MAHABA NIUE (38)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA THELATHINI NA NANE
ILIPOISHIA...
Loydah alishusha pumzi ndefu na kabla ya kuongea chochote, kijana mmoja mweupe mfupi wa wastani huku mkononi akiwa ameshika funguo za gari na mkono wa kushoto ameshika simu kubwa aliingia,
hakuwa mgeni machoni kwa Prosper, alikua ni Kway rafiki kipenzi wa Ramsey, alimkumbuka vizuri sana
KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII
SASA ENDELEA...
"Ebwana ina kuaje?..nina haraka sana, huyu jamaa nime mkuta"?
alihoji Kway akionekana na haraka sana. pia vile vile kwa haraka haraka ili onesha kuwa ali mtafuta Ramsey bila mafanikio yoyote yale, na kuamua kwenda dukani hapo
"yupo au hayupo,? nime paki gari njiani!."
"hayupo"!
"hayupo tena kivipi,? mbona ana kua mswahili sana, hapa tikani kwenye simu, wakati tulipanga safari ya kwenda Moshi, huna namba yake nyingine"?
'"daaah Kway ndugu yangu, we acha tu, una muona huyu dada hapa, ni dada yake, ana mtafuta pia, wiki hii sasa haonekani"
"haonekani"?
"ndio"
Kway alimuangalia LOydah na kuanza kusalimiana huku wakizidi kuulizana nani ata kua na Ramsey, hofu inazidi kuwa tanda sana,
Prosper alionekana kupata wazo na kutoa simu yake mfukoni,
"una mpigia nani?"
alihoji LOydah
"ESta, nampigia dada mmoja ivi anaitwa ESta, ana weza akajua alipo"
baada ya sekunde kadhaa simu kuita upande wa pili ulipo kea na sauti ya ESta kusikika
na Prosper kumuulizia RAmsey
"Ramsey yupi? mimi simjui,Ramsey ndo uchafu gani"?
maneno yale yalimshangaza sana Prosper na kumfanya aishiwe pozi
"sikia, jamaa hajaonekana wiki sasa, kama upo nae au una jua alipo naomba uniambie tafadhali"
"wewe mimi sijui una ongelea nini"
"sikia ESta, Ramsey haonekani, naomba niambie nipo chini ya miguu yako"
"hivi una sema ukweli?"
"ndio, yaani hapa nipo na ndugu zake wana muulizia"
"mmmh, nita jaribu kumtafuta,nita kupa jibu, si ajabu yupo na mahawala zake ninyi mna hangaika tu kumtafuta. ngoja nita kupa jibu"
hatimaye simu ili kata na kuzidi kushauriana,,
"jamani, hali isha kua ivi, Prosper, embu fikiria
kwa kina bwana, wapi hupenda kwenda Ramsey"?
Akili ya Prosper moja kwa moja ili mtuma kwa Josephine ila kwa bahati mbaya hakuwa na namba za mwana mke huyo hata kwake hakupajua,
hilo ndilo lilikua kosa kubwa sana, licha ya kuhisi kuwa ata kua kwa josephine lakini hakutaka kufungua mdomo wake kusema chochote kile sababu alijua hata akiulizwa hatakua na jibu la kutosha,
kwa upande mwingine alijua wenda Ramsey yupo OMAN kutokana na mara nyingi sana Ramsey kumtambia juu ya safari hiyo na Josephine. Prosper aliwaza sana kichwani mwake
"maskini mdogo wangu ata kua wapi sijui"
LOydah aliongea huku machozi yakianza kumlenga lenga kwa mbali
"Nani kway, ulisema una itwa kway, hivi ndo yule mwandishi wa vitabu"?
"ndio ndo mimi,"!
"huwezi kujua wapi rafiki yako ana weza kuwa"
"kwa kweli sijui, kuna msichana wake mmoja hivi anaitwa Monalisa, kama una mjua mta fute, anaweza kuwa nae si ajabu"
LOydah alimjua monalisa na bahati nzuri alijua namba zake , ila baada ya kumpigia ana pewa habari ambazo zina zidi kumkata maini,
kila mtu alizidi kuumiza kichwa chake, waliamua kuchukua jukumu moja tu, kwenda kumtafuta katika vituo tofauti vya polisi, wakitumia gari ya kway, walianza msimbazi kumtafuta ila hakukuwa na dalili ya RAmsey, walizunguka mpaka
buguruni, Urafiki, oysterbay,Mwananchi. mpaka ina fika jioni hakuna jibu lililo wapa matumaini, kila mtu alionekana kuchoka sana sio kway wala LOydah.
Baada ya kumaliza kula walianza kutembea ila ghafla simu ya Loydah ilianza kuita baada ya kuitoa mfukoni ana ona ni namba ngeni, aliiangalia kwa muda na kuiweka sikioni,
"naongea na nani?"
