MAHABA NIUE (45)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA AROBAINI NA TANO
ILIPOISHIA...
Mtoto huyo alikimbia mpaka kwa Leila, kwa haraka haraka ili onekana kama wana juana kwa kipindi kirefu, kutokana na mtoto huyo kumkimbilia Leila
KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII
SASA ENDELEA...
“Mama yuko wapi”?
“mama yuu po kuleeee, ana nunua achi crim yangu, na saa ya ben ten”
“Sam huyu mtoto sio siri ka fanana nawewe kila kitu, angalia hata mashavu, mfano baba yake akitokea hapo, ata kuletea kash kash”
“kwani baba yake ni nani”?
“mmh hata sijui”
Ramsey aliji kuta anamchukua Yule mtoto na kumbeba, hakika wali kua wame fanana kwa kila kitu hata unge waona usinge bisha, Leila alichukua simu na kuwa piga picha,
Ila gafla mtoto Yule alitoka mikononi mwa Ramsey na kumkimbilia mwana mke aliye kua akitokea mbele yake,
“MAMA, Mama bebe, bebe, achi crim yangu iko wapi?”!
MTOTO Yule alimrukia mama yake, baada ya hapo alionesha kidole upande aliopo Ramsey, na mwanamke Yule kuonekana kupigwa na butwaa taratibu alianza kuishiwa nguvu na kudondoka chini , hakuelewa kwanini mwana mke Yule kadondoka chini Ramsey na Leila wali mfuata na kuanza kumpa huduma ya kwanza huku mtoto Yule akiwa an
alia, baada ya kumuona mama yake kadondoka chini.
Walikuja watu wengine na kuanza kutoa huduma ya kwanza, waki mpepea. Mwana mke huyo ali fumbua macho na kubaki akimuangalia Ramsey kwa uwoga sana.
“, wewe ,Ramsey,”!
ALIIITA mwana mke huyo akiwa katika hali ya uwoga sana na pale pale kuzirai TENA kila mtu hakuelewa kwanini mwana mke yule alizirai baada ya kumuona Ramsey,,
MTOTO Yule alimrukia mama yake, baada ya hapo alionesha kidole upande aliopo Ramsey, na mwanamke Yule kuonekana kupigwa na butwaa taratibu alianza kuishiwa nguvu na kudondoka chini , hakuelewa kwanini mwana mke Yule kadondoka chini Ramsey na Leila wali mfuata na kuanza kumpa huduma ya kwanza huku mtoto Yule akiwa an alia, baada ya kumuona mama yake kadondoka chini.
Walikuja watu wengine na kuanza kutoa huduma ya kwanza, waki mpepea. Mwana mke huyo ali fumbua macho na kubaki akimuangalia Ramsey kwa uwoga sana.
“, Ramsey”
ALIIITA mwana mke huyo akiwa katika hali ya uwoga sana na pale pale kuzirai,,
TWENDE KAZI.
Hakuna mtu hata mmoja aliye eelewa nini kili mfanya Mwana mke Yule azirai kwa kitendo cha kumuona Ramsey kila mtu alimshangaa Ramsey na kumwangalia mara mbili mbili ,
“Tumpelekeni hospitali jamani,, wewe mama una mfahamu huyu dada”?
Alihoji mfanyakazi mmoja kati wa wanne walioikuwa ndani ya supa maket, huku wakimbeba
“ndio ni jirani yangu Mama Catherine, na mtoto wake ndiye huyu hapa”
“huyo ni mumewe”?
Aliongea mfanyakazi huyo huku akimtazama Ramsey kutokana na kufanana na Mtoto, moja kwa moja alijua ndiye baba wa mtoto Yule, bila kuuliza
“hapana huyu ni mume wangu”
“sawa tusaidiane tumpeleke kwenye gari,”
Wote wali mbeba MAMa Catherine bila kujua nini chanzo cha yeye kuzirai, baada ya kumuingiza ndani ya gari wote na wao waliingia na safari ya kuelekea hospitali kuanza,
“Mama uchifee, MAMA MAMA amka basi”
Catherine alilia huku akipaza sauti kweli alijua mama yake yupo katika matatizo na hakujua nini chanzo, gari lilizidi kuchanja mbunga huku Ramsey akiwa na kazi ya kumbembeleza mtoto yule ambaye muda wote alikua akilia sana,
“nyamaza Catherine mama atapona”
Alizungumza Ramsey huku akiwa ame mbeba mtoto Yule hakika wali fanana kwa kila kitu
“au ita kua ana kifafa”?
Alihoji dereva huku akiwa makini na usukani
“hana kifafa mimi namfahamu siku nyingi sana, ”
Baada ya dakika ishirini tayari ali fikishwa hospitali na haraka haraka wauguzi kutoka nje, kweli mama Catherine alikua hajielewi hata kidogo, hakuelewa lolote lile,
Baada ya kufika ndani ya chumba cha wagonjwa alichomwa sindano ambayo ili weza kuamsha seli zake, na kufumbua macho ila alianza tena kulia baada ya kumuona Ramsey tena kambeba Catheline mkononi.
“Ra…m sey”
“una jisikiaje”?
Alidakia Leila huku akimsogelea
“nipo vizuri tu Leila, huuu huu ni mzimu wa Ramsey au”?
Mama Catherine aliuliza huku aki toa macho na kutoamini Yule aliye muona mbele yake,.
wakati mwingine alidhani anaota,alikua ni Ramsey hakika alikua ni yeye sababu alidhani ali kufa, leo hii hakuamini kumuona mbele yake tena na catherine mtoto wao, , ni kipindi kirefu sana hawa kuonana walipotezana na Ramsey na siku chache alipokea taarifa kuwa ame fariki dunia iweje leo amuone, maswali hayo alijiuliza kichwani na kumfanya aanze kububujikwa na machozi
“sija kuelewa”
“huyo ni Ramsey!,”
“hahaha huyu ni Sam, ni mume wangu sasa hivi, ita kua ume mfananisha Mama Catherine”
Mama Catherine alizidi kumwangalia Ramsey na kumkagua kila eneo kuanzia juu mpaka chini hakika haku mfananisha, alimtazama kucha zake, japo kua wali potezana kwa muda mrefu hakuweza kumsahau, ila wakati
mwingine alidhani labda wana fanana ila haku taka kuyapa nafasi mawazo hayo, sababu hadi sauti pia ili kua ni ile ile, haikuweza kumpotea hata kidogo.
Ili kua ni picha ya kutisha sana kwake, alimuangalia macho yake yalivyo kua makubwa, kweli alijua ni yeye na si vinginevyo,
“Ramsey, mimi Sabrina”!
“mimi sio Ramsey, ume ni fananisha”
“Ramsey no, siwezi kuku fananisha ndo wewe”
“acha mimi niende, motto wako huyu hapa”
Leila alihisi wivu sana kuona hali ile, ali mshika Ramsey mkono na kutoka nae nje
“Ramsey huyu ni mwa….”
“Mama catherine tuta kuja kukuona siku nyingine, nita kuja kukuona kwako, wacha sisi tuka pumzike”
Leila alimkatisha kile ana cho taka kuongea na kutoka nje na Ramsey, hakika Ramsey alikua na mawazo sana njia nzima, hakuelewa kwanini wana muita Ramsey, hakuelewa kuwa Yule ni Sabrina mpenzi wake mwanamke aliye
mpenda kuliko wana wake wote duniani, na kuko sana na wazazi wake kisa Sabrina. Nakusababisha wazazi wa pande mbili wawindane kama kuku na mwewe, yote hali yasahau kutokana na kupoteza kumbu kumbuku zake zote, hakujua kuwa Catherine ni mtoto wake wa kumzaa mwenyewe,
“kwanini wana niita Ramsey”?
“ita kua wame kufananisha na Yule muiguizaji wa Nigeria Yule, ujue mme fanana kimtindo, hata rangi zenu”
“Yule jamaa, tuliye kuwa tunaangallia movie yake ina itwa TRUE LOVE”?
“huyo huyo Ramsey Noah”
Leila alimpoteza Ramsey hakutaka akumbuke chochote kile alijua kivyovyote vile kumbu kumbuku ziki mrudia hatokua nae tena, hakika alitokea kumpenda sana Ramsey, aliamini kuwa ndie ata kuja kua mwanaume wake wa ndoa, alikua yupo radhi apoteze chochote kile katika maisha yake lakini sio Ramsey mwanaume ambae alitokea kumpenda muda mchache uliopita, hakujua kwanini alimpenda vile
“nita fanya juu chini kumbu kumbu zisi mrudie, sito kubali nimuache”
Aliwaza Leila, hakika alimpenda sana Ramsey na kuapia kuwa ata hama nae hata mji wowote ule ili asirudishe kumbu kumbu zake, kweli swala hilo ali taka kulifanya kwa gharama yoyote ile, na kuanza mikakati hiyo mara tu wali pofika
nyumbani, na kuanza kufikiria vidonge vya kumpa ameze ili kumbu kumbu zake zisirudi .
“Sam nikuulize kitu”?
“ndio mke wangu”
“unanipenda”?
“sana tu mbona”!
“upo radhi kwenda namimi popote?”
“popote nitaenda nikiwa nawewe”
Docta Leila kusikia vile alimfuata Ramsey na kuanza kumnyonya mdomo pale pale huku akitoa ulimi wake na kuuingiza ndani ya mdomo wa Ramsey na wote kuanza kubadilishana mate, lili kua ni denda la dakika mbili nzima.
“sam nakupenda sana,”
“namimi pia”
Waliongea mengi siku hiyo na Leila kuingia jikoni kwenda kupika chakula cha mchana, kilipo iva alikiweka mezani na wote kuanza kula, mara nyingine wakilishana kima haba hakika yalikua ni mapennzi ya kweli ambayo sio rahisi kwa yoyote Yule kuwatenganisha.
“Saaam,, aaaashhss aaaah in,,giza taratibu ivyoo ,, ivyoo.. hapo haaapo”
Zili kua ni kelele za mahaba kutoka Kwa Docta Leila ambae wakati huo alikua ame kunjwa vizuri huku Ramsey akimpelekea masha mbulizi ya kufa mtu, alifata maziwa ya Leila na kuanza kuyanyonya huku akiendelea kukinyonga kiuno na kuzidi kumpagawisha Leila, kweli alikua na haki ya kutomuacha Ramsey kwa gharama yoyote
ile kutokana na kufikishwa vizuri, alimbinua na Leila kupiga magoti huku Ramsey akiwa ameshika kiuno cha Leila kwa
mikono yote miwili na taratibu kuendeleza masha mbulizi zili kua ni raha za ajabu sana, ambazo tangu azaliwe haja wahi kuzipata, Ramsey alifunga goli pale pale ila refa hakuona na kuweka
mpira kati tena huku masha mbulizi yakiendelea bila kutoa sub, ili kua ni mechi ya kukata na shoka, sababu Ramsey aliunganisha bila kuruhusu mapumziko yoyote na kumfanya Leila ashindwe kuelewa ni mchezo wa aina gani ule maana ulikua ni zaidi ya bundasiliga au chandimu,
“Sam”
“mmmmh”
“inaaatosha”
“mhhh”
Ramsey alizidi kuendelea na masha mbulizi,na safari hii Leila alikua kasha shinda magoli sita, magoli ambayo hakuwahi kushinda hata siku moja, baada ya mechi kuisha wote waliji tupa hoi, kutokana na uchovu kila mtu alipitiwa na usingizi mzito na kulala fofofo.,
Mwanga ulio tokea dirishani uliwaamsha na kufanya waamke wote wawili, ambapo Leila alikua juu ya kifua cha Ramsey akimtekenya na kumkwaruza na kucha.
“unaanza uchokozi, alafu nikianza una omba poo”
“weee nani aombe poo”
“huku mbuki jana”?
“mmhh ila jana, sija elewa ile mechi, ulicheza rafu jana, maana?” .
”hakuna lolote una jitetea hapa!”
“ila Sam sitaki nikuache, nakupenda sana, nataka kesho, twende Dar, nataka nika nunue kiwanja,”
“sawa hakuna tabu, mama ushaamua mimi napitisha tu”
“okay”
Leila aliendelea kulala juu ya kifua cha Ramsey huku akikwaruza kifua chake na kucha zake ambazo zilikua ndefu kidogo, na mkono wake mmoja kuupeleka kwenye MUWA wa Ramsey, na kuanza kuuchua.
*******
TAYARI LOYDAH alifungua kesi mahakamani kuhusu mali za mdogo wake Ramsey akimshtaki Prosper hakutaka mali za ndugu yake ziondoke, alikasirishwa sana na Prosper kwa kitendo cha kutaka kuzurumu duka la Ramsey ambalo lilikua linaingiza kipato
kikubwa cha pesa hakujua nini kili mpata Prosper,mpaka atake kufanya vile rafiki yake ambae walipendana sana.
Kesi ile ilipelekwa mahakamani na kufunguliwa faili ambapo mshtakiwa alikua Prosper, bado hakutaka kuonesha kushindwa alikataa kata kata kuwa lile Duka sio la Ramsey alimuuzia akiambatanisha na makaratasi yote kama kithibiti,
Kweli Loydah aliona kesi ile ina weza kumshinda sababu hakua na usha hidi wa kuonesha kuwa duka lile halikuuzwa, jambo lile lili mchanganya sana akili na kumkumbuka wakili mmoja aliye kua mkoani Morogoro na kuamini kua huyo ndiye angeweza kumsaidia na wala si vinginevyo.
Asubuhi ya kesho yake aliwasha gari kimnya kimnya na kuelekea Morogoro ambapo baada ya maasaa manne tayari alikua msamvu na kumta futa wakili huyo ambae alienda mpaka nyumbani kwake ila, bahati mbay aaliambiwa kuwa ana umwa, hakutaka kuondoka bila kuonana nae, alicho fanya alimsubiri kwa siku mbili ili aruhusiwe hospitali ambayo haikua mbali na hapo.
USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni