MAHABA NIUE (45)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (45)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA AROBAINI NA TANO ILIPOISHIA... Mtoto huyo alikimbia mpaka kwa Leila , kwa haraka haraka ili onekana kama wana juana kwa kipindi kirefu, kutokana na mtoto huyo kumkimbilia Leila KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... “Mama yuko wapi”? “mama yuu po kuleeee, ana nunua achi crim yangu, na saa ya ben ten” “ Sam huyu mtoto sio siri ka fanana nawewe kila kitu, angalia hata mashavu, mfano baba yake akitokea hapo, ata kuletea kash kash” “kwani baba yake ni nani”? “mmh hata sijui” Ramsey aliji kuta anamchukua Yule mtoto na kumbeba, hakika wali kua wame fanana kwa kila kitu hata unge waona usinge bisha, Leila alichukua simu na kuwa piga picha, Ila gafla mtoto Yule alitoka mikononi mwa Ramsey na kumkimbilia mwana mke aliye kua akitokea mbele yake, “MAMA, Mama bebe, bebe, achi crim yangu iko wapi?”! MTOTO Yule alimrukia mama yake, baada ya hapo alionesha kidole upande aliopo Ramsey, na mwanamke Yule kuonekana kupigwa na butwaa taratibu…