"Raaa,...mmseeyy. sist...a Loy..d..a..h n...akuffaaa"
"Ramsey, hallo, Ramsey upo wapi?"
Loydah alipayuka kwa sauti na kumfanya Kway asogee karibu baada ya kusikia vile
"uko wapi... uko wapi?"
"nn...iip..o Mi mi mi mik....."
kabla ya kumalizia maneno yale LOydah alionekana kuchanganyikiwa hasa baada ya kibaka kumpora simu ile na kukimbia nayo, mbio akiwa juu ya boda boda Kway alimuumganishia
ila boda boda ile ilizidisha kasi na kutokomea ,
bado walikua na hali ngumu sana kwao, kitendo cha RAmsey kupiga simu akiwa katika hali mbaya na simu kupokonywa alizidi kuchanganyikiwa
Loydah alikaa chini bila kuji jua huku akilia kwa sauti na kugala gala, kitendo cha kuibiwa simu ile katikati ya mazungumzo yale, kilimuuma sana. alicho jua yeye RAmsey yupo katika hali ya matatizo sana, kutokana na alikua ana
ongea kwa shida kupita kiasi, watu walianza kumzunguka na kumpa pole ila hawa kujua kilio kile kili sababishwa na nini. hawa kujua kiasi gani LOydah ana umia moyoni.
"LOydah, nisikilize, uliishika ile namba"?
"NOO, sija ishika uwiiii, RAmsey ana kufa, Ramsey mdogo wangu, ana hitaji msaada, tuka toe taarifa polisi Kway"
LOydah alilia sana kwa uchungu. ili bidi Kway, amuinue huku akisaidiana na vijana waliokuwa pembeni pale na kumuingiza ndani ya gari.
**********
sura yake ili kua nyang'anyang'a pengine unge bahatika kumuona usingeweza kumtambua kama alikua mtanashati,
alikua kama mzoga, damu nyingi zilizo mjaa usoni zili poteza kabisa muonekano wake,
usingeweza kuitambua tena sura yake hata kidogo, hata unge pewa picha yake na umuangalie alivyo kua sasa hivi, alikua ni kama ame gongwa na treni au gari,
kutokana na majeraha mengi aliyokua nayo, afya yake ilidhoofu mara dufu, hakuwa Ramsey tena, alikua kama mzoga wa MBOGO kutokana na kipigo kikali na mateso makali aliyo kua akiteswa sana
ki ukweli alitamani kufa kutokana na kuchoshwa na mateso aliyo kua akiteswa ndani ya nyumba ya Mr,Mwasha hakuna mtu yoyote aliye kua akijua lolote kuwa Ramsey alikua ndani ya nyumba hiyo akila mateso ya ajabu,ambayo bina damu yoyote yule asinge staili kuteswa.
huku josephine akiwa ame nyimwa kutoka nje ya geti na kunyang'anywa simu,
ili asiweze kuwa siliana na mtu yoyote yule, huku nayeye akisubiri hukumu yake,
Josephine alilia machozi siku iyo baada ya kumuona Ramsey akiwa katika hali ile, alienda na kudondoka pembeni ya Ramsey ambae alikua ame fungwa mikono juu huku miguu yake ikining'nia kama nyama buchani,
kweli alifanana na nyama ya Ngo'ombe ili yotundikwa buchani huku damu nyingi zikiwa zipo chini, nyingine zime gandiana huku nzi waki mfuata,
alikua nadni ya chumba kidogo kili chokua kama stoo.
"mwaaamb,,ie Mume..o aje kuni,,uaaaa"
"Ramsey, baba nisa mehe mimi, nisa mehee, nita fanya kila njia ili uweze kutoka haustaili , haustaili kuteseka kiasi hiki"
"Joseph..ne niletee kisu, nije nii,,jjiiuuue"
aliiongea Ramsey huku akiwa katika hali ya maumivu kupita kiasi, kweli alitamani kufa kutokana na majeraha katika mwili wake, jicho lake moja lili kua lime vulia damu kutokana na kupigwa chuma na Mr, mwisha, kweli alikua amechoka sana, na hakuna alicho subiri zaidi ya kifo...
chake na ndo hiko alicho jua si vinginevyo
Josephine alikimbia jikoni na kurudi na maji ya kunywa pamoja na chakula na kuanza kumlisha Ramsey taratibu, kweli
alionekana kuwa na njaa sana kutokana na kula kwa fujo sana, ili kua ni picha ya kuuuzunisha sana, kila mtu alikua akilia sio Ramsey wala Josephine.
