MUUZA CHIPS (3) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatano, 17 Mei 2023

MUUZA CHIPS (3)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA TATU
ILIPOISHIA...
Basi jamila alifurahi kwa kupata chakula mana alikuwa na njaa na anaonekana kwao hawana uwezo yaani familia yao ilikuwa ni duni lakini shule anasoma hivyo hata ukimuangalia yunifom zake haziridhishi vizuri ila ni mschana mzuri sana na mwenye umbo la kumvutia kila mwanaume,…

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Wanafunzi wa kike walikuwa wakimpenda sana ibra kwakuwa hakuwa na roho mbaya ya kumnyima mtu chipsi, ila anawapaga kavu kavu tu, hakuna cha mayai wala nyama, mana ni bure, na hata ile muda wa mapumziko kwa wale wanaopewa bure huja kumseidia kumenya viazi,.. Kwa wale wenye pesa basi wao hununua kwa pesa zao wala hawana shobo na mtu,

Ghafla ibra anapokea simu na kuongea nayo

"halooo mama kijacho ujambo mama"

"Sitaki hujambo yako"

"nini tena mama king"

Aaahhh sasa huyu anaongea na mama king yupi, mana mama king tunaemjua ni yule mke wa mdogo wake na yule sio mja mzito bali tayari ana mtoto

"mbona hujatuma pesa leo, au unategemea mtoto wako atakula nini huku"

Huyo mama king alikuwa akilalamika kwasababu hajatumiwa pesa na muda huo ulikuwa ni muda wa saa 6 hivi mchana,..

"samahani sana mke wangu, ngoja nikutumie sasa hivi, sorry sorry sana mama mtoto wangu"

"tuma haraka bwana mi nikale"

Mmmmmhh lakini mama king toka lini akawa jeuri kiasi hiki mana tunamjua mama king ni mpole na anampenda sana mume wake ambae ni chidi kule kijijini, sasa mbona kama wanashea mke mmoja ndugu wawili, kuna nini hapa kinaendelea kati ya hawa watu,… Binafsi mimi sijui ila usije ukaikosa kuisoma mana hii simulizi ni balaa…

Sasa ibra baada ya kumaliza kuongea na mke wake huyo ambae ni mama king, ibra aliingia kwenye M-pesa iliopo karibu pale, na kutuma shilingi elfu 30 kisha akamwambia yule mhudumu kuwa

"hii itamtosha kwa leo"

"ahahaha unamjali sana mkeo"

"we acha tu nampenda vibaya mno"

Ibra alishatuma kiasi hicho cha pesa kwa huyo mkewe ambae ni mama king,… Sasa kama mama king anarushiwaga pesa na ibra, mbona kule kijijini wanakufa njaa kijinga jinga namna hiyo.. Bado spati jibu sahihi kwa hawa jamaa..

TUKIRUDI HUKU KIJIJINI KWA BWANA MDOGO CHIDI,

akiwa ndio yupo nyuma ya nyumba yao akiiangalia kwa umakini sana na kuitazama kama vile imepauliwa kwa bati, kumbe ilikuwa imepauliwa kwa majani,.. Wakati huo eungu lipo nyuma ya mgongo wake ila bado hajaingia, mana yataka moyo…

Kijana chidi alihisi utajiri unamuita mana anakwenda kulimaliza tatizo muda huu,.. Na hapo alipo hana hata shilingi na leo hawakwenda kibaruani, ile pesa ya jana walikula elgu tano tu na kubakiwa na elgu kumi, na elfu kumi yenyewe ndio hio keshaitoa kule kwa mganga alipokwenda kuangalia nyota na kupewa rungu litakaloweza kutoa hirizi iliopo ndani ya siri ya mke wake,…

Kijana chidi anafika tu geto kwake pele jirani sana na nyumba ya wazazi wake, alimuona mke wake anaosha vyombo, akarudi nyuma kwanza kisha akamuangaliaaaaaa,… Kwanza mke wake alikua hana hata nguo ya thamani lakini karidhika kuishi nae, pale alipokua kachuta akiwa anaosha vyombo, paja lake mgongo wake, vilikuwa vikionekana kutokana na kuchanika kwa nguo alizovaa, vyombo vyenyewe alikuwa anaosha na majani flani hivi yaliokuwa yakitoa povu kana kwamba hakukua na hela ya kununulia hata sabuni,.. Akimuangalia mkewe kabeba mtoto huku akiwa anaimba vinyimbo vya kisambaa,. Pale kijana chidi alijikuta machozi yanamtoka kutokana na hali alionayo mke wake afu anaambiwa ndio kaishika nyota ya mume wake,…

"Namna ile paja linaonekana kwa kuchakaa kwa nguo afu le anaziba mafanikio yangu, haiwezekani"

