ROHO MKONONI (4)

Zephiline F Ezekiel
ROHO MKONONI (4)
JINA: ROHO MKONONI Mwandishi: Zuberi Maruma SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... ...Butu akaingia ndani ya gari yake tayari kurudi nyumbani akiacha zogo huku nyuma kati ya inspekta Jona na mkuu wake *** Inspekta Butu aliwasili nyumbani kwake akaliweka gari lake na kutoka nje ambapo alielekea mpaka kwenye KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Ile gari aloelekezwa akafunguliwa mlango wa nyuma akapanda gari,akiwa ndani ya gari alisachiwa baada ya kutokutwa na silaha gari ikaondolewa,ndani ya gari hapakuwa na mtu aliye ongea wote walikuwa kimya,safari yao iliishia palipo na msitu mdogo ujulikanao kama pori tasa ,walielekea mpaka katikati ya msitu huo,ghafla gari likasimama na taa za mbele ya gari zikawashwa Butu akuamini alichokiona mbele yake,haraka akafungua mlango na kutoka akaikimbilia familia yake ilokuwa imelala chini katika madimbwi ya damu! Kitendo cha kushuka tu ile gari ikawa…