua Ndoo ya maji na kushuka kisimani ambapo kisima hiko kili tumiwa na wasichana pia, kutokana na kisima cha wavulana kuharibika,

kweli baada ya kufika kisimani ana kutana na Vero nayeye alikua na ndoo ya Maji, kila mtu aliweka ndoo chini na kuanza kunyonyana midomo ndani kimsitu hiko kidogo, na Ramsey kupandisha sketi ya vero juu na kuanza kucheza na chachandu yake amabpo wakati huo alikua haja vaa nguo ya ndani pata shika ile ina endelea ila baadae wana hisi miale miale ya tochi ikiwa ina mulika mulika maeneo waliyo kuwepo na kufanya hofu izidi kuwa tanda hasa baada ya kusikia sauti ya Mwalimu Lang'o ina kuja sehemu walipo Vero na Ramsey...


"Sogea huku"
Ramsey aliongea huku akimvuta Vero nyuma ya mti na kufanya miale ile ipite pite huku na kule, parakacha parakacha zile zilizidi kusogea mpaka nyumba ya mti ule waliokuwa wakina RAmsey,

jasho jingi sana lili lochangannyika na woga vilizidi kuwa tanda na kuwafanya waanze kutetemeka sana, hasa walivyo kumbuka sifa kubwa za mwalimu huyo Lang'o akiogopeka shule nzima.

baadae kidogo simu ya mwalimu Lang'o ina sikika ikiita, na ndo iyo ili kua ponea yao sababu aliondoka na kurudi alipo toka, huku akiwaacha vero na RAmsey.
"siku nyingine hapa isha kua soo, yule ana enda bwenini kupitisha rall call"
"aya Ramsey kesho, nakupenda sana"
"mimi pia"

RAmsey alimsogelea Vero na kumnyonya mdomo na baadae kuagana ambapo Ramsey alichota maji ili azuge kuwa alikua kisimani kweli, baada ya kurudi bwenini alikuta baadahi ya WAna funzi wenzake wamelala isipo kuwa rafiki yake Salumu ambaye alikua akimsubiri,
"oya wapi umetoka"?

alihoji Salumu huku akimwangalia Ramsey
"daa, nili kua na vero, si yule mwanga aka aribu kila kitu,"
"hahaha nani huyo"?
"si yule Lang'o"
"sasas ikawaje?"
"ndo ivyo mwanangu siku piga, ngoja nikaoge kwanza"

Moja kwa moja Ramsey alipitiliza bafuni na kuingia kuoga ambapo baada ya kurudi ana mkuta SAlumu keshalala,
nayeye baada ya hapo ana weka kitanda chake sawa na kujitupa kitandani.

************

kilicho wakurupusha asubuhi ilikua ni kengele ya paredi amabyo ililia na badhi ya wana funzi walikua wame chelewa, kutokana na hofu ya mwalimu wa zamu kuwa mkali wana funzi wengi wali kimbia mstarini bila hata kuoga, ila kwa Ramsey hakutaka kwenda popote bila ya kuoga, ivvyo bwenini ana baki peke yake.

"We Ramsey fanya upesi nafunga mlango"
"poa patron natoka"

Haraka haraka Ramsey alivaa unifom na kuji pulizia pafyumu huku akichana nywele zake vizuri alivyohakikisha kila kitu kipo sawa, alianza safari ya kwenda asembo, kwa mbali aliwaona wana funzi wengine wame piga magoti, alivyo taka kuji ficha tayari alionwa na kuitwa na yeye kuju muika na wenzake ambao wamepiga magoti.
"wafuatao watoke mbele,"

aliongea mwalimu Lang'o ambapo katika paredi hilo kulikua na utulivu wa hali ya juu sana kuliko kawaida, kulikua hakuna hata mnong'ono wowote ule, aliendelea kuita majina mwalimu Lang'o huku akitoa karatasi
"kanyika,Awam Tamba, Lazaro Saranga,Rodgers Mbita,Ibrahim MUssa na Martin Phares, njoeni mbele hapa upeshi upesh, yesh yesh, mwalimu KIpwate nipatie hiyo fimbo yako"
"hawa wana funzi jana walidoji prepo"
"yaani hawa mwalimu, hawa waka chimbe shimoo, yaani waende site, adhabu yao iwe hio"

aliongea mwalimu Kipwate huku akimsogelea Ramsey
"na huyu kijana huyu, ana adhabu yangu, embu simama"

Ramsey alisamama huku akiji piga piga magoti ili kutoa mchaga ulioganda juu ya magoti yake,
"adhabu yangu ya shimo uli fanya"?
"hapana mwalimu siku malizia"
"sasa, utamalizia lile shimo, vile vile ujiunge na wenzako, hio ni hujuma, haiwezekani yaani nakupa adhabu usifanye, ukimaliza adhabu na unione ofisini kwangu"
aliongea kIpwate kwa sauti ya kukwaruza kwa mbali.
ambapo sauti hiyo wana funzi wengi hupenda kumuigilizia sana na kuwa kituko ndani ya shule hiyo

mwalimu Lang'o alianza kuwa chapa wana funzi wale wote fimbo tatu tatu na kubaki zamu ya Ramsey ndiye alikua wa mwisho, ki ukweli kitendo cha Ramsey kuchapwa kili wakera sana watoto wa kike ambao wali kua wana mpenda sana hasa alivyo kua smat na sura yake nzuri ili fanya kila msichana ndani ya shule ata mani kuwa nae karibu, ila ina shindikana kutokana na RAmsey hakutaka kujenga mazoea sana na watoto wa kike,
"shika hapo"

Ramsey alishika na kumiminiwa mvua za fimbo ambapo baadae ana ingia Kipwate kumuongeza fimbo nyingine na kupewa adhabu aifanye baadae muda madarasa ukiisha.

wana funzi wote wana ruhusiwa na Ramsey kuingia darasani moja kwa moja,

"pole RAmsey"

alikua ni Devotha Matimbe akimpa pole Ramsey, baada ya dakika chache vero nayeye alikuja na kumpa pole vile vile kutokana na fimbo alizopigwa,

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
40 Mahaba Niue Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni