MAHABA NIUE (32)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
Kweli Matron alihisi raha za ajabu na kuanza kuji shika mwenyewe maziwa yake huku akihema na kufungua mdomo wake kila wakati sababu alisikia raha za ajabu kupita kiasi, hilo alikumsumbua Ramsey nia ya Ramsey ili kua ni moja tu ampagawishe matron huyo na arudishe heshima yake kutokana na Matron huyo kuzoea kumuita mtotto,

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
Kama ana vyo lamba koni ndivyo alivyo kua akilamba ikulu ya matron wakati mwingine aliingiza ncha ya ulimi ndani kabisa ya mgodi na kumfanya matron Magreth ashike kichwa cha Ramsey na kukikandamiza ndani ya ikulu yake huk u akihema juu juu sana kwa raha za ajabu,

"Rams....ey ing...iza iiinngiiiiizeee"
"nini"?
"iingiii..zee hii"

Matron aliongea kwa shida huku akishika KOMBOLA la Ramsey ambalo lili kua tayari lime tuna, Matron alifungua zipu ya RAmsey na kuitoa kombola hilo na kuanza kuli chua taratibu, uki changanya na mikono yake laini ili mfanya Ramsey apate stimu, Ramsey alivua tshirt lake na kuvua Suruali yake haraka haraka, huku akiendelea kumpima oil Matron Magreth

"ramseee,,,y aaaaaah,, na...mwaaaa..gaaaa"

aliongea matron huku akiibana miguu yake, Ramsey alijua nini maana ya miguu ile kubanwa alijua tayari Matron kafika mwisho wa kituo, ivyo aliipanua miguu ya Matron na kuingia kati kati, na kuiweka KOMBOLA YAKE aina ya SMG ndani ya ANDAKI la Matron na kuanza kumla denda Matron akiwa chini, alihisi raha za ajabu huku akimkwaruza

kimahaba Ramsey mgongoni akitumia kucha ambapo alizidi kumpa stata, huku na kule Ramsey alimuinua Matron na kumuweka CHUMA MCHICHA amabpo alimshika kwa mikono miwili Matron huyo na kuanza kumpelekea kasi ya ajabu sana,

na kufanya kitanda hiko kianze kupiga kelele kiki lalamika, Matron alipiga kelele zili chonganyika na raha za ajabu sana kupita maelezo sababu Ramsey alimpelekea KOMBOLA kila pembe ya ANDAKI, baaada ya hapo alimlaza ivyo ivyo kifudi fudi na yeye kuji nyooshaa akiwa amemlalia kwa juu yake huku mashambulizi yakiendelea,

"Ram,,sey ina tosha,, una niumiz...a, Raams,,eyy aaaah ba,,,asi"

RAmsey aliendeleza fujo zile mWishowe nayeye kupasua yai la bata na kutulia kimnya huku jasho likiwa lina mtoka kwa mbali kidogo,
"Ram"
Matron aliita kwa sauti ya chini huku akiwa bado yupo kifudi fudi
"sema Matron"
"wewe ni kabila gani kwani"?
"nita kwambia siku nyingine"
"nikuombe kitu"?
"kitu gani"?
"kesho nataka nitoke nawewe nje, tukae siku nzima"
"kivipi sija kuelewa wakati unajua tupo shule"
"najua, naelewa, wewe niachie mimi"
"poa poa, ila matron wewe mtamu sana, kidude chako hiko kina joto "
"mmmh, muone vile"

Matron alimpiga kikofi kidogo Ramsey na kumbusu tena mdomoni

**********

siku iyo ya jumamosi wana funzi wengi walionekana wakiwa wana fua , wengine wakicheza mpira wakiwa wenye furaha sababu siku iyo usiku wake wangeenda kuangalia movie dining hall ivyo mwenye demu wake, humuita ili wakae pamoja na wengine kudiriki kufanya uzinzi ndani ya dinning hall, ivyo ndivyo ilivyo kua siku ya kila jumamosi.

"washkaji leo kott kasema, ataweka mziki badala ya Movie"!
ili kua ni sauti ya Innocent ambae alikua kiranja wa michezo taarifa iyo ina wa furahisha sana wana funzi na kuanza kupiga yowe na vigele gele
"woyooo woyoooooooo, wora riraaaa, ,woraa woraaaaaaaa"

sauti iyo ili sikika kutoka kwa Martin Phares akiwa mwenye furaha sana huku akipiga piga mlango wa bwenini
"mambo sindo hayo sasa"
"kott wa ukweli"

ki ujumla wana funzi wote wali furahi sana. akiwemo Ramsey ambae alikua aki fua nguo zake, ila hakuataka kupiga kelele ya aina yoyote ile kichwani kwake alimfikiria SAbrina, ambae hakumtia tena machoni tangu siku aliye muona dukani. na kuapia siku iyo ange shuka hata kwenye mabweni ya wasichana kumfuata, kweli akili yake ita kavyo mtuma ndivyo hufanya ivyo.

*******

kelele za mziki zili zidi usiku huo.
ila kabla ya mziki kuanza ili anza burudani ya muziki ambapo baadhi ya wana funzi huimba ila wana funzi wengi

walipiga kelele za ajabu hasa alivyopanda lazaro saranga, mwana funzi ambae huimba akiiiga miondoko ya Mr,blu na kupachikwa jina la byser kama anavyojiita Mr,blue, kweli hawa kukosea kumuita jina hilo, sababu alivyo imba alikua kama mwenyewe, laiti kama Mr,blu ange muona ange mchukua mara moja,

"Byserr wauweeeeeeee"
"Lazaro we love you"

sauti mbali mbali zili sikika kutoka ndani ya ukumbi huo wa kimshangilia Lazaro SAranga

kweli Lazaro saranga aliimba kwa mapozi hasa nyimbio ya TABASAMU na kufanya watoto wa kike wapande huku waki mtunza wengine waki mbusu, mmoja wa wasichana aliye panda alikuwa ni SAbrina na kucheza kidogo,
kitendo kile kina muuma sana Ramsey nayeye baada ya dakika chache alipanda,

na kutoa wallet yake mfukoni na kuanza kutoa noti za shilingi elfu kumi kumi na kuanza kumbandika nazo Lazaro kichwani, kama wanavyo fanya mapedeshee, kitendo kile kina washangaza wana funzi wengine ambapo alimkabidhi lazaro elfu kumi kumi saba taslim
"oyaa uki toka hapa uni rudishie pesa zangu"

aliongea kwa sauti ya chini Ramsey huku akimpa tano Lazaro na kushuka chini,

baadae kidogo mziki unaanza rasmi na wote kuingia kati kucheza mziki ambpo RAmsey ana muona SAbrina amekaa mwenyewe na kumfuata,

"njoo tucheze Sabrina"
"hapana siwezi kucheza mwenzako"
"nita kufundisha usiogope"

Ramsey alimshika mkono Sabrina na kwenda nae kati kati taratibu huku wakianza kucheza . alizunguka nyuma yake na kuanza kumbambia ambapo mziki wa TID unaitwa KIUNO kupigwa na Ramsey kuanza kucheza nyuma ya SABRINA huku taratibu MASHINE yake kuanza kutuna na kugusa kabisa kalio la Sabrina lili lokua kubwa kiasi

"mmmmmhhh"

SAbrina aliguna huku akigeuka na kumwangalia Ramsey usoni, sababu ya kuguswa na mashine ile ya Ramsey


"vipi"?

Ramsey aliuliza kwa saut ya juu, sababu ya mziki mkubwa uliio kua ukipigwa ndani ya dinning hall, huku akizidi kumsogelea kwa nyuma sababu alijua kwanini Sabrina aliguna,

"unasema?"
"nakuuliza vipi mbona umeguna"?
"hakuna kitu"
"mtoto uko juu figa ya kimodo, mwepesi kitandani sio gogo..........napenda unavyo kikata kiuno baiby na ilo tabasamu lako beiby"

Ramsey nayeye alikuwa akifuatisha mziki huo huku akimuimbia sAbrina masikio na kumpuliza masikioni taratibu na wakati mwingine kumng'ata sikio ili mradi kumchokoza,
"kumbe una jua kuimba"?
"hapana hiyo nyimbo ni ujumbe wako tosha"
"muongo, kwani najua kukata kiuno mimi"?!.
"ndio kwani huoni unavyo kikata"
"sio kweli"
"hata kitandani nahisi sio gogo. kama Ngwair anavyo sema au Cow wiiz"
"hahahaha"

Ramsey alimshika kIuno mrembo yule ambae hata wana funzi wengi wa kiume walikua wana mtamani walau wacheze nae mziki ila Ramsey hakutaka kumuacha hata sekunde moja. kwa pembeni Veronica roho ili muuma sana, sio yeye tu

hata kwa Devotha Matimbe ambae nayeye alikua akicheza mziki na Omary, lakini macho yao yote yalikua kwa RAmsey ambae alikua makini sana na SAbrina , mwana funzi mgeni , uzuiri wake pia una wachukiza kila msichana na kujua kivyovyote vile ata kuwa katika soko ndani ya shule iyo,

Ramsey alienda nae mpaka chini mrembo huyo, ki ukweli na sabrina nayeye alikua kweli sio gogo hata kidogo, alibana sketi yake na kuileta mikono yake nyuma ya shingo ya Ramsey na kuanza kumkatikia RAmsey kama SHAKIRA msanii wa marekani,

Ramsey nayeye haku taka kuwa mzembe alionesha juhudi yake kwenye kiuno na kwenda aste aste mpka chini, kila alipoenda Ramsey nae alifata kiuno hiko. Ramsey alishusha mkono mpaka kwenye mapaja ya SAbrina huku

akiipandisha juu sketi mpaka kwenye ikulu, ila kabla ya kufika kwenye ikulu ya Sabrina ana shikwa mkono na sabrina akimzuuia asifanye jambo hilo na kuurudisha mkono ule kwenye kiuno,

RAmsey alimgeuza mtoto yule kwa mbele sasa wakawa uso kwa uso, na hapo ndipo Ramsey alijua kweli Sabrina ni mzuri sana. lips zake nyekundu zili kua zimelowa muda wote 'wet', sio ivyo tu hata sura yake ya duara kama mdoli ili zidi kumpagawisha Ramsey kweli SAbrina alikua mzuri sana kupita maelezo,

macho yaliganda kifuani mwa SAbrina ambapo maziwa ya kigoli huyo yalikua bado chuchu cha saa sita kama ya Matron magreth,

siku iyo nzima walicheza mziki pamoja huku wakipiga stori nyingi sana juu ya masomo.
"sabrina"
"abee"
"una jua kucheza sana"
"kawaida bwana"
"sio kawaida hakuna wa mfano wako, hakunaga Afrika mashariki na kati"
"ha!ha! ha! ha!..eti Afrika Mashariki na kati.asante mwaya, ulisema una itwa Ramsey?"
"ndio Ramsey."

waliongea mengi hasa baada ya mziki huo kuisha na papo hapo kila mtu kurudi mabwenini,

"Ramseeeeeey.. wewe ni nyoko, kaka yaani ulivyo kua una bambia kama T.I.D mwenyewe"

ili kua ni sauti ya Nicholus dom leader wa bwenini

"hahaha Nico, yule mtoto mimi nime muelewa sio siri, mtoto ana viuno, alafu Lazaro, nipe zile pesa basi nilizokupa pale basi, ila nita kutoa buku mbili"

aliongea Ramsey baada ya kumuona Lazaro kapita, bila tatizo Lazaro alirudisha zile pesa na kurudi kuongea na Nicolus
"wewe niachie yule Ramsey, mimi nataka nikae pale"
"mimi sina tatizo ila voko zako tu"

Ramsey alichukua ndoo ya maji na kwenda kuchota maji na kuingia bafuni kuoga ambapo mara kwa mara kichwani kwake picha ya Sabrina ili pita jinsi alivyokua mzuri sana, baada ya kuoga alitafuta sehemu kilipo kitanda chake na kulala bado alizidi kupongezwa na wenzake jinsi alivyo kua akicheza,

"Nili kuona mwana,"
ili kua ni sauti Alley akiwa pembeni ya kitanda cha Ramsey amekaa pembeni, huyu nae alikua rafiki wa karibu sana na Ramsey , ,
"hahaha wapi hapo Alley"?
"si pale Dinning na WHITE yule new comer"
"mbona kitu cha kawaida kucheza mziki"
"sio kawaida ile mtoto kaku elewa yule, fanya mambo kabla watu hawa jamuwahi"
"kausha tulale, alafu Salumu yuko wapi, sija muona leo"
"yuko na demu wake"
"yupi?,Consolatah"?
"ndio, muda kweli, alikua nae nahisi ata kua ana mgonga ma class huko"
"poa basi mi nalala"

Ramsey aliingia ndani ya kitanda na kuji funika na shuka akilala na kuta fakari mengi juu ya Sabrina

**********

"wewe huumwi mimi siwezi kukupa dawa, "
"Matron Naumwa kweli"
"embu nitokee hapa, una nipigia kelele. usini sumbue"

yalikua malumbano baina ya matron magreth na Veronica,

hii ni kutokana na chuki ya matron aliyo ijenga dhidi ya Vero kutokana na kujua kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Ramsey, ivyo wivu una muingia na kutotaka kumuona Vero mbele yake, kweli alimfukuza kwa kelele ,bila kujua Veronica kili chokuwa nyuma ya pazia.

aliondoka ki ukweli alikua akiumwa sana ila hakua na jinsi hakujua kwanini matron alibadilika vile na kumfukuza kwa kelele,

Matron alichukua kalamu na karatasi pamoja na muhuli na kuonekana kuandika kitu juu ya karatasi na kugonga muhuli, baada ya hapo alisimama na kuondoka moja kwa moja kwenye mabweni ya wavulana na kumuita Ramsey, huku akiwa na karatasi ile mkononi, kwa kuwa ili kua jumapili alijua kivyovyote vile RAmsey atakua bwenini lakini jibu alilopata kuwa hakuwa bwenini,

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)