MUUZA CHIPS (2)

Sehemu ya Pili, cha mizimu hapo, chakula cha mizimu, chini ya kitanda, hapo ili ikusaidie, ili ikusaidie kazi, imeshikwa na mtu, juu ya kitanda
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (2)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Geto ya kijana chidi ilikuwa imependeza kwa ndani kwani waliipamba kwa magazeti, na kuleta mwonekano mzuri,…. Mkewe alikwenda kupika nyumba kubwa nae akabaki anacheza na mtoto wake King au kingazi jina la baba ya rashidi,… Chakula kiliiva na mkewe alileta chakula huku geto kwao na kuanza kula… KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Ilipofika mida ya saa 3 usiku kijana chidi alichoka sana, hivyo alihitaji kulala,…. Kitanda chao cha sita kwa nne ( 6 × 4) kilikuwa ni chembamba sana kwani kilimfanya kijana chidi atandike godoro la sufi , kwa wale wa kijijini mnayajua haya magodoro yapo hadi leo huko,.. Kutokana na udogo wa kitanda kile tena waliachiwa na wazazi wao baada ya wao kununua kipya,.. Hivyo chidi alitandika godoro hilo la sufi na kumuacha mkewe pamoja na mtoto wake walale juu ya kita…