Ghafla katika hali ya kusha ngaza mr, mwasha aliingia na kumpora Josephine chakula kile, na kuki mwaga pembeni.
"wewe hujafa tu"?
alihoji Mr, mwisha akimuangalia Ramsey
"mi nataka ufe hapo hapo, ila kabla hauja fa nataka niku tumie ili uniingizie pesa"
Ramsey hakuelewa nini maana ya maneno yale. mpaka baadae alivyona mijitu mingine yanye misuli ina kuja na kumfungua kamba,
walimbuluza mpaka sebleni na kumvalisha nguo na kumuweka chini, hakuna mtu aliye jua kinacho fuata hata kwa Josephine hakujua nini kinge fuata,
Mr,Mwasha alitoa simu yake na kubonyeza namba fulani kuiweka simu sikioni.
"halloo Don Chuwa"
"yes Mr, mwasha"
"bado una lile jibwa lako la kizungu, lile dume , nina jike hapa nataka nili pandikize mbegu."
maneno yalipenya moja kwa moja kwenye masikio ya Ramsey na kujua kivyovyote vile jike lina lozungumziwa ni yeye, na wala si vinginevyo, katika maisha yake hakuwahi kuwaza kuwa kuna bina damu wenye roho mbaya kama shetani, leo hii ana enda kufanya mapenzi na mbwa, na ndo hiko alijua kina fuata, jambo ambalo hakutaka litokee.
kwa josephine alijua moja kwa moja sababu mbwa wa Don hutumika kuchezeshwa filamu za ngono na wazungu ambao humfuata na kumkodi kwa pesa nyingi sana aliangua kilio tena. yalikua ni maneno mabaya sana tena ya kutisha..
Ramsey alilia machozi sana kama mtoto akiomba msamaha,
"NA...Omba uniiiiu...e"
kwa wakati huo aliona bora afe kuliko kuendelea kuteseka kweli leo hii alijua kuwa mke wa mtu ni sumu kali sana, alijuta sana.
TWENDE KAZI.
Usiku kucha, mchana kutwa bila kulala walizidi kumtafuta Ramsey bila mafanikio yoyote yale,lakini hawa kukata tamaa waliamini Ramsey bado yupo hai ila huko alipo ana pata shida sana, Loydah alikua ni mtu wa kulia kila siku, alili mlilia machozi mdogo wake kipenzi mtu aliye kua akimpa moyo si mwingine bali ni kway.
kila mtu alikua mwenye majonzi sana na simanzi pia mioyoni mwao, hawa kuamini kwamba leo hii Ramsey hawapo nae tena,
siku hiyo Loydah akiwa nyumbani kwa Kway baada ya kula chakula , waliingia ndani ya gari na safari ya kuanza kumuulizia Ramsey kuanza .
"subiri, nimepata wazo"!
alishauri Kway huku akimuangalia LOydah wakiwa ndani ya gari, ambae ali futa machozi na kumuangalia Kway machoni.
"wazo gani"?
"sikia, twende uka renew namba yako,"
"alafu sasa"?
"alafu, tuta enda TIGO makao makuu. tutaa nagalia namba hiyo ya mwisho iliyopigwa , hapo tuta mjua mmiliki wa simu hiyo, huyo ata tusaidia kumta futa RAmsey"
"twende sasa hivi"!
ushauri ule una muingia vizuri Loydah kichwani na kuanza kurudiwa na matumaini upya kwamba wata mpata Ramsey, mtu ambae wana mtafuta kipindi kirefu kama mtoto mdogo ,
SAfari ili geuzwa na safari ya kwenda makao makuu ya tigo kuanza, baada ya kufika hapo Loydah ana fanya kila kitu na kutengeneza namba yake , pale pale anaa mua kuwaa mbia wafanya kazi wa pale waweze kumtajia mmliki wa namba ile ya simu.
"anaitwa ABDULRAZAKI MAGUGU"
jibu hilo lili toka mdomoni mwa dada mmoja mfanya kazi wa hapo baada ya kuangalia juu ya komputa yake.
haraka haraka LOydah alichukua simu yake ndani ya mkoba na kuanza kuita futa namba ile hewani, ila kabla ya kufanya kitendo kile kway alimzuuia
"subiri kwanza, tusikurupuke, huyu tuta mkamata kirahisi sana"
"Kway nawewe usini changanye, huyu ni mdogo wangu, ni damu yangu, nadhani hujui uchungu ninao upata ndani ya moyo wangu"
"twende nje nika kwambie kitu"
wote walitoka nje na kumuomba lOydah apunguze jazba kwani ana lotaka kuli fanyab lina takiwa umakini wa hali ya juu sana, vinginevyo wana weza waka mkosa huyo mtu na kumpelekea akabadili namba.
USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni