MAHABA NIUE (34)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (34)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA THELATHINI NA NNE ILIPOISHIA... "Ndio miezi miwili" " unajua , hawa watoto bwana ina bidi tuongee, kipindi cha miezi miwili kijana kukaa nyumbani , ni kipindi kirefu sana, isitoshe! anaweza akajihusisha na mambo ya mibangi huko mitaani, kwaio nili kua naomba bwana umrudishe shuleni kwa kweli" KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Una jua Mzee ina kua vigumu sana kutokana na Bodi ya shule hawa toelewa alafu kesi yake si una ijua"? "naelewa, na huyo Matron yuko wapi"? "hayupo hapa tena, any way, kwa kuwa umefunga safari kutoka DAr , kuja huku haita kua busara kuku ruhusu uende nae tena DAr," "sema kabla ya kumruhusu aingie darasani namimi ninge penda nimu adhibu mbele ya wana funzi wenzake kama mzazi" baada ya sekunde kadhaa mwalimu mkuu alimuita time keeper apige kengele, kweli wana funzi wali kusanyika na kuonekana wenye furaha sana kumuon Ramsey tena mbele y…