Kijana chidi alijisemea kimoyomoyo kisha akamtokea na kumuita…

"wewe mama king"

"abeee mume wangu"

Tena mtoto wa watu alivyoridhika na maisha yaani anamheshimu sana mume wake

"njoo ndani haraka sana"

Alimwambia huku akiingia ndani kwa hasira nyingi…

"sawa mume wangu nakuja"

Mschana wa watu asijue hili wala lile, anaingia ndani huku akijifuta maji maji aliokuwa akiosha vyomb,

Alipofika ndani alimkuta mume kaketi katika kitanda,

"abee mume wangu"

Kijana chidi alipomuona tu mke wake, kwanza alipaangalia sana ile sehemu husika mpaka mke wake akajiangalia mara mbili mbili, kana kwamba labda huenda nguo yake imechanika pale mbele na ndio mana anaangaliwa sana na mumewe,….

Chidi alinyanyuka na kuanza kulipandisha gauni lake huku akikumbuka shrti alilopewa na mganga kuwa

"hakikisha asijue kitu, na usiwe na hasira mana ukiwa na hasira atashtuka na kile kitu kitakimbia hivyo hutofanikiwa,.. Wewe jifanye kama unamtaka kimapenzi afu fanya kazi yako na hili rungu"

Alimaliza kukumbuka sharti hilo huku akiendelea kulipandisha gauni la mke wake,

"nini tena baba king"

Salma aliuliza huku nae hisia zikimjia na wakati huo alikuwa na mtoto mgongoni,

"usijali kidogo tu"

"jamani baba king, mchana wote huu"

"kwani mie nani yako"

"mume wangu"

"nilipokuoa nilichaguliwa saa ya kufanya mapenzi"

"hapana…. Ila basi ngoja nikamalizie kuosha vyombo kisha nije tuanze"

"sitaki, nataka sasa hivi"

Kijana chidi hakutaka kusikia la kusubiri na hapo alipo mkono wake wa kulia ulikuwa ukimtetemeka mno,…

"ok… Ngoja basi nimlaze king wetu tusije kumuumiza"

Kijana chidi alikubali king alazwe kitandani kisha wao waanze hapo chini kwenye godoro la sufi,..

"utakuta umeshaangalia picha za ngono mana wewe ukiona tu picha unakuja kwangu.. Haya njoo basi"

Maskini ya mungu salma hajui nia ya mume wake, na laiti angelijua basi asingesema kuwa mumewe kaangalia picha za ngono na ndio mana kumfuata..

Salma alivua gauni lake na taiti, hio taiti yenyewe duuuu, sasa bora hata hio taiti afadhali, je hio chupi ukiiona, huezi dhania kama kweli huyu mwanamke ameficha hirizi ndani ya uke wake,… Yaani haikua na thamani ya kuitwa chupi, mana daahhh havisemeki, lakini yeye anaijali mana ni yakwake tu na hana pesa ya kununua nyingine…

"vua na hio chupi"

Kijana chidi ndio aliongea hivyo huku mke wake akimjibu kuwa

"jamani mume wangu leo umekuwaje, mbona kila siku unanivuaga wewe Why leo unaniachia niivue mwenyewe"..

Chidi aliiangalia ile chupi ya mke wake na kugundua kuwa wala haikuwa hata na haja ya kuivua,.. Mana ukiivua kwa papara unaweza kuimalizia kuichana kwa zile kamba kamba zilizobakia katika nguo hio…

Chidi huruma ilimtoka, na kuanza kumnyonya denda huku akilitoa lile rungu alilopewa na mganga kwa ajili ya kutolea hirizi iliopo katika Uke wa mke wake..

Hii roho hata mimi siihitaji kabisa mana ilikuwa ni roho ya mauaji, tena mauaji ya kinyama unamuua mtu hivi hivi unamuona, tena ni bora hata umchome kisu kuliko kumkokomeza mwana wa mwenzio mrungu wote huo, kama alishindwa kuhimili kizakaria chake tena nyama, sembuse aliweze hilo rungu, kweli kijana chidi alikua anadhamiria haswa kufanya tendo hilo na hakuwa na utani hata kidogo, na mkewe saa hio kafimba macho kwa utamu aliokuwa akiupata, SI UNAMJUA CHIDI MAVITU YAKE?…

Basi hapo mke alikua akidata na penzi la mume wake ikiwa ni mchana kweupee pee, jua la saa saba linawaka mpaka kero, kijana chidi alifanikiwa kulitoa lile rungu na kuliweka sawa,… Mke mpaka hapo hakua akijua kitu,

Chidi alilichukua lile rungu na kulipitisha chini kwa chini, na kulilengesha katika siri ya mke wake,..

"mmmhhh mume wangu leo nanii yako ni ya baridi ee"

Maskini ya mungu mtoto wa watu hakua akijua kuwa hilo halikuwa lizakaria kama alivyolizoea likiingia likiwa lamoto, leo sio zakaria, leo ni mrungu tena mrungu haswa,..

"iiiiiiiii jamani chidi usiingize yote kwanza"

Ilikuwa ni sauti ya mkewe ikimuambia asiingize yote kwanza…

Chidi alikumbuka sharti la mwisho aliloambiwa na mganga kuwa

"usijaribu kuingiza taratibu.. Mana hio hirizi ni mtu ndani yake hivyo inaweza kupotea, kwaio ingiza kwa nguvu zako zote"

Chidi alimaliza kukumbuka sharti la mganga kisha akamuita mkewe..

"mke wangu salma"

"abee mme wangu"

"utanisamehe kwa hili nitakalofanya kwako"

"we ingiza tu mume wangu, mana nata nilizoee hili lizakaria lako"

Salma hakuelewa mmewe alimaanisha nini,…. Chidi alivuta pumzi kisha akaianza kazi yake rasmi..

Alilisukuma lile lirungu lote mpaka ndani,

"uuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nakufaaaaaaaaaa"

"wewe mama king acha kelele usiku huu"

Mara kijana chidi anashtuka usingizini huku jasho jingi likimtoka, kana kwamba alikuwa akiota,

"baba chidi una nini"

Chidi aliamka na kuwasha taa kisha akamvua mke wake nguo na kuanza kumkagua sehemu za siri kama kaumia..

"mme wangu, mbona sikuelewi jamani na vidole vyako ivyo"

"we mama king hujaumia"

"niumie kwani umenifanyeje mie.. Kwanza nimekufata hapa chini unipe vitu nashangaa umelala"

"vipi mtoto kalala"

"ndio si yule pale juu ya kitanda"

Chidi alijisachi katika mfuko wake na kuikuta ile elfu kumi ipo, wala haijatumika popote,…

"mke wangu?"

"Abeee mume wangu"

"Eti una hirizi"

"Hirizi? Hirizi yanini na niitoe wapi mimi"

"naskia una Hirizi umeificha kwenye siri uko ni kweli"

Chidi alimuuliza mke wake huku mkewe akiwa yupo uchi wa mnyama mana alimvua ile kanga moja aliokuwa ameivaa kisha akaanza kumkagua kama lile rungu lilimuumiza, lakini haukuwa kweli bali ilikuwa ni ndoto tu….

"nifiche Hirizi yanini sasa na ili iweje na nani kaiweka humu"

"eti niliambiwa ni Hirizi ilioshika nyota ya mafanikio yangu, na wewe unajua hilo"

Salma alianza kutokwa na mchozi huku akikichukuwa kile kibatali na kukiweka karibu na siri yake ili ionekane vizuri

"chidi mume wangu, nakuruhusu unichokonoe vile uwezavyo uitie hio hilizi, yaan mimi nikuzibie mafanikio yako kweli ee? Mimi ni nani na wewe ni nani"

"hapana sina maana hio mke wangu"

"najua fika hio ni ndoto umeoteshwa, ila mimi sitaki untilie shaka, wewe ni mume wangu nakupenda sana, mimi nataka naomba kila siku ufanikiwe ili mtoto wetu aje asome vizuri, leo niende kukuekea Hirizi kweli?… Nalala chali mume wangu nichokonoe uwezavyo ilimradi tu uitoe hio hilizi"

Huezi amini salma kwa kujiamini alilala chali na kupanuka kama mbwa au paka aliokuwa anaota jua,..

Chidi hakuwa na akili za kitoto kiasi hicho, Na asingeweza kumchokonoa mkewe kwa ajili ya ndoto ya kijinga namna hio,..

Salma aliskia kitu cha moto moto afu Kilainiiiiii kinaingia katika uke wake, alijua dhahiri kuwa hio ilikuwa ni zakaria ya mume wake, Aliipokea kwa moyo mmoja tena huku akiwa anabinua binua midomo kana kwamba ilikua ikimgusa sehemu tamu kuliko alivyotarajia,.. Uzalendo ulimshinda mtoto wa kike ilibidi sauti itokelezee kabisa, alikua akiachia miguno iliokuwa ikimsisimua kijana chidi,…

"mume wangu"

"sema mke wangu"

"ebu jaribu kusukuma kidogo kama ntaiweza yote"

Salma alimuomba mumewe azidi kujisukuma mbele aangalie kama ataiweza kuizuia yote, kweli chidi hakutaka kupuuza ombi la mkewe, alijisukuma mbele kidogo

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni