MAHABA NIUE (50)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (50)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA HAMSINI ILIPOISHIA... Kutokan na kuwa na hali mbaya sana hapo siku za nyuma, ivyo kupona kwa Ramsey ilikua asilimia hamsini peke yake, na wala si vinginevyo, alilia machozi, madaktari wale waliwaomba watoke nje ili wao waweze kufanya kazi yao ya kujaribu kuokoa maisha yake,vile vile hata kwa madaktari hawa kua na uhakika kama mgonjwa wao huyo ataweza kuishinda hali hiyo ya umauti, KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Walichukua vifaa maalumu na mtungi wa gesi ya oxygen na kumuwekea puani huku wengine wakimvua shati na kumuwekea mashine nyingine ya mapigo ya moyo, Mashine ile ilizidi kupiga kelele kuashiria kuwa mapigo ya moyo yana zidi kushuka chini, “dokta, ana kufa huyu” “leta hiyo mashine hapo” “ipi hii”? “fanya upesi. ndio hiyo hiyo” Dokta huyo alikua akipambana kuokoa maisha ya Ramsey alichukua mashine hiyo zilizo fanana na pasi nakuzishika mashine izo ambazo husaidia kushtua mapigo ya moyo, alipasha mashine izo…