Notifikasi
Tidak ada notifikasi baru.

UTAMU WA DADA (14)

Mwandishi: Kelvin Chitanda

SEHEMU YA KUMI NA NNE
ILIPOISHIA...
Dakika kadhaa baada ya kupanda kwenye basi safari ikawa imeanza rasmi, safri ambayo ilikuwa sio ya matumaini kwa upande wangu kwani ilikuwa ni safari ya kupangiwa lakini pia nilikuwa sifahamu chochote kile kuhusu ninakokwenda kuishi lakini pia ninaokwenda kuishi nao.

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
Niliumi sana. Kati ya watu wasiopungua sitini kwenye Basi lile, ni mimi tu ambaye nilikuwa sifurahii kabisa safari ile, wachache walibaini ilo hata hivyo walishindwa kujua ni kwa namna gani wataanza kuniuliza ikiwa mjini kila mmtu na mambo yake.
************************************************************
Kiuhalisia hamna umbali mrefui sana kutoka Dar es salaam mapaka Tanga mjini kwahiyo safari ilionekana kuwa fupi kwani ndani ya gari nililokuwa nimepanda kulikuwa na burudani chunhgu mzima, kulikuwa na Tv iliyokuwa iaonesha muvi za kikolea tu mpaka tumefika, ndani ya gari ilo pia kulikuwa na mgao wa vinjwaji bure kabisa lakini pia vitabu mbali mbali kama vile CHOZI LA UKIWA kilichoandikwa na mwandishi KELVIN CHITANDA vilikuwa vinatolewa kwa ajili ya kusoma wakati wa safari lakini walituhasa kurudisha tukishafika kituo cha mabasi Tanga, lakini pia waligawa magazeti kwa wapenzi wote wa mpira.

Nilichukia sana kutoona magazeti ya udaku kwani humo ningesoma stori nyingi za kutiana nyege lakini nilikuja kubaini kuwa kila kitu kinatokea ili kufanikisha kitu kingine kwani nilijikuta nakipenda kitabu cha CHOZI LA UKIWA hasa maudhui yake ambayo iliniacha na kitu cha kujifunza.

Baada ya kufika Tanga mjini niliongozwa na simu mpaka kufika kijijini kwa bibi ambaye hakuwa mzeee sana ila ni kutokana tu umri wake ulikuwa umeenda ndiyo baada alistahili kumwita bibi, vile vile tulimwita bibi kwani ni yeye ndiye mama wa mama yetu.

Nilikuja kupokelewa katika stendi ya kijiji na mama ambaye sikuweza kumfahamu kwa sura wala kwa jina kabla hajajitambulisha kwangu kuwa anaitwa mama Jackson, aliendelea kwa kuniambia kuwa hamna unasaba wowote uliopo kati yangu na yeye bali tangu kitambo mama huyo ana urafiki na mama yangu hivyo walikuwa wanawasiliana katika wakati ule ambao pia nilikuwa nawasiliana na mama ambaye ndiye aliyekuwa ananiongoza.

Basi mama huyo aliendelea kuniambia kuwa yeye na mama yangu ni marafiki sana tangu enzi na enzi hivyo walipanga kutumia jina la Jackson kwa kila mtoto wao wa kwanza wa kiume.

Mama hakuweza kupata wa kwanza wa kiume bali nilizaliwa nini Magreth bin Maganga lakini kwa upande wa rafiki yake yeye alifanikiwa kwani mtoto wake wa kwanza ambaye ni Jackson alikuwa wa kiume.

Maongezi hayo yalitufikkisha kwenye nymba moja ya bati chakavu japo sio sana, nyumba iliyokuwa imejengwa kwa matofali ya kuchoma kisha macho yangu kugongana na sura ya bibi ambaye alikuwa ananikaribisha tu pasipo kukumbuka kuwa hakukuwa na kiti cha sisi kukaa.

Basi siku hiyo baada ya kukaribishwa vizuri na bibi kisha kula chakula kitamu nilichokuwa nimekiandaa siku hiyo, chakula ambacho tulikula kwa mikono kwani niliyafuta vijiko lakini sikuona kabisa vijiko mle ndani, nilijaribu kutafuta tena kwa mara ya pili lakii pia majibu yake hayakuwa tofauti na uhalisia wenyewe kwani kulikuwa hamna kimoja.

