Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MAHABA NIUE (43)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA AROBAINI NA TATU
ILIPOISHIA...
Dereva Yule alizidi kuondoa gari bila kujua chochote kitu, baada ya kufika MSAMVU mkoani MOROGORO aliegesha gari ili ashushe magodoro yale, ila nusura akimbie baada ya kumkuta mtu akiwa juu ya magodoro huku akiwa na bandeji nyingi usoni.

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
Walienda hospitali ili yokua karibu na hapo ili wampe matibabu ya haraka sana, baada ya kumkabizisha kwa madaktari wale, wao waliondoka na kuendelea na safari yao.

Wiki mbili zili pita,na mwezi kuka tika bila Ramsey kuzinduka kitandani, jambo hilo lina muogopesha sana Dokta Leila, ambae alikua ana faili la Ramsey na kila kitu kuhusu matibabu yake, tangia alivyo toka kufanyiwa upasuaji na kushonwa nyuzi leo hiiii akiwa juu ya kitanda na dripu, hakuelewa chochote kina choendelea duniani,

Siku iyo Dr, Leila akiwa na bomba la sindano pamoja na chupa ya dawa, alivuta dawa huku pembeni akiwa na muuguzi mwingine, alivuta dawa ndani ya chupa ile. Ghafla alisitisha kidogo baada ya kumuona Ramsey ame fumbua macho, DOKTA Leila aliachia tabasamu, huku akimuangalia Ramsey machoni,
“kaka una jisikiaje”?
“mimi ni nani, haapa niii waaapi? Nime fika fikaje”?

Dokta Leiala alimuangalia mwenzake na wote kuti kisa vichwa,
“kapoteza kumbukumbu, nili jua tu,,. Haku mbuki kitu!.”

Aliongea Dokta Leila huku akionekana ana sura ya masikitiko sana.


“Imeakuaje, mbona nina bandeji hizi, mbona siku mbuki kitu chochote kile”

Kweli Ramsey alijiona hayupo katika hali ya kawaida
hakujua chochote kile, hakuelewa kuwa leo hii yupo kitandani kutokana na kipigo kikali alichpokea kutoka kwa Mwasha, kisa Josephine hakuelewa kuwa aligongwa na gari, kweli hakuwa anaelewa lolote lile , nayeye alilijua hilo ila hakuelewa kwanini.

“niambieni basi”
“pumzika kwa sasa KAKA”
“hapana, nipumzike siwezi, nini kili tokea, mimi ni nina itwa nani, na kwanini siku mbuki kitu”?

Lili kua ni jambo la hatari sana kwa hali ya kawaida bina damu kupoteza kumbukumbu na kutojua hata moja, hicho

ndiko kili tokea kwa Ramsey, hakuwa anaelewa lolote, alitulia kwa muda ili avute walau kumbu kumbu, lakini hakuwa ana kumbuka chochote kile, kweli alijiona tofauti kabisa.!

Dokta Leila kuona hali ile alivuta sindano ya dawa ya usingizi na kumdunga nayo Ramsey, baada ya dakika kadhaa Ramsey alitulia kutokana na dawa zile kumuingia ndani ya damu.

“huyu mgonjwa ita kuaje Leila, hana ndugu, kapoteza kumbukumbuku”!
“hata sielewi, ila mimi naona kumbu kumbu zake zita rudi tu, kwa sababu gani, alikua ana internal bleeding ndani ya ubongo wake, hilo tu,okay, cha kufanya akiruhusiwa mimi nita mchukua , nikakae nae kwangu, nita msaidia kwa kila kitu”
“ita kua vizuri sana Dokta”
“zile dawa za Yule mgonjwa nili yemfanyia upasuaji wa kichwa jana usiku, zipo wapi,?, alafu naomba na faili lake,”
“zipo hapo mezani, sawa na kuletea faili lake”

Kweli ndani ya moyo wa Leila alikusudia kumsaidia Ramsey mpaka hali yake ita kapo kuwa sawa, hakuelewa kwanini anamsaidia, japo kua hakua anajua ametokea wapi, alichojua yeye ana toa msaada kama bina damu mwenzake ivyo ndivyo ilivyo kua.

***********

TAYARI UPANDE WA PILI wakizani kuwa Ramsey alifariki dunia baada ya boti ya AZAM kuzama majini ikiwa inaenda Zanzibar, baada ya watu ambao wali mfananisha siku ya safari wakijua kuwa ni Ramsey pia alikua kama msafiri,

kumbe haikua ivyo, hawa kujua kuwa Ramsey yupo hai na
huko alipo ana pigania kumbu kumbu ku zake zirudi, bado wakiwa katika hali ya uzuni baada ya kumaliza arobaini ya Ramsey kila mtu alirudi katika majukumu yake, wakiamini kweli Ramsey Alisha fariki dunia na hakuna mtu aliye weza kubadili ukweli huo halisi!, lakini hakukuwa na jinsi yoyote ile.

“sasa prosper ina kuaje kuhusu hili duka”?
Aliuliza Loydah siku hiyo akiwa dukani kwa Ramsey
“sija kuelewa”!
“ina kuaje kuhusu hili duka, nataka kuelewa, ina kuaje, nijue mapato yote, ili mimi niwe nakulipa, ukiwa unaendelea kufanya kazi hapa kama kawaida!”
“kwani wewe ndo mmiliki wa hili duka”?
“sina maana hiyo, mmiliki alikua mdogo wangu,marehemu Ramsey,kwaio yeye hayupo, mimi ni dada yake,nina maana ya kwamba, hakua na mke wala mtoto, mimi nita kua msimamizi wa hili duka”
“hahahahahahahahahaha”

Prosper alicheka kicheko cha dharau huku akimuangalia Loydah, hakuelewa hila za prosper kichwani mwake hata

kidogo, hila za prosper zili kua ni kutaifisha duka la Ramsey , na hiyo mipango tayari alishaanza kuifanya, na kupata hati miliki bandia, haku taka kuku mbuka tena fadhila za RAmsey ambae alimtoa IRINGA mafinga akiwa muuza mahindi ya kuchoma leo hii ana taka kuchukua mali zake, haku taka kuku mbuka kuwa RAmsey ali msaidia kumlipia pesa ya chumba kwa miezi takribani sita, leo hii hakujua fadhila zote,LAITI ange jua kuwa Ramsey yupo hai asinge

hata fikiria kile anacho taka kuki fanya. ali fanya hayo yote kutokana na kujua RAmsey ame fariki Dunia, Ramsey hayupo tena katika sura ya dunia, ivyo ndivyo akili yake ili mtuma.
.
“wewe mwanamke unachekesha sana. Una sema hili duka la nani”?
“prosper, embu acha hayo maswala yako, nina mambo mengi ya kufanya”
“sikia nikwambie Loydah Ramsey hana chake hapa,. Hili duka mimi aliniuzia muda sana, hakukwambia, basi alifanya makosa”
“una semaje”?
“subiri nikuoneshe”

Prosper alitoka na kuingia ndani chumba kidogo na kurudi na makaratasi, kweli Loydah alihisi kuchanganyikiwa hasa aliipoona maandishi ya Ramsey, juu ya karatasi ile mpaka sahihi ya Ramsey ili kua chini, hakuelewa nini kime tokea, alimuangalia Prosper bila kusema chochote kile,

“aya sasa sikia, naona umeelewa hapo, ili duka ni langu”
“no hapa kuna mchezo, hapa kuna mchezo, Ramsey ange niambia, ni mdogo wangu, ange niambia , ili kuaje akaniambia habari za shamba ,then ashindwe kuniambia hili, Yule ni mdogo wangu, sasa kama una hila, huto fika popote uta ishia jela, naomba niku hakikishie hilo,”

Loydah aliongea akionyesha hasira za wazi wazi
Prosper jasho lilianza kumtoka hasa alipo gundua kuwa Loydah ana jua habari za shamba, wakati alikua kasha pata dalali na kutangza kuliuza kwa shilingi milioni hamsini
“toka nje”
“natoka ndio naenda kwenye shughuli zangu, ila kaa ukijua,uta ishia kubaya”

Loydah alitoka nje na kuingia ndani ya gari na kuondoka kwa hasira, huku nyuma akimuacha prosper aki tafakari akiwa na mawazo mengi sana.
“huyu sasa ana taka kuleta habari zake, nita mkomesha, “
Aliwaza prosper huku akikaa juu ya kiti, kweli alikua na mawazo mengi hasa Aliwaza prosper huku akikaa juu ya kiti, kweli alikua na mawazo mengi hasa juu ya shamba la Ramsey, tamaa izo hakujua zili tokana na nini, kweli shetani alimuingia ndani yake, bila kuelewa Ramsey aliyedhani amekufa yupo hai.

*****

KILA KUKICHA JOSEPHINE ALIKUA NI Mtu wa kulia sana, siku yake ya hukumu ili fika na kuhu kumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kuumuwa Doreen, majambazi wote wali kamatwa na kutoa siri hiyo baada ya mateso makali sana
kutoka kwa RPC MKUMBO, Josephine alilia kwa mengi na hasa baada ya kupata habari kwamba Ramsey ame fariki dunia kutoka kwa Bertha,alilia sana, alihisi mkuki wa moto ume tua ndani ya moyo wake, hakujua angeanza maisha gani jela, hakuwahi kufikiria hata siku moja kama maisha yake yote ange tumikia jela.


alijutia sana sababu alikosa vyote alimkosa Ramsey na kumuuwa Doreen rafiki yake kipenzi kisa mapenzi, aliji kuta ana jilaumu sana, ali tamani japo siku zirudi nyuma, akiwa mwenye furaha na mume wake Mwasha, hakuelewa nini kili mkuta mpaka akaaamua kutembea na Ramsey, alikua akijuta sana na kuona dunia ime binuka juu chini ila kwa wakati huo kulikua hakuna jinsi nyingine ya kubadilisha ukweli wa mambo!

Kara ndinga lilikuja na kuwa chukua wafungwa akiwemo pia Mwasha ambae alihukumiwa jela miaka kumi kwa kosa la kuteka nyara, kila mtu alikua na majonzi ila lawama zote alimtupia mke wake, kwa kitendo cha usaliti. Ivyo ndivyo mambo yalivyo waendea,

*****

“SAM VIPI LEO ULI ENJOY eeeh”!?
“yah kiasi chake, nata mani turudi tena kwa kweli, “
“tutaenda next week(juma lijalo) sasa hivi nenda kaoge, alafu usi sahau kumeza zile dawa zako!”
“wewe huogi sasa hivi”?
“noo nacheki movie kwanza , nitaanda chakula, then nikaoge”
“nakuja nije tumalizie ile movie ya jana”
“fanya upesi upesi, alafu tuliishia patamu sana, ili kua pale jack Bauer ana mpeleka president Heller uwanjani aka lipuliwe na Yule Mama nani tena jin..”
“AL HARAZ,”
“yes fanya uka oge uko, na uji sugue Sam. sio una jimwagia tu maji!, “

“hahaha sawa sista Leila, ”

Yalikua ni maongezi kati ya Ramsey na Leila , kweli Leila aliamua kuishi na Ramsey wakiishi kama mtu na dada yake, ndani ya nyumba hiyo waliishi peke yao, kweli Ramsey alianza maisha mapya akiwa ana jua jina lake ni Sam,ambalo jina hilo alipewa na Docta Leila,ivyo ndivyo ilivyo kua walikua siku zote wenye furaha sana kupita kiasi,

Siku iyo usiku wakiwa wame toka kula chakula cha usiku Ramsey alifurahi sana, ki ukweli alifurahia maisha yale bila kujua nyuma ya pazia walikua wana jua amekufa duniani na washa fanya mazishi, hakua ana elewa lolote,

Baadae Ramsey ana rudi huku akiwa na tishirt mkononi huku akiwa kifua wazi sababu alikua ana wahi na kumfanya Leila akishangae kifua chake kilivyo jigawa vizuri na kutuna, japo alikua akiumwa muda mrefu ila kilirudi na kukaa tena sawa, alimuangalia Ramsey kifua chake na damu kuanza kumchemka

“mbona una niangalia ivyo”?
“naangalia hayo makovu yako, mabaka mabaka kama gari la jeshi”

Wote walicheka na Ramsey kujiangalia kweli alikua na mabaka ambayo hata yeye kwa wakati huo hakujua yalitokana na nini, ukweli ni kwamba yali sababishwa na kipingo cha Mwasha

Na ajali mbaya aliyo pata baada ya kutoroka kwenye mikono ya Mwasha.
Ramsey aliji tupa juu ya sofa na kushika remote na kuuiweka movie ya 24 ambayo starring wa picha hilo aliitwa Jack Bauer, kweli wote wawiili walitokea kuipenda season hiyo.

“duuu, sijui Heller kafa, una ona uwanja ulivyo lipuka, mmh patamu hapo,”?
Aliongea Ramsey lakini Leila alikua bado katika mawazo mengi na kukaa kimnya.
“Sam”
“naam, nime kuuliza umeona hapo kwenye huo uwanja ulivyo lipuka”?
“wapi”?
“hap…”

Kabla ya Ramsey kumalizia maneno yake dokta Leila al alimvutia mdomoni mwake na kuanza kumnyonya mdomo na kuanza kumpiga denda Ramsey, hakukuwa na sababu ya Ramsey kukataa sababu ya uzuri wa dokta huyo hasa weupe

wake na mapaja yake yaliyo beba mguu mzuri mnene wenye supu huku nyuma akiacha lawama akitembea alikua na makalio makubwa kiasi ambayo hata akivaa gauni refu kalio lako hutoka nje na kuzidi off side,

Ramsey nayeye alihisi damu ina mwenda mbio sana, haikua hali ya kawaida tena, udada aliuweka pembeni kabisa, aliendeleza nayeye masha mbulizi na kuidondosha Rimoto ile chini

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
41 Mahaba Niue Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni