MAHABA NIUE (48) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA AROBAINI NA NANE ILIPOISHIA... Loydah tayari alifika Moro goro nyumbani kwa Sabrina, bila kuficha chochote kile Sabrina anamiuua kumuelezea kila kitu Loydah, na kuamua kuweka wazi swala lake juu ya mtoto aliyezaa na Ramsey , hakika hakukuwa na sababu ya kubisha kutokana na Loydah tangu awali alimuwekea mashaka Catherine mtoto wa sabrina. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... “Naomba unipeleke kwa Ramsey sasa hivi” “subiri Loydah, jambo hili, linahitaji utulivu sana,” “kivipi wakati ume niambia tayari ana kumbu kumbu alafu kesho ndo siku ya kesi kusomwa, nataka Yule shetani aumbuke” “Yule daktaria ana mahusiano naye ya kimapenzi, cha kufanya tumsubiri aende kazini ili sisi twende tumchukue ikiwezekana tuondoke nae kabisa “ Alishauri Loydah na wote kukubaliana na mawazo hayo, walikua wenye furaha sana siku iyo, kujuana hakika lilikua ni jambo la bahati, walimshkuru sana Mungu wao aliye juu mbinguni, Baadae kabisa walien…