MUUZA CHIPS (1)

Sehemu ya Kwanza, mke wa kaka, mwenye umri wa, siri ya mke, umri wa miaka, ana mke kabla, banda lake la, kabla ya kaka, katika siri ya, kijana chidi
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (1)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KWANZA Jamani Simulizi hii, sio moja, bali zipo simulizi mbili ndani ya moja… Kuna simulizi yangu moja iliitwa MKE WA KAKA hio simulizi inaendana na simulizi hii ya MUUZA CHIPSI, hivyo sikutaka simulizi zangu ziwe zinajirudia, hivyo nimeiweka sehemu moja zote mbili, mana stori za simulizi hizi zinaenda.. Hivyo ukisoma jua kua unasoma simulizi mbili ndani ya moja… Ila simulizi halisi ni MUUZA CHIPSI ikifuatiwa na MKE WA KAKA ambayo nayo ipo humu humu ndani,. Na utaijua hapo itakapoanzia rasmi lakini mwanzo wa zote ndio, lakini pia MKE WA KAKA ina mwanzo wake huko mbele, hivyo nayo inaanzia hapa hapa……. Sasa ole wako uikose staki maswali mengi mana umekosa uhondo mwenyewe… Hivyo msije mkashangaa mke wa kaka kawa MUUZA CHIPSI…. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... MUUZA CHIPSI Ni simulizi inayomhusu kijana…