SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
ILIPOISHIA...
"Ndio miezi miwili"
" unajua , hawa watoto bwana ina bidi tuongee, kipindi cha miezi miwili kijana kukaa nyumbani , ni kipindi kirefu sana, isitoshe! anaweza akajihusisha na mambo ya mibangi huko mitaani, kwaio nili kua naomba bwana umrudishe shuleni kwa kweli"
KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII
SASA ENDELEA...
"Una jua Mzee ina kua vigumu sana kutokana na Bodi ya shule hawa toelewa alafu kesi yake si una ijua"?
"naelewa, na huyo Matron yuko wapi"?
"hayupo hapa tena, any way, kwa kuwa umefunga safari kutoka DAr, kuja huku haita kua busara kuku ruhusu uende nae tena DAr,"
"sema kabla ya kumruhusu aingie darasani namimi ninge penda nimu adhibu mbele ya wana funzi wenzake kama mzazi"
baada ya sekunde kadhaa mwalimu mkuu alimuita time keeper apige kengele,
kweli wana funzi wali kusanyika na kuonekana wenye furaha sana kumuon Ramsey tena mbele yao.
"shika hapo"
Mzee Felix alimwambia RAmsey ashike chini, palepale alianza kumtandika viboko mpka fimbo ika vunjika hakuishia hapo, ali mpiga makofi mengi sana kumfanya RAmsey adondoke chini.
"mimi nalipa ada, una fanya ushenzi, una fanya umalaya, bulshit takataka njoo hapa,"
mr, Felix ali fura kwa hasira sana huku akiwa amelowa jasho kwa hasira na kuzidi kumchapa makofi
baada ya hapo aliongea na wana funzi akiwa sisitiza wasome na kumuomba Ramsey waongozane. walienda mpka nje ya ofisi ya mwalimu mkuu,
" una pocket money?"
ALiuliza mzee felix huku akitoa pochi mfuko wa nyuma kwa sauti ya upole, upande mwingine alimpenda sana mwanae ila hakupenda afanye upuuzi, alimuadhibu pale ina postaili.
" hapana iliisha baba"
"ila mwanangu usome sana dada yako Loydah yupo India, mimi na mama yako tutaenda huko kesho kutwa kwenda kumuangalia, kama nilivyo kwambia, uki faulu vizuri nawewe nita kupeleka ukasome nje, sitaki tena siku nyingine nije shuleni hapa kusikiliza upuuzi wako"
Mr, Felix alitoa burungutu la elfu kumi kumi na kumkabidhi Ramsey
"laki tatu izo, kuwa makini na pesa izo. iyo pia ndo nauli yako ya kuja Dar ipo hapo hapo, shika hii elfu hamsini uta mpa mwalimu mkuu, mwambie nilikua nina haraka sana"
kitendo kile cha kupewa pesa SAbrina ana kiona ambapo alikua akipita pembeni kuelekea dukani, kweli zilikua ni ela nyingi sana kwa mwana funzi kupewa,
"kuna la ziada mwanangu"?
"hakuna baba asante"
"usome, usome, usome"
Sabrina alipita mbele kidogo huku wakiangaliana na Ramsey ambapo baba Yake RAmsey aliingia ndani ya gari baada ya mazungumzo kuisha na kutoa mbio sababu alikua na haraka sana....
Tayari kengele ya masomo kuisha ili gongwa saa nane na nusu ili sikika ndani ya shule iyo, ivyo wana funzi walianza kuta wanyika kwenda mabwenini, kwa wale waliosikia njaa sana walichukua sahani zao na kuelekea jikoni kufuata chakula,
ndani ya bweni la wasichana kelele zili sikika nyingi sana hasa walipo jua kuwa RAmsey karudi shule, hata kwa SAbrina nayeye alifurahi moyoni japokuwa hakujua kwanini ana furaha. muda wote Veronica alikua mwenye furaha
sana baada kugundua kuwa RAmsey karudi ivyo ana kua sana na hamu ya kumuona ramsey kuliko kitu kingine chochote kile
"Leo lazima nimuone Ramsey wangu"
aliongea Vero huku akiwa na rafiki yake Devotha Matimbe ambae pia nayeye moyoni aliapia amuone RAmsey, bila kujua kuwa wana shea mwanaume mmoja.
"jamani watu na mapenzi yao"
"ila lazima nimseme kakosa nini kwangu mpaka aende kwa matron, ndo maana izi siku za katikati alikua akini chukia yule Matron, kumbe khaaa jamani jamani,"
"we naweee, ila twende tuka chukue msosi ina wezekana tuka mkuta huko"
"nichukulie sahani yangu hapo juu ya tranka"
walichukua sahani zao pamoja na vijiko na kuungana na wana funzi wenzao moja kwa moja mpaka jikoni na kupanga foleni ya chakula.
"Ramsey yule pale"
Aliropoka DEvotha baada ya kumuona ramsey kashika sahani ya chakula anaelekea bwenini.
"Raam ,,,Raaaam"
Alipayuka vero na kuchomoka kwenye mstari kama mkuki, alishindwa kuji zuia na kuji kuta ana kumbatia RAmsey pale pale, haikua shida kwa wana funzi wengine sababu walijua mahusiano hayo ya Vero na Ramsey, ivyo ndivyo ilivyo kua
"Nimekumiss Ram mpenzi wangu"
"mimi pia, Vero wangu, ndo mimi nimerudi"
"tuna weza tukaongea kidogo"?
"sasa hivi NO , mida mida ivi, ya jioni Vero usijali, kengele ya chakula cha usiku saa kumi na mbili iki gongwa nikukute madarasa ya fom four kule"
"sawa baby ake mie, nita fanya ivyo"
Baada ya hapo Ramsey aliji toa na kuelekea bwenini na kukutana na marafiki zake ambao wengine wali mpongeza kwa kitendo cha kumla Matron Magreth ila waliokua wana mfukizia wali anza kumchukia,
"hivi Ram. una kizizi nini mwana, nasisi tupe iyo dawa"
"sina kizizi chochote kile,labda nyota huwezi jua,"
"ah wapi una dawa wewe sio bure jombaa, mi sikuelewi mpaka unipe hiyo dawa una yotumia, wallah tena"
"sina Dawa, Gilbert, sumu tu basi hilo tu, ila sina dawa wala nini kaka"
Gilberto mwana funzi ambae alikua amemzidi kidato ili bidi amfate Ramsey ili ajue siri iyo sababu nayeye kwa kipindi kirefu alimfukuzia Matron huyo bila mafanikio yoyote ila ana shangazwa mtoto mdogo amempata.
Ramsey alipanga kila kitu chake vizuri kwa ajili ya kesho darasani akiweka kitanda chake vizuri, na kuji tupa kitandani kulala mchana huo,
kilichomuamsha ili kua kengele ila aliji tupa tena kitandani na kuipuuzia kengele hiyo ya saa kumi na mbili sababu bado alikua na usingizi mzito,
"wewe malaya, twenzetu msosi tayari kule,"
kama kawaida ili kua ni sauti ya SAlumu akimtisha Ramsey kwa nguvu akimuamsha.
"alafu nili kwambiaje wewe kalio, usiwe una niamsha ivyo ku** nina zako, niamshe kistaarabu mku*** wewe"
"twende malaya uliye kubuhu"
"Msen*** nini"
SAlumu alimvuta swahiba wake na wote kwenda kupanga foleni, baada ya kuchukua chakula wali rudi bwenini na RAmsey kumuomba SAlumu akiweke chakula chake washuke madarasani,
"sasa kuna nini huku ma class"?
"twende baba, wewe twende"
"umeanza una enda kula nyama nini"?
"ndo maanake"
"demu gani"?
"vero vero, twende uka nichekie soo"
Kweli walianza kushuka madarasani huku wakiwaacha wana funzi wengi kwenye mstari jioni hiyo, walishuka mpaka chini na kumuomba SAlumu akae pembeni ya mti ili amlindie kama kuna walimu wana kuja,
kweli baada ya Ramsey kuingia Darasani ana muona Vero kesha fika bila kuchelewa ali mfuata na kuanza kumnyonya denda huku akianza kumshika kiuno chake ambapo pale pale, alitoa kifungo cha sketi ya vero na kuzamisha mkono
ndani ya sketi na moja kwa moja kuiguza CHACHANDU ya vero taratibu sana, huku akiendelea kuzungusha ulimi wake ndani ya mdomo wa vero, na kumfanya Vero atoe miguno hasa baada ya kushikwa juu ya CHACHANDU kwenye stata ambapo kuna kitu kama kiarage kidogo,
RAmsey alikua na kazi moja tu kuchezea stata ya Vero ili awashe piki piki hiyo. Vero nae haku taka kuonekana mzembe alifungua Zipu ya RAmsey na kutoa GIA ya Ramsey na kuanza kucheza nayo huku akiwa ana ichua taratibu sana,
Ramsey alishuka na kuanza kumnyonya shingo Vero ambae tayari alianza kutoa miguno ya raha huku akiiitoa sauti yake puani,
"Ram,,, iiingize"
"mmmmh ingiza mwenyewe"
Vero baada ya kusikia Vile alihisi kuchanganyikiwa maanaa alipandisha sketi yake kwa juu na kutemrisha chupi yake chini na kugeuka na kushika meza moja wapo kati ya nyingi zili zoku wa darasani hapo,
alikamata gia ya Ramsey na kuitumbukiza mwenyewe ndani ya mzinga wake, na vurugu mechi kuanza,Ramsey hakukumbuka tena kwammba siku chache alifukuzwa shule sababu hiyo hiyo ya kufanya mapenzi ambapo ni kinyume na shule,
akili yake sasa hivi ili kua katika dunia nyingine dunia ya raha sana, pengine alidhani yupo sayari ya jupita
"aaaaah mmmh sshss Ram,, tia yyootee, mmhh aahhh paka mate"
Ramsey alitoa gia yake na kupaka mate kidogo na kuirudisha ndani ya mzinga wa Vero ambapo vurugu mechi ilianza huku akiwa ameshika meza hiyo, nayeye akiji tahidi kuka tika,
pata shika lili zidi kueendelea na meza aliyo shika vero kudondoka na kumfanya akose muhimili wa kusimama alivyotaka kudondoka Ramsey alimuwahi kwa kumshika kiuno chake na kumsogeza ukutani,
ambapo Vero alishika ukuta kwa mikono miwili na kash kash lile kuendelea, mpaka Vero alipoanza kulalamika kuwa ana karibia kufika kilele cha mlima kilimanjaro, Ramsey alizidi kuji kunja akitoa huduma ile, na wote kufika mlima kili manjaro tena kileleni kwa pamoja,
jasho jingi sana lililowanisha uso wa Vero huku akionekana amechoka sana kupita maelezo,
"Vero!"
"abee"
"una jisikiaje"?
"fresh. nasikia kizungu zungu"
Vero aliongea huku akipitisha mguu mmoja ndani ya chupi yake na kuji weka vizuri akivaa
"ina bidi nika pumzike"
"poa baby kesho mi naenda prepo"
Ramsey alitoka na kumkuta SAlumu bado yupo kwenye mti amekasirika sana huku akiwa ame kunja ndita
"ukinuna una fanana na mama yako kweli yaaani Salumu"
"fala nini, wewe una tom**** kama upo nyumbani, ku** una jisahau sana, vipi lakini, nili kua nasikia vishindo , nika juan leo kuna kazi, "
"hahahahah, daa si meza ili dondoka kaka, ila mtoto nika mdaka, usha wahi kuona kinyonga anavyodaka nzi"?
"hahahahahahahahahahahahaha"
"ndo ilivyo kua leo mule ndani, ile ana taka kudondoka, nika muwahi, pale pale nika muweka tena kwenye ukuta, wall to wall hiyo ilikua ya Chris Brown"
WAlipiga stori nyingi na swaiba wake huyo na kurudi bwenini kitendo cha kufika tu kengele ya prepo ilisikika kuashiria kuwa wana takiwa tena madarasani kuji somea usiku huo..
"oya sasa msosi ndo hatuli"?
"kausha , salumu, nita mtuma masai nje, kisha poa chakula, nita mtuma masai, aka tuletee chips"
"haina noma, twende tuka pige buku"
kama kawaida walichukua madaftari yao na kushuka madarasani taratibu ambapo waliungana na kikundi cha wana funzi wenzao na kuelekea madarasani kujisomea...
baada ya kufika kila mtu alikaa upande wake wa kuji somea, na ukkimnya kutawala sana,
"NIME KUMISS SANA, HAVE A NICE PREP.
TS ME SABRY"
yalikua ni maandishi juu ya kikaratasi kidogo ambapo alikisoma mara mbili mbili kikaratasi hiko Ramsey,
"we dogo"
"nani mimi"?
"ndio, njoo mara moja"
Mtoto yule wa kiume wa kidato cha kwanza ambaye aliye leta ile karatasi na kumkabidhi Ramsey aliitwa
"hii nani, nani, nani kakupa?"
"dada mmoja hivi mweupe mweupe"
"yuko wapi"?
"yuko darasani kwao sijui ana soma,"
"sasa sikia nataka nikutume kwake"
"aaaah blazza mimi naogopa kweli tena ningeenda, niki kutwa kule, nita chapwa na mwalimu Onkonko"
"wewe sikia, subiri hapo doglas"
Ramsey alichana karatasi na kuandika ujumbe juu ya karatasi ile na kumkabidhi yule mtoto, na kumpa shilingi elfu mbili,
"daa blazza, ngoja basi prepo iishe"
"dogo nita kunyang'anya iyo ela, nenda sasa hivi kajanja"
Mtoto yule hakua na jinsi ili bidi aende tu japo kua alionesha kuogopa sana ila alishuka kwenye madarasa ya wasichana,
USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK