MUUZA CHIPS (10)

Sehemu ya Kumi, kaka wa chidi, dada yake ndio, na kaka yake, akina chidi na, chidi na kaka, huwa hapendi ujinga, kuseidia mijambazi wewe
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (10)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... "dada yake ndio kamlipia" "dada yake yupi huyo jamani… We chidi eti nani kakuseidia…. " Wakati huo huo sarah nae ndio anaingia huku akiwa kashika mfuko mkubwa ulio onekana kujaa chakula.. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sasa chidi alipatwa na kigugumizi ,.. Mara dokta akajibu kuwa "huyo dada yake ndio huyu hapa" Kaka wa chidi aligeuka na kumtazama huyo dada wa chidi,… Sasa chidi anamjua kaka yake huwa hapendi ujinga, na ni mkali haswa… Sasa ibra akiwa anamuangalia sarah ambae ndio kamseidia kijana chidi,.. "eti wewe ndio umemseidia huyu kijana" Sasa kwa jinsi sarah alivyo, chidi alihisi kuwa sarah angemjibu kaka yake vibaya,.. Hivyo chidi alimshtua sarah na kumuonyesha kwa ishara ya vidole viwili vya mwisho, yaani kile cha kwanza cha mwisho na cha p…