MAHABA NIUE (33)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA THELATHINI NA TATU
ILIPOISHIA...
Matron alichukua kalamu na karatasi pamoja na muhuli na kuonekana kuandika kitu juu ya karatasi na kugonga muhuli, baada ya hapo alisimama na kuondoka moja kwa moja kwenye mabweni ya wavulana na kumuita Ramsey, huku akiwa na karatasi ile mkononi, kwa kuwa ili kua jumapili alijua kivyovyote vile RAmsey atakua bwenini lakini jibu alilopata kuwa hakuwa bwenini,

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
Ramsey akiwa darasani na daftari lake ambalo alizugia kusoma lakini upande mwingine alikua na nia moja tu aongee na Sabrina ili amueleze yale yalikua yaki sumbua moyo wake, kweli baada ya muda mfupi SAbrina ana tokea na kuvuta kiti huku akikaa mbele yake,
"Mi mwendo wako tu hoi mwenzako"!
Ramsey alianza kumdodosa SAbrina ambae nayeye alitabasamu.
"aaaaah, mwendo wangu ume fanya nini tena"?
"una endana na uzuri wako. sio siri Sabrina hapa shuleni, yaani hapa school hakuna kama wewe"
"sio kweli"
"niamini"
"na vero je"?
"Vero yupi tena huyo"?
"najua kila kitu kuhusu wewe na Vero, jana nili ambiwa kila kitu, kuhusu wewe tena nili ambiwa kwa....."

SAbrina alishindwa kumalizia anacho taka kuongea baada ya Matron Magreth kutokea na kumuita mlangoni,

"acha umalaya Ramsey,! twende huku,"
"sasa na daftari langu"
"kachukue twende"

Ramsey alitembea mpaka kwa Sabrina na kusimama kwa kitambo akitafakari,

"ngoja nikachukue dawa"
"kwani una umwa"?
"ndio"!
"sasa mbona hukusema? pole mwaya"

Ramsey alichukua daftari lake na kuondoka na Matron ambapo alienda mpaka bwenini na kuweka daftari huku wakiongozana na Matron ambapo wakati huo hakujua wapi wanaenda, ili bidi aulize ili ajue,

"tunaenda nje, si nili kwa mbia juzi"
"tuna enda kufanya nini"?
"hospitali kukupa dawa!"
"kwani aliye kwambia naumwa nani"?
"acha maswali RAmsey, usiji fanye hujui"

Aliongea matron Magreth ambapo tayari wakati huo walikua tayari wamesha fika nje ya geti la kutokea na Matron kutoa karatasi iliyo waruhusu kupita kwenda kwenye matibabu akizuga kuwa Ramsey ana umwa sana na hatoweza kutibiwa shuleni, walinzi walitoa ruksa, ila katika akili ya Ramsey alijua fika kabisa kuwa Matron ana chotaka ni kitu gani,

kweli walipanda basi na kushuka mjini ambapo Matron alita futa gest house na kupata, walipata chumba na kuingia ndani ya gesti hiyo ambayo ilikua self container,

"ila Matron nina njaa sijala"
"hilo tu, subiri, nina kununue chips tule, maana hata mimi nina njaa"

Matron alitoka nje na baada ya dakika chache alirudi na chips kuku ambapo wote walianza kula wote taratibu..
"hivi una jua Ramsey nakupenda sana"
"najua hilo sana"
"sasa kama una jua mbona una tembea na Vero"?
"kausha basi, mambo ya vero yame toka wapi sasa"?
"sio ivyo, usiniambie nikaushe hapa"

Ramsey alivyoona vile alimsogelea Matron na kuanza kumnyonya Mdomo taratibu huku mkono wake ukiwa shingoni
mwa Matron aki mtekenya

"mmmh Ram subiri basi nikaoge kwanza bwana mkubwa"
"siku izi naona sasa huniiti mtoto tena?!."
"wewe sio mtoto, wewe ni bwana mkubwa"

matron aliongea ivyo huku akimpiga kikofi shavuni, na kuelekea bafuni huku RAmsey akiwa amelala chali akitafakari, alinuuka na kumuona matron ame toka bafuni,

akiwa na kanga moja ili yolowa na kufanya umbile lake dogo kuji chora vizuri, MODEM ya Ramsey taratibu ili anza kupanda na kumwangalia jinsi Matron alivyo umbika na kuzidi kutoa udenda alimfuata na kuanza kumla denda,,,

"ngo ngo ngo"

sauti ya mlango ili sikika iki gongwa na kuwa fanya washtuke wote wawili

******
NUSU SAA KABLA

"hawa wata kua wanaenda wapi"?

ili kua ni sauti ya mwalimu Lang'o akiwa mjini siku iyo akinunua vitu vya kupika nyumbani kwake, chuki na wivu vili mwingia hasa alipo muona Ramsey akicheka na Matron magreth bara barani hapo, huku wakati mwingine waki pigana makofi kimahaba, hakutaka kuliacha jambo lile moja kwa moja aliamua kuwa fuatilia ili ajue wapi wana enda,

alipigwa na butwaa sana hasa bada ya kuwaona wana ingia gest house, kitendo kile kili muumiza sana roho kumuona Ramsey kijana mdogo kutembea na Matron wake tena yeye ali kataliwa, aliwaangalia kwa hasira na chuki zote hakuishia hapo, alivyo hakikisha wameingia gest alitoa simu yake ya mkononi na kuita futa namba ya mwalimu mkuu akimuita maeneo yale, akimwambia kuwa kuna jambo muhimu sana ana takiwa kuliona.
"LAzima niwa komeshe!"
aliwaza Mwalimu Lang'o akiwa amekunja ndita

kweli baada ya dakika chache mwalimu mkuu ana fika na gari la shule ambapo aliletwa na Dereva na kushuka,

"Mwana funzi wako ameingia humu gest"
"mwana funzi gani"?!
"Ramsey"!
"Ramsey, Ramsey! Ramsey Felix"?
"ndio huyo huyo, tena shasha, kaingia na mfanyakazi wa pale shuleni"
"yupi sasa mwalimu"?
"wewe twende"

Kweli waliongozana mpaka mapokezi, na kuji tambulisha kwa dada huyo wa mapokezi kama ni walimu, kweli dada yule aliwa tajia chumba walichoingia Ramsey na matron Magreth, bila kupoteza muda wali fika na kuanza kugonga chumba hiko huku mwalimu Lang'o akiwa amefura kwa hasira sana....


Hasira za mwalimu Lang'o zili onekana waziwazi sababu alitamani kuingia ndani wakati ule ule, lakini mwalimu mkuu ana mzuia na kumuita muhudumu wa gest ile ili agonge mlango, kweli kitendo kile kina fanyika na muhudumu kugonga mlango, baadae kidogo wana sikia hatua za mtu akija
"nani"?

sauti Ya Matron Magreth ili sikika iki tokea ndani ya chumba hiko,
"mimi muhudumu"?
"una taka nini jamani"?
"kuna kitu nime sahau kuweka bafuni naomba niingie tafadhali"
"subiri"

Kweli mlango ule uli funguliwa na kumfanya Matron apigwe na bumbuazi hasa alivyo waona walimu hao, ,Mwalimu lang'o alingia ndani huku akiusukumiza mlango ule na kumkuta Ramsey akiwa hata shati yupo kifua wazi.
"mwalimu njoo ndani ili ujionee"

MWalimu mkuu aliingia ndani na kumkuta RAmsey, jambo lile lina mkurupusha Ramsey kama aliye toka kufumaniwa na mama mkwe na kumfanya jasho lianze kumtoka kutokana na sura alizo ziona mbele yake, alishindwa kuelewa nini kime tokea,

"Magreth una fanya nini eeeh"?

Aliuliza mwalimu mkuu akimgeukia matron ambae bado alikua na kanga moja

"okay, ila unajua kwanza hili ni kosa kisheria, any way nita jua cha kufanya"

Walimu walitoka huku waki waaacha Ramsey na Matron wakiwa kwenye mawazo,
aliye onekana kuwa na mawazo mengi ni Ramsey sababu baba yake alikua mkali sana, alijua kivyovyote vile alikua

hana shule tena, na kushindwa kuelewa angeenda kumwa mbia nini baba yake mzee Felix, alijikuta amekaa kitandani na kuweka tama mkono juu ya shavu.
"Ramsey basi tuendelee na kili chotuleta yashatokea tayari"
"nini wewe"?
"tuendelee"
"usini changanye nawewe, tena usini vuruge, usha nikera , daaah, sijui ita kuaje kwa dingi, hatonielewa,"

RAmsey alisonya na kuangalia pembeni huku akionekana kuwa na mawazo mengi, alijua kivyovyote vile shule ange fukuzwa, alianza kujilaumu sana kwanini alitoka nje ya shule.

hata kwa Matron Magreth pia alijua kabisa hana kazi kivyovyote vile kutokana alimkataa mwalimu Lang'o ivyo ndivyo alijua itakavyo kua.

