Sehemu ya Tatu, alilopewa na mganga, ambae ni mama, kwa ajili ya, lile rungu na, mtoto wa watu, mume wangu leo, na hapo alipo, na ndio mana
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (3) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... Basi jamila alifurahi kwa kupata chakula mana alikuwa na njaa na anaonekana kwao hawana uwezo yaani familia yao ilikuwa ni duni lakini shule anasoma hivyo hata ukimuangalia yunifom zake haziridhishi vizuri ila ni mschana mzuri sana na mwenye umbo la kumvutia kila mwanaume,… KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Wanafunzi wa kike walikuwa wakimpenda sana ibra kwakuwa hakuwa na roho mbaya ya kumnyima mtu chipsi, ila anawapaga kavu kavu tu, hakuna cha mayai wala nyama, mana ni bure, na hata ile muda wa mapumziko kwa wale wanaopewa bure huja kumseidia kumenya viazi,.. Kwa wale wenye pesa basi wao hununua kwa pesa zao wala hawana shobo na mtu, Ghafla ibra anapokea simu na kuongea nayo "halooo mama kijacho ujambo mama" "Sitaki hujambo yako" "nini tena mama king " Aaahh…