MAHABA NIUE (33) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA THELATHINI NA TATU ILIPOISHIA... Matron alichukua kalamu na karatasi pamoja na muhuli na kuonekana kuandika kitu juu ya karatasi na kugonga muhuli, baada ya hapo alisimama na kuondoka moja kwa moja kwenye mabweni ya wavulana na kumuita Ramsey, huku akiwa na karatasi ile mkononi, kwa kuwa ili kua jumapili alijua kivyovyote vile RAmsey atakua bwenini lakini jibu alilopata kuwa hakuwa bwenini, KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Ramsey akiwa darasani na daftari lake ambalo alizugia kusoma lakini upande mwingine alikua na nia moja tu aongee na Sabrina ili amueleze yale yalikua yaki sumbua moyo wake, kweli baada ya muda mfupi SAbrina ana tokea na kuvuta kiti huku akikaa mbele yake, "Mi mwendo wako tu hoi mwenzako"! Ramsey alianza kumdodosa SAbrina ambae nayeye alitabasamu. "aaaaah, mwendo wangu ume fanya nini tena"? "una endana na uzuri wako. sio siri Sabrina hapa shuleni, yaani hapa school hak…