***********

TAYARI ili kua jumatatu asubuhi shule ili kua katika hali ya ukimnya wana funzi wote wakiwa madarasani waki fundishwa na walimu, ivyo kupelekea shule iyo kuwa kimnya,

ila cha kusha ngaza una sikika mlio wa kengele, na kufanya kila mwana funzi kuangalia saa yake, lakini haukua muda wa mapumziko, ili sikika tena kengele tena mfululizo na moja kwa moja kujua ili kua ni dharura ivyo wana funzi wote wana itajika mstarini,

walimu walianza kuwa toa wana funzi madarasani bila kujua nini haswa kili taka kuta ngazwa, kweli wana funzi wote walianza kuku sanyika mstarini isipokua kwa RAmsey na Matron Magreth ambao walikua ofisini kwa mwalimu mkuu,

mpka dakika hiyo hakuna hata mwana funzi mmoja aliye jua kwanini waliitwa mstarini kwa dharura,

jopo la walimu lilianza kushuka wakiwemo RAmsey na Matron Magreth huku nyuma yao aki fuatiwa na Mwalimu mkuu aliye itwa Abbdalah Henkod. jambo hilo lina zidi kuwa tia hofu wana funzi wote sababu mwalimu mkuu huyo kuonekana kwake labda kuwe kuna kesi kubwa,

ukimnya wa hali ya juu uli tawala wana funzi wote wakiwa kimnya

"Goodmorning"
Mwalimu mkuu alisalimia.
"Good morning SIR"

wana funzi wote waliitikia kwa ujumla.

"Good morning once again!, am very dissapointed, let me use swahili because i want everyone to listen and understand what am going to say this morning( za asubuhi kwa mara nyingine. nime chukizwa sana, ngoja nitumie kiswahili sababu nataka kila mmoja wenu asikilize na kuelewa kile nita kacho sema asubuhi ya leo).

aliongea Mwalimu Mkuu Henkod na kusita kidogo akiwaangalia Ramsey na Matron ambao walikua mbele wanaangalia chini wakiona aibu, ali fikicha pua zake na kuvuta pumzi
" unajua, wazazi wenu wana lipa ada, wanalipa....?
"adaaaaaaa"
wana funzi wote waliitikia tena

"vizuri . ili ninyi msome, hali ni ngumu sana, laiti kama mnge jua wazazi wenu wana teseka vipi wala msinge fanya upuuzi, mfano baba yake Ramsey juzi hapa katoka kuni pigia simu ana ulizia maendeleo ya mwanae, leo hii anasikia naenda kumsimamisha shule, kwa upuuzi aliou fanya na matron, ni aibu sana kuta mka jambo hilo mbele yenu, Kipwate nipatie waya wangu ofisini"

Mwalimu kipwate alitembea haraka haraka akipandisha ofisini kwa mwalimu mkuu,

kila mwana funzi alishtuka kusikia vile

"jana, jana jana, nime wakuta hawa mna owaona mbele ndani ya gest fulani huko nje wali kuwa wakifanya ushenzi, kwaio sasa, nita msimamisha Matron kazi kwa muda usio julikana na Ramsey nita msimamisha shule kwa miezi miwili, na aje na mzazi wake, nita mchapa viboko kumi hapa mbele ili iwe mfano"

Matron magreth alimuangalia RAmsey ambae wakati huo alikua ameweka kichwa chini jasho likiwa lina mtoka

"Ramsey, lie down now(Ramsey lala chini sasa hivi.")"
alifoka mkuu wa shule huku akiwa ameshika waya

"i said go down, i don't want stupidity, lie down( nasema nenda chini, sitaki ujinga)

RAmsey taratibu alilala chini na kili cho fuata hapo zilikua ni mvua za fimbo, ambapo baadae anakuja Lang'o na kumchapa fimbo nyingine

wana funzi wote waliguswa sana na kuonekana wenye simanzi kupita kiasi,

Mwalimu aliwa taka Matron Magreth na Ramsey wafike ofisini ili wachukue barua waondoke mara moja shuleni sababu wange onekana wange chukuliwa hatua nyingine..

Baada ya wiki tatu kufika Ramsey alifika akiwa na baba yake mzee Felix alipaki gari aina ya
HARRIER nje ya ofisi ya mkuu wa shule na moja kwa moja kuingia ofisini,
"habari yako mkuu"!?
"salama Mr, Felix za kazi"?
"Mungu ana saidia, nime ona barua yako mkuu, sema ina tubidi tuongee kidogo"

Mr, Felix aliongea huku akiweka tai yake vizuri shingoni na kuendelea,
na kushusha pumzi
"nime toka Dar leo na huyu kijana wako RAmsey mli msimamisha kwa miezi kadha"
"ndio miezi miwili"
" unajua , hawa watoto bwana ina bidi tuongee, kipindi cha miezi miwili kijana kukaa nyumbani , ni kipindi kirefu sana, isitoshe! anaweza akajihusisha na mambo ya mibangi huko mitaani, kwaio nili kua naomba bwana umrudishe shuleni kwa kweli"

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)