MUUZA CHIPS (2) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatano, 17 Mei 2023

MUUZA CHIPS (2)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA PILI
ILIPOISHIA...
Geto ya kijana chidi ilikuwa imependeza kwa ndani kwani waliipamba kwa magazeti, na kuleta mwonekano mzuri,…. Mkewe alikwenda kupika nyumba kubwa nae akabaki anacheza na mtoto wake King au kingazi jina la baba ya rashidi,… Chakula kiliiva na mkewe alileta chakula huku geto kwao na kuanza kula…

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Ilipofika mida ya saa 3 usiku kijana chidi alichoka sana, hivyo alihitaji kulala,…. Kitanda chao cha sita kwa nne ( 6 × 4) kilikuwa ni chembamba sana kwani kilimfanya kijana chidi atandike godoro la sufi, kwa wale wa kijijini mnayajua haya magodoro yapo hadi leo huko,.. Kutokana na udogo wa kitanda kile tena waliachiwa na wazazi wao baada ya wao kununua kipya,..

Hivyo chidi alitandika godoro hilo la sufi na kumuacha mkewe pamoja na mtoto wake walale juu ya kitanda kile,.. Inaonekana anampenda sana mke wake,.. Lakini mke nae pia alikua akimpenda sana mumewe, kitu ambacho hakupenda sana alale mbali nae, Mke aliamka na kujisogeza kwa mumewe Taaratibuu kabisa ili kulipata joto la mume wake..

SONGA NAYO………..

"salma mke wangu, kamkumbate mtoto kule, baridi hii"

"chidi mume wangu,.. Mtoto nimemfunika lile brangeti langu, kwahio hana shida"

"una uhakika"

"usijali, king wako yupo salama bado mimi tu"

"mmmhhh mbona wewe upo salama tu"

"wala, sipo salama ni macho yako tu"

Kiukweli walikuwa wakipendana sana wawili hao, na sijui waliozeshwaje mana mschana huyu ni mdogo sana,….

Sasa salma alishuka pale chini na kukiacha kitanda ili akapate sunnati rikhububu, mambo ya mahaba, hivyo akawa anaanza kumshawishi kwa mikono yake laini ya kike,.. Sasa kijana chidi badala ya kusisimkwa ili apandishe mzuka, alijikuta analala Fofofo, na mke wake kuona hivyo hakutaka kumsumbua mume wake maana alikuwa kachoka sana, kwa kulima siku nzima ya jana

Asubuhi asubuhi kijana huyo anaamka lakini alionekana kuna mahari anakwenda mana kadaamka asubuhi sanaa,. Kwani hata wazazi wake hawakuwa wameamka mana ilikua ni alfajiri nzito mno… Alivaa koti lake kisha akaanza kuchanja mbuga, kuna mahali alikua anaenda,.. Na ni kweli alitembea sana mpaka kufika sehemu ambayo kulikua na kakibanda hivi, palionekana ni sehemu ya mganga wa jadi,… Ghafla anaskia kicheko kizito sana."ahahahahahahahahahaha …karibuuu, nilijua tu utakuja, hapa ni maji usipooga utakunywa"

Kijana huyo hakuwa muoga mana huko kijijini ndio mambo yalivyo.. Na alikuja kwa mganga kuangalia vitu fulani katika maisha yake

"kaa pale kwenye kitambaa"

Kijana alikaa bila uoga wowote mana tanga kwa vitu kama hivi, vipo sanaaa

"shkamoo mzee"

"taileee taileee taileee… Sema shida yako"

Alikuwa ni huyo mganga akimuuliza kijana chidi

"mzee, nimekuja kuangalia nyota yangu mzee"

"aaaahhh ahahahahahahahahahaha… Unataka utajiri si ndio"

"ndio mzee haswaa hapo ndipo mahari pake"

"aaaahhh ahahahahahahahahahaha ni kazi ndogo sana"

"kazi ndogo… Kivipi wakati mi nahaha mchana kutwa siokoti bahati wala nini"

Kijana huyo alishangaa kuambiwa ni kazi ndogo, wakati maisha yake yote yeye ana haha na maisha kila siku ya mungu

"aaah hahahahahahhahahahahahaha nyota yako imeshikwa na mtu wa karibu yako"

"Whaaaaat, nani kudadeki zake.. Niambie nikamtie mapanga sasa hivi"

Kijna chidi mpaka aliinuka kwa hasira za kusikia nyota yake imeshikwa na mtu wa karibu yake,..

"kaaa chini kwanza kijana,.. Huu mchezo hauhitaji hasira"

"hata kama mganga, niambie mie nikaue sasa hivi mimi kwanini anifanyie hivyo"

"oke, niskilize kwa makini kijana"

"enheee?"

Rashidi alikaa vizuri ili kuweza kumsikiliza mganga kwa umakini

"mke wako"

"Ati nini… Huyu mke wangu salma au kuna mwingine"

"kwani una wake wangapi"

"mmoja tu"

"huyo huyo,.. Tena ana hirizi kubwa sana imekaa mfano wa korosho"

"mungu wangu weeeee, Salma mke wangu kweli unanifanyia hivi kweli"

Kijana chidi alijisemea kwa sauti huku akishika kichwa kwa hasira kali…

"mzee? Kwani kaificha wapi hio hirizi, ipo chini ya kitanda nini"

"bora ingelikuwa chini ya kitanda, afadhali"

Chidi alizidi kuchanganyikiwa na ashindwe kuamini kwanini mkewe anamfanyia hivi,…

"hirizi hio, ipo ndani ya uke wake"

"mtumeeeee roho yangu mieee uuwiiiii… Haya kaiwekaje huko, na inafanyaje kazi"

"unapomuingilia kimapenzi, ndipo inapofanya kazi, na ndio maana hataki kulala juu ya kitanda, anataka ulale nae ili umuingilie na ile hirizi iendelee kufanya kazi"

"Aaaaahhhh kuumbe, hata jana usiku alikuja chini, Ahaaaaa… Sasa nitafanyaje mimi"

"ni rahisi sana,… Kwanza kabisa unatakiwa umuache, lakini kabla ya kumuacha chukua hiki kirungu"

"heeeee cha nini hiki kirungu"

Kijana chidi alipewa kirungu hicho na kukitolea macho

"hiki ndicho kitakachofanya kazi ya kutoa hio hirizi alionayo"

"Enhee, niambie sasa, yaan naenda kuitoa leo leo"

"Ukifika nyumbani hakikisha asikione, kisha muite ndani na umvue nguo zote, kisha muingizie hicho kirungu chote, utaiona hirizi ikidondoka chini"

"mungu wangu, mzee mrungu wote huu jamani mganga.. Si atakufa mke wangu"

"kama huezi weka rungu langu chini na uondoke"

Mganga alikasirika sana baada ya kuskia kijana chidi hauwezi kazi hio

"No, No,.. Kwakua nahitaji maendeleo dhidi ya familia yangu, naenda kuupachika bila huruma"

Roho ya kinyama ilianza kumuingia kijana chidi, na kukubali yote alioambiwa kua alichomeke rungu hilo katika sehemu ya siri ya mkewe ili hilizi hio itoke, na ikishatoka amuache.. Aende kwao huyo mke

"weka chakula cha mizimu hapo ili ikusaidie kazi yako"

Kijana chidi alitoa shilingi elfu kumi ambayo ndio ile walioilimia ungwe jana, sasa anaitoa kwa mganga kisha anaruhusiwa kuondoka ili akaifanye kazi yake ya kuitoa hirizi hio,…

"wewe mama king"

"abee mume wangu"

"njoo ndani haraka sana"

"sawa mume wangu nakuja"

Chidi akiwa kalificha rungu hilo kwa nyuma ili salma au mkewe asilione…

Mschana wa watu asijue hili wala lile, anaingia ndani kwa heshima ya kuitwa na mumewe…

Inaonekana wazi kuwa kijana chidi tayari keshaingiliwa na shetani la kitajiri, kana kwamba hauhitaji tena umaskini waliokuwa nao katika maisha, kijana huyo alilaani sana kitendo cha kuzaliwa maskini katika familia yao, yaan anahisi mungu kamtupa ili asijue nini kilichokuwa kikiendelea, lakini kijana chidi aligundua kuwa kumbe mke wake ndio mmoja kati ya watu wanaouzuia utajiri au mafanikio yake, Kijana Chidi aliamka asubuhi na kwenda kwa mganga na kuambiwa kuwa mkewe ni kikwazo cha mafanikio yake,…

"weka chakula cha mizimu hapo ili ikusaidie kazi yako"

Ilikuwa ni sauti ya mganga ikimwambia kijana chidi aweke kiasi cha pesa katika ungo wa mganga huyo, Kijana kabla ya kuweka pesa hio aliiangalia sana kisha akaiweka katika ungo ule, Ilikuwa ni pesa ya kibarua ambayo waliipata jana kutwa nzima kwa ajili ya kulima..

"sasa unatakiwa utoke kinyume nyume hatua saba kisha geuka na uondoke"

Kijana chidi alipewa masharti yote yaliotakiwa ili kwenda kulitimiza jambo hilo,… Kijana chidi alipofika njiani alilitoa lile rungu katika mfuko na kuliangalia kwa umakini mkubwa sana kisha akakumbuka kitu kimoja ambacho mke wake alikishindwa siku ya kwanza katika kukutana kwao..

"chidi…. Chid.. Chidi jamani ingiza taratibu mpenzi wangu"

Ilikuwa ni sauti ya mpenzi wake salama kipindi walipokuwa wapenzi kabla ya kuwa mke,… Chidi alikumbuka siku walipokuwa wakifanya mapenzi na mpenzi wake kana kwamba salma hakua akiimudu zakaria ya chidi, yaan chidi alikuwa na zakaria yenye kukizi haja haswa, lakini bado aliishindwa

"please chidi wangu, naomba uwe unaingiza nusu tu, Kiukweli siwezi kuivumilia chidi… Ila mungu kakupendelea kweli yani"

Kijana chidi anamaliza kumbukumbu yake na kutikisa kichwa huku akisema,

"sasa kama haka kanyama kangu tu kalimshinda, je huu mrungu itakuwaje maskini ya mungu"

Chidi alikuwa akijisemea mwenyewe huku akiwa kasimama kwenye mti mmoja hivi uliompa kivuli kizuri sana,

"lakini kwanini anizibie mafanikio yangu? Basi atakuwa hanipendi na kaja kwangu kwa ajili hii, lazima nikamtie hili rungu kama ni kufa afe lakini mafanikio yangu niyaone"

Chidi alijiwa na roho ya huruma lakini alipofikiria umaskini wao unasababishwa na mke wake, aliona bora akatekeleza agizo la mganga… Kijana huyo aliliweka rungu hilo katika mfuko kisha akalichomeka katika mfuko wa nyuma wa suruali yake na kuianza safari ya kwenda nyumbani kwake…..

TUKIJA HUKU MJINI KWA IBRA AMBAE NI KAKA WA CHIDI

kama kawaida yake ibra alionekana mtu mwenye kuitafuta pesa sana na alikuwa akiwapata wateja wengi sana katika mtaji wake wa kuuza chipsi, kwani hata wateje walikuwa wakimzidi mana yupo peke yake hana hata msaidizi wa kumsaidia lakini anapambana tu, chipsi hizo zilikuwa zikiisha kwenye kabati kila mara kwani wanafunzi wa sekondari iliopo karibu na banda hilo walikuwa wakizinunua kwa hali na mali,…

Wakati akiwa anamtengea mteja wake chipsi mshkaki, mara walitokea wanafunzi kadhaa waliokuwa wakinunua chipsi eneo hilo, lakini wanafunzi hao mmoja wao hakuwa na pesa ya kununulia chipsi na kama unavyojua vishawishi vya wanafunzi, yaani bora utegwe kimapenzi na mschana wa kawaida ambae sio mwanafunzi, lakini ukitengwa na mwanafunzi alafu mtoto ni kisuuuu, mbona chipsi utatoa tu,

"mambo ibra"

"poa tu, afu we jamila wewe mi nishakwambia mie mkubwa wako usinisalimie mambo sema shkamoo kaka"

Aliongea ibra huku akiendelea kukata mishikaki ya mteja,..

"nisamee kaka"

Aliongea jamila huku aking'ata kucha zake na kumtolea macho ibra wawatu aliokuwa bize na kazi yake,

"kaka ibra"

"nini tena jamila"

"ivi, jioni utakuwa na nafasi, mana mi ninayo nafasi sasa sjui wewe"

"vipi kwani wataka mishikaki ya oda au chipsi za oda"

"ah ah sio hivyo"

Jamila alikuwa ni mwanafunzi wa kidato cha nne, ila alikuwa anaachia mwili wake ili tu apate kula, na ni mschana mzuri sana tena sana lakini hakuwa na uwezo wa kupewa pesa za kununulia vitu vidogo vidogo,

"ni nini sasa"

"jioni nataka nije kulala kwako"

"kwang…. "

Kabla hajasema kitu jamila alimuwahi kumziba mdomo mana alitaka kusema kwa nguvu,..

"jamani ibra mbona huna siri kaka angu"

"ok… Sasa uje kwangu kufanya nini"

"nina njaa kaka ibra afu sina hata pesa"

Ibra alikiwa ni mwanaume muelewa tena sana na hapendi mambo ya kijanga

"sasa kuskia kwako njaa ndio uje kulala kwangu, ebu nieshimu mie kaka yako nishakwambia… Haya chukua chipsi hizo kale ushibe ila ujinga staki kama una njaa niambie nitajua jisnsi ya kukuseidia lakini sio ujirahisishe kiasi hiki"

"asante kaka ibra"

Basi jamila alifurahi kwa kupata chakula mana alikuwa na njaa na anaonekana kwao hawana uwezo yaani familia yao ilikuwa ni duni lakini shule anasoma hivyo hata ukimuangalia yunifom zake haziridhishi vizuri ila ni mschana mzuri sana na mwenye umbo la kumvutia kila mwanaume,…

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni