MUUZA CHIPS (14)

Sehemu ya Kumi na Nne, na kijana chidi, na rafiki yake, dada hakuna shamba, hakuna shamba huku, hapa na pale, hapa ni mjini, huku shule saumu
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (14)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Sema mwanamke ni mjamzito mjinga zaidi kwasababu ana maamuzi ya haraka, yaan hapendagi kuumiza kichwa kuhusiana na jambo gumu, ila mwanaume ni mjanja sana kwenye maamuzi yake, ila maamuzi yetu yakilegea tu kidogo, basi na mwanamke anakuwa juu,… KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Mke au mchumba au mpenzi wa Ibrahim ambae ni kaka yake na chidi, ni mschana mzuri lakini alikuwa na jeuri kubwa sana mbele ya ibra, kana kwamba Ibrahim hawezi kuruka juu zaidi kwa mwanamke huyo, kwani kitendo tu cha kuacha elfu 30 kwa siku, tayari ni dhahiri kuwa mwanamke huyo hafai kabisa hata kwa dawa, lakini kijana Ibrahim kapenda mpaka basi, tena anampenda sana pale aliposikia kuwa mpenzi wake huyo ana ujauzito wake, yaani hapo Ibrahim ndio kachanganyikiwa kuliko kitu chochote kile,… Lei mke wa Ibra…