MAHABA NIUE (38) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA THELATHINI NA NANE ILIPOISHIA... Loydah alishusha pumzi ndefu na kabla ya kuongea chochote, kijana mmoja mweupe mfupi wa wastani huku mkononi akiwa ameshika funguo za gari na mkono wa kushoto ameshika simu kubwa aliingia, hakuwa mgeni machoni kwa Prosper, alikua ni Kway rafiki kipenzi wa Ramsey, alimkumbuka vizuri sana KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Ebwana ina kuaje?..nina haraka sana, huyu jamaa nime mkuta"? alihoji Kway akionekana na haraka sana. pia vile vile kwa haraka haraka ili onesha kuwa ali mtafuta Ramsey bila mafanikio yoyote yale, na kuamua kwenda dukani hapo "yupo au hayupo,? nime paki gari njiani!." "hayupo"! "hayupo tena kivipi,? mbona ana kua mswahili sana, hapa tikani kwenye simu, wakati tulipanga safari ya kwenda Moshi, huna namba yake nyingine"? '"daaah Kway ndugu yangu, we acha tu, una muona huyu dada hapa, ni dada yake, ana mtafuta pia, wiki …