MUUZA CHIPS (11)

Sehemu ya Kumi na Moja, na kaka yake, au ushampenda nini, chidi niambie basi, huku kwa ibrahim, mdogo wako nani, mimi na mdogo, na kukutana na
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (11)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... " chidi jamani, mi naondoka eti huna la kuniambia" Chidi bado alikuwa mzito kujua ishu inayomfanya sarah aage age kila mara, "sarah, we nenda tu, kama ni pesa tunayo wala usijali" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sarah alichoka na kuaga kamwisho mwisho "sawa… Naenda,..but chidi niambie basi niondoke au?" Kaka wa chidi aliondoka hapo chumbani, na kuwaacha chidi na sarah wakiwa wenyewe, Sarah alifurahi sana kwa kitendo cha ibra kutoka, baada ya kupigiwa simu na mtu tusiemjua, na aliondoka kwa haraka sana kana kwamba aliompigia ni mtu anaemheshim sana, Sasa baada ya Ibrahim kuondoka, huku nyuma sarah alianza kuaga mara mbili mbili na yote hayo ni ili tu chidi ajue sababu ya kuagwa huko, lakini chidi hakuwa akifahamu chochote kile kilichokuwa kikimaanish…