MAHABA NIUE (39) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA THELATHINI NA TISA ILIPOISHIA... Wote walitoka nje na kumuomba lOydah apunguze jazba kwani ana lotaka kuli fanyab lina takiwa umakini wa hali ya juu sana, vinginevyo wana weza waka mkosa huyo mtu na kumpelekea akabadili namba. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Subiri"! kway alitoa jibu hilo huku akiweka simu masikioni. "Yes kamuhanda Willson"! "naam bwana Kway" "kuna tatizo kidogo hapa, naweza nika kuona"? "upo wapi"? "nipo sayansi" "wahi haraka, nataka nitoke" "sawa Wilson" Baada ya Ramsey kukata simu alimchuka LOydah na kuingia nae ndani ya gari na safari ya kuelekea central kuanza "huyo ni nani, uliye kuwa unaongea nae"? "uyo ni IGP wilson Kamuhanda" "weeee, una fahamiana nae"? "tena sana, ni rafiki yaangu mkubwa sana!" "sasa tutaenda kumwambia nini"? "wewe subiri" safari ili zidi k…