BABU UTAMU (6) Jina: BABU UTAMU Mwandishi: Pablo Hernandes SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... ‘’ Emmanuel nakuomba saa nne usiku uje ndani kwangu kile chumba changu nina mazungumzo marefu nataka tuongee.’’ Mama Mariamu akamwambia Emmanuel ambaye alikuwa ameshajiandaa kwa maana alijua kitatokea msala tena.Maneno yale yalimshangaza kidogo na hakuwa na ujanja wakuuliza akatikisa kichwa na kumsindikiza mama yule kwa macho. WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... ‘’Mmmh sijui nini tena aaah aisee naona kabisa nimekwisha.’’……… Emmanuel akajisema mwenyewe kimoyomoyo na kuonyesha jinsi gani alivyokuwa na hofu kubwa ndani yake.Pia maneno ya mama Mariamu yalimbakisha na kuwa na maswali mengi kichwa mwake na kuwa na shauku ingawaje alikuwa na kauoga flani kutaka kujua yale mazungumzo marefu kidogo aliyomwambia mama Mariam kuwa anataka kuzungumza…