MAHABA NIUE (43)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (43)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA AROBAINI NA TATU ILIPOISHIA... Dereva Yule alizidi kuondoa gari bila kujua chochote kitu, baada ya kufika MSAMVU mkoani MOROGORO aliegesha gari ili ashushe magodoro yale, ila nusura akimbie baada ya kumkuta mtu akiwa juu ya magodoro huku akiwa na bandeji nyingi usoni. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Walienda hospitali ili yokua karibu na hapo ili wampe matibabu ya haraka sana, baada ya kumkabizisha kwa madaktari wale, wao waliondoka na kuendelea na safari yao. Wiki mbili zili pita,na mwezi kuka tika bila Ramsey kuzinduka kitandani, jambo hilo lina muogopesha sana Dokta Leila , ambae alikua ana faili la Ramsey na kila kitu kuhusu matibabu yake, tangia alivyo toka kufanyiwa upasuaji na kushonwa nyuzi leo hiiii akiwa juu ya kitanda na dripu, hakuelewa chochote kina choendelea duniani, Siku iyo Dr, Leila akiwa na bomba la sindano pamoja na chupa ya dawa, alivuta dawa huku pembeni akiwa na muuguzi mwingine, alivut…