Sikuwa nimezoea kula wali kwa mikono ila kwa wakati huo na kuendelea ilinibidi tu niezoe tu. Wali ambao bibi alikuwa anautoa shambani kwake kwani licha ya uzee wake lakini alikuwa anajiweza mwenyewe na maisha yake.

Tuliendelea kula wali mimi na bibi yangu huku tukisindikizwa na mziki wa miaka ya 80 uliokuwa unaimba kupitia redio yake bibi aliyokuwa amenunua baada ya kufanya mauzo ya mpunga wako aliokuwa ameuzalisha wa kutosha kwa kuuza na kwa matumizi yake binafsi.

Nilimapenda sana maisha yale ambayo yamekosa kabisa vurugu pamoja na kutokuwa na namna yeyote ya kufuatiliana, nilijikuta nayapenda maisha ya kuishi kijijini ilihali mwanzo nilinunua kabisa nilivyoambiwa niende kijijini. Kilichonifurahisha zaidi kilikuwa ni vile nilivyoishi vizuri na bibi yangu kwa furaha ambapo wakati wote tulikuwa tunaongea yanayohusu maisha, yanayohusu familia yetu lakini pia kuhusu jamii ya Tanga kwa ujumla.

Baada ya kumaliza kula kisha mimi kutoa vyombo na kuvipeleka ndani, tulianza kula matunda mbali mabali kama unavyoijua Tanga kuwa ukiachana na kuwa jiji la mapenzi lakini pia limebarikiwa kwenye suala zima la kuwa na matunda ya kila aina.

Tuliendelea kula matunda katika namna ile ya kubadilishana mawazo mimi na bibi yangu lakini baadae nafsi ilikuja kupata maumivu makali baada ya bibi kuniambia kitu kilichonifanya niumie usiku ule, niliumia sana ndugu msomaji kiasi cha kukosa hamu tena ya kuendelea kuongea na bibi kwa wakati ule baada ya bibi kusema hivi,,,,!

Bibi aliongea maneno yaliyourarua moyo wangu, tena kwa hakika moyo wangu ulikosa nafasi ya uvumilivu nikajikuta namchukia kabisa niliyekuwa nimemwamini kuwa ni baba yangu kumbe la.

Bibi aliniambia kuwa yule ninae mwamini kuwa ni baba yangu sio baba yangu, aliendelea kwa kuniambia kuwa katika miaka hiyo kabla sijazaliwa baba yangu alikuwa ana matatizo katika nguvu zake za kiume kwa maana alikuwa anashindwa kabisa kusababisha mimba.

Lakini changamoto ilikuwa ni kwamba ulikuwa ni wakati ambao mama alikuwa anataka mtoto, hivyo baba na mama walifikia makubaliano kuwa mama alale na rafiki wa baba ili wapate mtoto wakati huo baba anafanyiwa uchunguzi kupitia dawa mbali mbali ambazo zote zilikuwa za kienyeji kutoka kwa watalaamu mbali mbali wa Tanga.

Basi bibi aliendelea kwa kusema kuwa mama alikubali ushauri huo ambao ulifanyika kikamilifu kabisa ndipo mama alipotunga mimba ambayo ni mimba iliyonileta mimi duniani.

“Hayo yote yalifanyika wakati baba yako anafanyiwa matibabu ya kutosha kwa miaka mingi sana mfululizo, hii ni siri tena siri kubwa sana nakupa wewe kwa sababu nakuona ushakuwa mkubwa, chuchu zimechanua lakini ni siri ya mimi, mama yako, baba yako pamoja na rafiki yake baba yako ambaye ameshafariki tayari baada ya kugongwa na gari huko Tanga mjini”

Bibi aliendelea kusema maneno yaliyozidi kuwa mwiba wenye sumu kali, mwiba ambao ulichoma moja kwa moja moyoi mwangu. Nilishinda kuvumilia kwani nilijikuta nalia pale nilipokuwa nimekaa, mdomo wangu ulikuwa una ladha ya uchungu kutokana na kula matunda mchanganyiko pia kitendo kile cha kulia kilisababisha mdomo wangu kuwa mchungu.

Sikusema chochote zaidi ya kuenelea kuwaza tu kwani hapo ndipo nilipobaini maana ya mdogo wangu Jack kunila utamu pasipo kuogopa chochote, hapo ndipo pia nilifahamu kwanini Jack alitilia mkazo sana na kurudia kutumia neno ‘Mwana wa kumzaa mwenyewe’, hapo nilikumbuka pia kuhusu kitendo cha mdogo wangu Jack kukazia mameno yoteee katika ujumbe ule wa karatasi kasoro maneno yaliyokuwa yanaonesha jina lake na unasaba wake kwangu vilikuwa vimeandikwa kwa herufi ndugu.

Kama ningekuwa nyumbani siku hiyo nisingesubiri kuaga pamoja na kuweka matangazo yoyote kuhusu kwenda kulala, bali ningetafuta njia ya chumbabi kwangu kisha kulala.

Nimefanya hivyo sana nyumbani yaani endapo nikachukizwa na yeyote baada ya kula nilikuwa naelekea chumbani kwangu pasipo kuaga kwa yeyote tena walikuwa wananijua siku mbaya kama hizo.

Basi nikiwa naendeleza kuwaza na kuwazua kuhusu yale niliyokuwa nimeambiwa na bibi pale kwenye kigoda nilipokuwa nimekaa nilishangaa usingizi mzito uliniingia kisha usingizi kusaliti macho yangu kwani macho yalikosa nguvu kabisa ya kuendelea kupambana na usingizi ambao ulikuwa umenizidi kete kwa wakati huo.

Nilikuja kushitushwa na sauti ya mtu iliyoambatana na namna fulani ya kunitingisha, kumbe alikuwa bibi aliyekuwa ananisisitiza nikakale baada ya kushuhudia hali yangu ya kuzidiwa.

Haukuwa usiku sana kiasi hicho bali ni kutokana na uchovu wa safari lakini pia mawazo niliyokuwa nimeyaibua baada ya bibi kuniambia ukweli kuhusu baba yangu kuwa sio baba yangu halali bali ni baba yangu feki.

Bibi alinionesha chumba ambacho kitakuwa ndicho chumba changu kwa siku zote nitakazokuwa hapo, nilielekea kisha kukutana na kitata ambacho kilikuwa na godoro chakavu lililokuwa limechoka kwa mwonekano wake wan je kwani hata rangi yake halisi ilipotea kisha kuwa na rangi ya uchafu kutokana na kutofanyiwa usafi muda mrefu.

Nilirudisha fikra nyumbani kisha kukutana na kitanda safi kabisa, kitanda chenye sifa zote za kuitwa kitanda, hata hivyo kutokana na uchovu niliokuwa nao kwa wakati huo sikuwa na budi kulala ili kesho yake nifanye usafi wa chumba mpaka kitanda. Hivyo nilijilaza kitandani kama gogo ambalo halina thamani lilalavyo porini likiwa katika namna ya kusubiri kuokotwa na watafuta kuni.

Baada ya dakika tano sikuwa Magreth mimi tena ndugu msomaji, nilikuwa Magreth niliyetofauti sana nikiwa nimepambwa na kimini kilichofany sehemu kubwa ya mapaja yangu kuonekana pasipo shaka yeyote, lakini pia juu nilivalia blauzi ambay iliyafanya matiti yangu yaonekane kwa mbaali kiasi kwamba wale wanaopenda matiti kama mdogo wangu Jack wangeishia kutokwa na mate mepesi yajulikanayo kama udenda ikiwa kama hawajapata utamu wangu ambao kwa mwonekano wa taswira hiyo nilijikuta nakuwa kivutio kwa wanaume rijali waliokuwa wanaoangalia.

Ilikuwa ni ndoto ndugu msomaji, ndoto iliyokuwa imeniongezea hisia kali sana za mapenzi kiasi cha kumkumbuka mdogo wangu Jack kwani alikuwa ananisugua vyema kila nilipokuwa najisikia kuwa na nyege.

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
42 Simulizi Utamu wa Dada
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni