UTAMU WA DADA (14)

Zephiline F Ezekiel
UTAMU WA DADA (14)
JINA: UTAMU WA DADA Mwandishi: Kelvin Chitanda SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Dakika kadhaa baada ya kupanda kwenye basi safari ikawa imeanza rasmi, safri ambayo ilikuwa sio ya matumaini kwa upande wangu kwani ilikuwa ni safari ya kupangiwa lakini pia nilikuwa sifahamu chochote kile kuhusu ninakokwenda kuishi lakini pia ninaokwenda kuishi nao. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Niliumi sana. Kati ya watu wasiopungua sitini kwenye Basi lile, ni mimi tu ambaye nilikuwa sifurahii kabisa safari ile, wachache walibaini ilo hata hivyo walishindwa kujua ni kwa namna gani wataanza kuniuliza ikiwa mjini kila mmtu na mambo yake. ************************************************************ Kiuhalisia hamna umbali mrefui sana kutoka Dar es salaam mapaka Tanga mjini kwahiyo safari ilionekana kuwa fupi kwani ndani ya gari nililokuwa nimepanda kulikuwa na burudani chunhgu mzima, kulikuwa na Tv iliyokuwa iaonesha muvi za kikolea tu mpaka tumefika, ndani ya gari ilo pia kulikuw…