MAHABA NIUE (41) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA ILIPOISHIA... Kway bila kuuliza tena chochote ili bidi atoke nje mbio mbio, hakutaka tena kuendelea kubaki mule ndani, kweli alionekana kuogopa sana kupita kiasi , KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Vipi ime kuaje, Kway ime kuaje?" '"tuondoke"! "tuondoke kivipi tena"? "RAm hayupo humu" ALimvuta Loydah na kuanza kuondoka. nea huku picha ya maiti ile iki mjia kichwani ****** " Doreen " aliita RAmsey huku akimuangalia Doreen na kuanza kumka gua kila mahali kama ana majeraha "vipi RAmsey, mbona una kua ivyo baby wangu"? alideka Doreen huku akisogeza mdomo wake na kutaka kumpa denda Ramsey "Noo subiri kwanza, mbona sikuelewi elewi"? "uni elewi kivipi"? "wewe si ume kufa"? "acha kuni chekesha,!" RAmsey akiwa mwenye furaha sana alianza kumnyonya denda Doreen huku akishusha mkono wake chini ya ikulu ya Doren na kuf…