MAHABA NIUE (46)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (46)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA AROBAINI NA SITA ILIPOISHIA... Asubuhi ya kesho yake aliwasha gari kimnya kimnya na kuelekea Morogoro ambapo baada ya maasaa manne tayari alikua msamvu na kumta futa wakili huyo ambae alienda mpaka nyumbani kwake ila, bahati mbay aaliambiwa kuwa ana umwa, hakutaka kuondoka bila kuonana nae, alicho fanya alimsubiri kwa siku mbili ili aruhusiwe hospitali ambayo haikua mbali na hapo. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Moja kwa moja aliongoza nyumbani kwa wakili huyo, baada ya kusikia tayari kasha ruhusiwa hospitali, kweli aliingia ndani na kuka ribishwa na kuanza kueleza kila kitu, “ulisema mdogo wako, alifariki akaacha duka kubwa mjini, na shamba ambalo hujui lipo wapi”? “ndio”! “huyo ana etaka kumdhulumu ni nani”? “rafiki yake kipenzi yaani sijui nini kime mpata huyo shetani , “ “dada ninge kusaidia, hiyo kesi ni ndogo sana, ila nita kuelekeza kwa mama mmoja hivi, naamini ata kusaidia sana” “una sema”? “nasema hivi, …