Sehemu ya Tano, kijana chidi, mke wa chidi, baba king mbona, haki yao ya, hizi unalinga kisa, king ina maana, kingstaki mpaka univue, kisa una chupi
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (5) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Yaani siku hio alifungasha vichupi vya kutosha vya mke wake, na kanga pea mbili.. Kwenye ile elfu 30 ambayo alitakiwa apewe, afu hapo happ kwa wakala akasajili laini mpya ya tigo hatujui alikuwa ana maana gani kuwa na laini mbili, asije akanunua simu nyingine maana hela inakuongoza bali huiongozi wewe,.. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Alipomaliza akawa anarudi zake nyumbani Taaratibuu kabisa bila wasi wasi wowote ule, huku akiwa kabakiwa na nauli yake na elfu 70 ya wazazi wake kwa ajili ya kuwalinda kwa hizi siku ambazo kijana chidi atakua hayupo mana yeye ndio alikuwa anawalisha wazazi wake kwa kulima vibarua sasa leo anaondoka na wazee wake hawawezi sana kulima, yani wamelima sana kwa siku ni robo heka tena wawili yeye na mkewe, lakini chidi akiwepo, heeee anapiga robo tatu pek…