MUUZA CHIPS (13) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 21 Mei 2023

MUUZA CHIPS (13)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA KUMI NA TATU
ILIPOISHIA...
Kweli chipsi ni mwanaharamu, kitu kidogo kimemfanya binti huyu kulala na kijana chidi, tena kitoto cha watu kizuri na wala hakina hadhi ya kuwa na chidi, nikimaanisha pesa, mana uzuri wake alitakiwa kutembea na watu wenye fedha, kama watoto vigogo hivi, saumu alikuwa kasimamia kucha kama waswahili wanavyosema, chidi kama tunavyomjua kijana huyu kwa kumwandaa mpenzi wake kimapenzi hajambo, yupo vizuri katika mapenzi,

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Sauti za saumu zilikuwa zikiskika huku chupi ikiwa imeahirishwa kuvuliwa, kwani kuna kitu anataka kujua, penzi likiwa limekolea haswa, hata saumu alikuwa hakumbuki kuwa kulikuwa na kurudi nyumbani,

"chidi… Ume… Aaahhhh…. Aaahhh… Aaannnhhh… Aiiiiii… Uuunnnnhh…. Hhhnnnnnmmm chidi, am ready please"

Sauti za mahaba zikiwa zinarindima katika chumba hicho, chidi alikuwa akiumia tu maana muda wa kumuingiza anko Zakaria ndani bado,..

Wakati huo huku nje sarah ndio anashuka katika gari, Majirani wa nyumba hiyo walikuwa wakimwangalia sana sarah, na kuanza kujiuliza maswali kila mmoja,.. Sarah anafanikiwa kugonga mlango wa chumba walichopo akina chidi na kapenzi chake kapya,

"chidi, naskia kama mlango unagongwa"

Saumu alimwambia chidi huku akionekana kuwa makini sana kwa kusikiliza,

"ngo, ngo, ngo"

"heeeee afu kweli eti… Mungu wangu sijui atakuwa ni kaka huyo"

Kijana chidi aliingiza hofu kwa kudhani kuwa huenda ni kaka yake ndio alikuwa akija,

Lakini haikuwa hivyo, huyo alikuwa ni sarah ndio aliokuwa anagonga mlango,

"samahani mamy"

Iliskika sauti ya sarah akiwa anaulizia kwa jirani

"bila samahani mwanangu uliza tu"

"kuna kijana na kaka yake wanaishi hapa, sjui bado hawajarudi"

"mmmhhh Kiukweli hawa wanarudigi usiku sana na hata kutoka kwao pia ni usiku mno"

"aaaahhh na hata siku za juma pili huwa hawapogi"

"yaani hawana siku mapumziko hawa vijana, yan nawasifu sana Kiukweli"

Sarah alionekana kuikosa raha baada ya kumkosa chidi, lakini chidi alikuwa ndani akimsikiliza tu jinsi alivyokuwa akimuulizia kwa majirani,…

Ghafla inasikika alam ya gari, kumaanisha ndio alikuwa akiingia katika gari na kuondoka zake

"Uuufyuuuuu afadhali ata"

Chidi alipumua kwa nguvu na kusema afadhali,

"kwani alikuwa ni nani"

"huyo ni mtoto wa bamkubwa wangu"

"mmmhh mwenzio nimeshtuka, hadi hisia sina tena"

"mmmhhh usiseme hivyo saumu"

"kweli vile sina hata hamu"

Ghafla Zakaria wa chidi anasimama baada ya kuona kichupi cha swaumu kikiwa bado kipo mwilini,.. Alimrukia na kuanza upyaaa,.. Saumu alikuwa akikimbilia kulishika Zakaria la chidi, huku chidi nae hatoki mdomoni mwa saumu,… Kasaumu kalikuwa kamesharejesha hisia zake, mana kalishaanza kuharibu mashuka yaliotandikwa, alikuwa akiyakunja kunja mashuka hayo huku sura yake ikijikunja,.. Kumbe chidi saa nyingi alishaivua ile chupi sasa alikuwa anaonja chumvi kama imekolea,… Na mtoto saumu alikuwa ni msafi sana, mweupeee yaan ukimuangalia tu mwenyewe unafrai kumiliki mtoto kama huyo,.. Mzuri lakini fedha kwao ndio haba,…

Saumu hali ya kuloanisha mashuka ilianza, huku chidi akiwa kahamia kifuani na kugeuka mtoto mchanga, yaani alivyokuwa akimnyonya mtoto wa watu, utafikiri kweli alikuwa akiyapata maziwa, kumbe walaaaa,…

Saumu alizidiwa mpaka akaamua kuvua boxer ya chidi mwenyewe kisha akajisogeza kidogo tu huku akimwamuru chidi kuwa

"chidiiiii"

"hhhmmmm"

"njoooo mbele kidogo tu, mpenzi wangu"

Chidi alifuata amri ya saumu

"aaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamani chidi nilikuambia kidogo tu jamani… Uuiiiiiii Iiiiiiiii"

"tulia basi saumu"

Saumu alikuwa akideka juu ya kifua cha chidi, wakati huo kijana chidi hajali kulia kwa saumu,

"taratibu mpenzi wangu, kwani mie nakimbia wapi"

Aliongea Saumu huku akimnyonya chidi vichuchu vyake, Saumu alimpatia sana chidi, mpaka nae akaanza kuzitoa sauti ya kiume, ukiliskia lisauti la chidi ukiwa chumbani, yaan kama ulikuwa unasikiliza lazima udate, maana inatoka ile iliochujwa haswaaa,…

Baada ya masaa mawili, saumu alionekana kuwa hoi, yaani hakuwa akiweza hata kuinua kichwa, na wakati huo alikuwa kajilaza kifuani kwa chidi, akiwa mtupu kabisa,…

"mungu wangu chidiiii"

"nini"

"ivi tumefanya na kondom kweli jamani"

"aaahhh saumu, mtoto mtamu hivi nitumie kondom yanini tena"

"chidi, mi nahofia mimba mwenzio bado nasoma eti"

"usijali, huezi pata mimba bwana"

"kwahio ukisema hivyo ni kwamba wewe sio mwanaume si ndio"

"no simaanishi hivyo"

"ila…. Ok, tuyaache hayo mana nikihisi tu naenda kuitoa"

"usiiombee bwana"

Basi walielewana huku chidi akivuta boxer yake na kutaka kuvaa

"chidi mie naendaje nyumbani, nitamwambia nini mama"

"nakupa nauli ya toyo"

"chidi, tatizo sio nauli mpenzi wangu"

"nini sasa"

"nimechelewa sana eti"

"ngoja nikupe wazooo….. Ukifika nyumbani ukiulizwa umechelewa wapi, mwambie, tulipewa adhabu ya kumwagilia bustani yote, toka saa 9 mnanyweshea maua… Hapo akikataa basi atakua kasoma sana"

"mmmhhh saa tatu chidi"

"eeeee… Kwani ulipewa nauli ya kurudi"

"akaaa napewaga ya kuendea tu, kurudi narudigi kwa miguu"

"basi unasema kwakua sikua na nauli ndio nimeongeza kuchelewa"

"mmmhhhh una mawazo wewe… Unaonekana shule ulikuwa mtoro kweli wewe"

"wala ata kawaida tu"

Kesho yake asubuhi sana kijana Ibrahim akiwa yupo na chidi katika sehemu ya biashara akimseidia kumenya viazi kisha ndio aende kwenye kubanda kingine,

"unajua nini chidi?"

"sijui"

"kule kwangu wateja hawali chipsi asubuhi, sijui yapoje"

"heeeeee sasa we wataka wale muda wote"

"yes, wafanye kama hapa,.. Hapa ikifika saa 6 tu chipsi hakuna, lakini kule ikifika saa 6 chipsi ndio kwanza zinaanza kuliwa"

"we unajua ni kwanini broo"

"sijui"

"hapa tupo karibu na shule, so wanafunzi wanazila sana na ndio mana hapa zinaisha kuliko huko"

"eeeeti eeee, kumbe ndio maana zinaisha haraka mnooooo"

Kitu na ndugu yake wakiwa ndio wanaandaa chipsi mapemaa mana hapa wanaanza kula asubuhi,..

Kaka wa chidi aliondoka zake na kwenda kwenye kibanda kingine cha chipsi,..

Tukiingia huku shule mida ya saa nne hivi, yalikuwa ni mapumziko mafupi,.. Tunawaona wanafunzi kadhaa wakiwa wameketi kwenye kiubaridi huku saumu akiwa katikati yao,..

"shost leo una raha, yan toka asubuhi sikuelewi kabisa yani"

Alikuwa ni rafiki wa saumu aliokuwa akimuuliza saumu, kuwa leo ana furaha sana kuliko hata siku zote,

"nakuambia zaituni we acha tu, sio furaha tu, hapa nilipo mwenzio nimekuwa mwepesiiiiiii"

"mmmhhh mwepesi wa nini tena"

"jana babu weye,… Nilishikwa shikwa, nilibinuliwa binuliwa"

"heeeeee usituambie mwenzetu"

"yaani zai…. Jana nilikuwa na boy mmoja huyo, nakuambia kama ni mapenzi.. Basi huyo tumpe degree zote"

"heeeeee mwenzetu, jana uliingia chaka gani"

Aliuliza mwanafunzi mwingine kuacha zai,

"fatu… We acha tu.. Asikuambie mtu, mapenzi ni matamu nyie, ukimpata mwanaume anaejua mapenzi,… Sio anaejua kukatika tu, yaani anaejua mapenzi haswa… Zai, jana niligeuzwa kama samaki"

"sasa si utuambie mwenzetu, ata tumjue shem letuuu"

Aliuliza zai huku wakicheka kwa furaha, kama unavyojua umbea wa wanafunzi ulivyo,.

"yaan hata nikiwaambia, hamtoamini na ni mtu ambae kila siku mpo nae"

"nani huyo… Saumu usikute unatembea na mpenzi wangu saumu"

"booooooooo, yaani huyo saidi, anipeleke wapi"

Zai alichukia ghafla baada ya kusikia kuwa mtu mwenyewe wanae kila siku, sasa akahisi ni mpenzi wake aliopo hapa shule anaeitwa saidi,..

"we Saumu unatukata stimu bwana"

"sikieni niwaambie… Ila kimyaa watu wasijue"

"heeeee mbona we unawajua wapenzi wetu, na kujamwambia mtu"

"MUUZA CHIPSI babuu"

"muuza chips kafanyaje tena… "

"ndio kijogoo changu"

"E heheeeeeee haloooooo"

Walicheka huku wakigongesheana mikono yao, kana kwamba wanamdharau Saumu kwa kutembea na kijana chidi..

"sasa mnachekeshwa na nini"

"yaani kile kisambaa kile, ndio unakijaza sifa zote hizo"

"yaani zai nakuchukia… Sasa kama hutaki kumjua ulikuwa unalazimisha nini nikutajie"

"mi nilijua mtu na hela zake"

"kwani huyo saidi wako ana hela…"

"hata kama"

"nyooooo… Yatakushinda"

Saumu aliondoka zake kwa hasira huku akiwa kanuna haswa

"lakini, zai… Tuseme ukweli tu, muuza chipsi ni hensam eti"

"nilimkosha tu ili achukie… Ila najua vitoto vinavyotoka tanga havijambo"

"mi mwenyewe hapa hoi, nahisi mie ndio nilikuwa nageuzwa"

"heeeeeeee faaaaatuuu, ina maana na wewe ushampenda"

"akikaa sawa haachwi…. Sifa zote hiizo mie sijawahi hata kuzipata, leo ajilengeshe nimuache"

Tukija huku nyumbani kwa mke wa kaka yake na chidi,…

Alikuwa nyumbani hapo huku akiwa na rafiki yake,..

"shosti… Naisubiri hela ya kibati ulete huketi"

"mmhhh shost, heka yenyewe nilikuwa nadai kama kodi ya nyumba, yaani kanipa jana"

"heeeeee kwahio ulimdanganya mpenzi wako kuwa unadaiwa kodi ya nyumba"

"sasa je, we ulifikiri ningechezaje kibati na kukulipa deni lako"

"heeeee haya nipe mzigo wangu mie niende natembezi nikainjoi maisha"

"unaenda wapi mchana huu nasra"

"we acha tu, uschana unasumbua, bira yako wewe mwenye mume….. Enheee afu shost kuna siku ulinambia una mimba wewe"

"ndio shost"

"lakini ilikuwa ni muda,… Afu naona kama tayari utakuwa unafua mapempasi tu"

"shost we acha tu"

"we shost, hebu niambie ukweli, ulikuwa na mimba kweliii au unazingua tu"

Wahenga walisema mjini shule,… Haimaanishi kuwa kuna madarasa ya kujifunzia, bali ni akili yako jinsi itakavyo cheza na akili za watu, na sii kwa wanaume tu bali ni hata kwa wanawake, tena kwa wanawake wamezidi mno, yaani kama ni shule basi wao wana degree zote,… Katika maisha ya mjini kumbuka hakuna shamva kana kwamba utalima utavuna, na hatmae utakula,.. Ni tofauti na maisha ya kijijini, umeingia kwenye shamba la mzee senga umekuta papai umekula umeshiba… Umeingia kwenye shamba la mzee jangala, umekuta tunda umechukua umekula na umeshiba…. Je? Mjini utayapata wapi hayo, hivyo pasina kucheza na vichwa vya watu walio wajinga kuchezeka, hujikuta na wewe unakua na maisha kutokana na akili ya mjinga… Hivyo wengi wetu tushukuru sana kwa kuwepo wajinga ambao wanawafanya wengine kuneemeka na maisha… Bila ujinga wangu mimi wewe usingesoma hii stori bure, ningelikuwa mjanja ningekwambia nauza na ulivyo mjinga ungenunua,.. Hivyo mimi na wewe ni wajinga sema hatujijui tu,… Kama wewe ni mjanja kwangu, basi jua kuna mtu ni mjanja kwako, kataa kubali na huo ndio ukweli,.. Hata mimi ni mjanja sana kwa kuandika simulizi kama hii na nyingine lakini ninyi ni wajanja zaidi kwa kuwa mnasoma bila ya mimi kuipata faida, hivyo huoni hapo nina kaujinga kidogo…

Ila ujanja mwingiiii, wanao wanawake, unajua nikisema mwanamke ni mjanja sana na ana akili za ujanja janja nyingi sana kuliko hata sisi wanaume, na yote hio ni kutokana na udhaifu wetu,.. Sema mwanamke ni mjamzito mjinga zaidi kwasababu ana maamuzi ya haraka, yaan hapendagi kuumiza kichwa kuhusiana na jambo gumu, ila mwanaume ni mjanja sana kwenye maamuzi yake, ila maamuzi yetu yakilegea tu kidogo, basi na mwanamke anakuwa juu,…

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni