ROHO MKONONI (2) JINA: ROHO MKONONI Mwandishi: Zuberi Maruma SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... ...pamoja na watumishi wa pale 'earport' kwa kuwa gari yao awakupaki mbali wakamshtua dereva akaisogeza karibu watuhumiwa wakaingizwa ndani baada ya kunyang'anywa silaha landrover ile ya polisi ikiwa na watuhumiwa ndani ikaanza kutoka uwanja wa ndege huku waandishi wakipiga picha aikujulikana walifika saa ngapi,ila tayari habari zile zilishazagaa... KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Butu hakiwa ndani ya gari ghafla simu yake ikaita tena kucheki namba ni zile zile ' 15551 ' haraka akapokea "vizuri sana afande kwa kazi nzuri,ila nyuma yako kuna gari ilotumwa kuja kuwachukua hao watu inawafatilia kazi iliyopo mbele yao ni kuwashambulia,na siyo hiyo tu hata mbele yenu kuna tipa la mchanga linakuja lengo kuwagonga ikiwezekana kuwaokoa wenzao nanyi mko wachache ivyo yatakiwa m…