Notifications
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…

MUUZA CHIPS (5)

Sehemu ya Tano, kijana chidi, mke wa chidi, baba king mbona, haki yao ya, hizi unalinga kisa, king ina maana, kingstaki mpaka univue, kisa una chupi
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
Yaani siku hio alifungasha vichupi vya kutosha vya mke wake, na kanga pea mbili.. Kwenye ile elfu 30 ambayo alitakiwa apewe, afu hapo happ kwa wakala akasajili laini mpya ya tigo hatujui alikuwa ana maana gani kuwa na laini mbili, asije akanunua simu nyingine maana hela inakuongoza bali huiongozi wewe,..

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Alipomaliza akawa anarudi zake nyumbani Taaratibuu kabisa bila wasi wasi wowote ule, huku akiwa kabakiwa na nauli yake na elfu 70 ya wazazi wake kwa ajili ya kuwalinda kwa hizi siku ambazo kijana chidi atakua hayupo mana yeye ndio alikuwa anawalisha wazazi wake kwa kulima vibarua sasa leo anaondoka na wazee wake hawawezi sana kulima, yani wamelima sana kwa siku ni robo heka tena wawili yeye na mkewe, lakini chidi akiwepo, heeee anapiga robo tatu peke yake, hivyo hata malipo ya kulima yanakuwa makubwa kidogo kuliko wakienda wazazi wake wenyewe, ambao hata elfu 5 hawaingizi kwa siku, lakini akienda chidi ni elfu kumi au kumi na tano…

Kijana chidi anapokewa mizigo na mke wake inaingia ndani lakini raha hakiwa nayo kabisa tena kila akimuona mumewe machozi yanazidi kutiririka kwa kasi zaidi, kijana chidi hakukaa geto akaingia nyumba kubwa na kuwakuta wazazi wake,..

"wazazi wangu, pesa nilioagizwa niwape, hii hapa, na ile pesa ya mke wangu aliopewa na shemeji yake, nimemnunulia vikanga kanga, hivyo hatokuwa na kitu"

"usijali baba.. Tena kama haimtoshi mpe hata hii elfu 20 sisi tubakie na hamsini"

"hapana mama,. Kwakuwa mtakuwa pamoja sioni haja ya kumpatia pesa"

Ghafla salma nae ndio anatokea sehemu husika,

"salma mke wangu, naomba tuvumiliane"

Maskini salma alikuwa akilia tu hakua na neno la kuongea, tena mwenyewe kuna kitu kakiweza kukifanya katika mwili wa mume wake, Eti leo anaaga na kuondoka,

"salma mwanangu, muache mumeo akahangaike, unaona shemeji yako mkubwa katusahau yaan ni kama leo katuma hii elfu 70 na ni kwasababu kamtaka mdogo wake huko mjini"

Mama wa chidi alikuwa akimuambia mkwe wake, huku akimuomba sana, wazazi wa chidi walikuwa wanampenda sana mke wa mtoto wao mana kuwaletea mjukuu,…

"lakini mama inaniuma sana mama"

"sio kama mimi, mimi nililia siku nzima baba yako alipoenda mjini miaka hio ya 65 huko, naomba uvumilie tu mwanangu"

"saw lakini mama naumia nitabaki mwenyewe"

"usijali mwanangu, kwani si atakuwa anakuja kutujulia hali"

Basi kijana chidi alitoka na mke wake baada ya mazungumzo kuisha, na kilichobakia ni kijana huyo kujiandaa ili kesho aweze kwenda,… Walipofika chumbani kwao mke wake aliuliza

"chidi mume wangu, naomba usije ukanisahau, mana najua utakutana na wasichana wazuri zaidi yangu… Nakuomba sana chidi usinisahau"

"nitakusahauje na wakati we ni mke wangu"

"mi najua tabia za mjini, japo sijaenda lakini najua tu kulivyo"

"usijali mke wangu, kwani hupenda mtoto wetu asome International School"

"mmmmmhh shule za akina bakhresa hizo utawezaje"

"nikibaki hapa haitowezekana lakini nikienda tuombe mungu"

"chidi mume wangu, mimi sintopenda mtoto wetu asome kama tulivyosoma sisi, nataka asome kitajiri,… Japo roho inaniuma lakini we nenda tu kwa moyo wote, lakini Please please mume wangu, naomba tumtengenezee king wetu maisha mazuri"

"usijali mke wangu, niombee tu"

"naogopa sana baba king"

"unaogopa nini tena mke wangu"

"mmmhh na huu uhensam wako, hhm hata sidhani itakuaje huko mjini, lazima waniibie"

"salmaaaaaaaaa, mimi ni mumeo ondoa shaka kwa hilo"

"mmhhh sawa,… Vp kwenye ule mfuko umelata nini"

"ina maana hujafungua bado"

"akuuu… Hata kugusa sijagusa"

Kiukweli mke wa chidi alikuwa ndio wife material na hakuwa wa kuunga unga kama wengine,…

"fungua tu, vyote hivyo humo ndani ni vyako"

Chidi nae alinunu suruali yake ya kitambaa nyepesi ile inayopepea na baridi kama bendera vile,.. Na shati kubwaaa, hio kiatu sasa ukiiona utacheka ufe,.. Si unajua kijijini vitu bei chee, hivyo ile ile nauli yake ndio kaibalansia kununulia baadhi ya vitu,….

"jamani mume wangu, umennunulia chupi, uuuuuuuuwwiiiiiiii mbona nyingi hivi jamani"

Yaan mke wa chidi alifurahi, yan huezi amini pale pale alipo alivua nguo mbele ya mume wake, mpaka ile chupi yake ya zamani iluokuwa haifai sema kwa shida tu ikabidi aendelee kuwa nayo, alibaki kama alivyozaliwa mbele ya mume wake, kisha akaanza kuzijaribu zote zilikuwa kama chupi 5 hivi ambazo kwa mjini ni chache sana lakini kwa kule kijijini mmmhhh anaona kama begi zima la nguo,.. Alifurahi alipoona na zile kanga alizonunuliwa,…

"yaan nikienda kuoga korongoni, nitalingishia mpaka basi"

"heeeeeee kwani mnaogaga na chupi tu huko"

"eeehhh kwani si wanawake tu,… Yaan nilikuwa naendaga kuoga jioni jioni sana kagiza kanaingia kwa aibu… Lakini sasa hivi naoga saa saba mchana kweupeeeee"

"mmmhhh angalia… Afu mbona hio moja sijaona ukiijaribu"

"ipi hio, hii ya pink"

"yes hio hio"

"ina karangi kazuri mpaka raha jamani mume wangu asante"

"usijali mke wangu, yaan kama hizi jiandae kuwa na begi tu mana nitazituma kama uchafu"

"haya ona sasa hii ya pink imenikaa eee"

"mmmhhhh salma una ka kalio mke wangu mmmhh"

"jamani baba king, mbona unaliminya minya sasa"

Kijana chidi tayari mzuka wake ulishampanda mana akiona chupi nzuri tu iliofiti katika As* anachanganyikiwa mno

"baba king, ina maana tayari ushapandisha mizimu nini"

"yes… Kwani hutaki"

"weeeeee ninavyoitamani tena nataka leo tuanze muda huu mpaka asubuhi"

"mmmmmmmhhhhh ni hamu gani hio mpaka asubuhi"

"baba king, ina maana hujui kuwa nitakumisi sana"

"najua… Ila mie je"

Ghafla kijana chidi anamsukuma mke wake kitandani kisha akafatia kwa juu, salma alikuwa ni mzuri yaan kale kanguo kalivyomtoa, yan chidi anahisi ni kitu kipyaa kumbe ni kile kile cha kale,… Yaan chidi alikuwa hatamani hata kuivua ile chupi,

"jamani baba king, nivue kwanza kwani mie si mkeo tu,… "

"nahisi nachelewa mama king"

"staki… Mpaka univue chupi kwanza"

"mmmh siku hizi unalinga kisa una chupi mpya mmmhhh"

Mke wa chidi alikubali kumruhusu mume wake lakini ni kishingo upande tu, mana jinsi anavyompenda mumewe hakutaka wala hawezi kutaka awe mbali nae, lakini kwakua kaitwa na nduguye hivyo hakukua na budi mwanamke kukubaliana na hali hiyo,

Alikuwa na huzuni kubwa sana lakini kijana chidi alimfariji na sasa wanakula haki yao ya ndoa,..

Ikiwa ni mida ya saa 12 jioni hivi tena ikiwa ni muda wa maandalizi kwa ajili ya chakula cha jioni

"nahisi nachelewa mama king"

"staki… Mpaka univue chupi kwanza"

"mmmhh,.. siku hizi unalinga kisa una chupi mpya mmhh"

Kijana chidi alikuwa tayari kwa kuivua chupi ya mke wake ili kuweza kufurahia haki yao ya ndoa..

Lakini kabla hajavua nguo hio, mara mama yake na chidi alimuita kijana huyo kana kwamba kuna kitu alitaka kumwambia,

"kamsikilize mama kwanza"

"aahhh mama nae anasumbua huyuuu"

"no no, usiseme hivyo baba king, mbona ulivyokuwa hakusema unasumbua"

"mmmhh ok… Basi vaa tu nguo zako"

"unamaanisha hutaki tena"

"usiku ndio freshi.. "

"nakusubiria kwa ham mie"

Yalikuwa ni maneno ya mke wa chidi akimaanisha kuwa anamtamani sana mume wake,

Chidi aliingia nyumba kubwa ambapo ni karibu sana na geto kwao,..

"mwanangu…. kesho unaenda mjini kwa kaka yako, lakini nakuomba sana mwanangu usiige njia za kaka yako, kwani hua anatufikiria sana kututumia hata ya mafuta ya taa"

Alikuwa ni mama yake na kijana chidi aliokuwa akimsihi mwanae asiige tabia ya kaka yake, kwani hakuwa akiwatumia pesa huku kijijini, zaidi ya leo kutuma shilingi elfu 70 na ki kwasababu ya kijana chidi kuondoka katika boma hili na ndio mana hio elfu 70 imetumwa…

"usijali mama angu, yaan nitapita njia zote ilimradi mpate chochote"

"mwanangu, nakusihi usitamani vitu vya watu,.. Pigana na maisha lakini wizi sitaki ukuzoee,.. Sisi tunakuruhusu kwa moyo mmoja kama kaka yako tulivyomruhusu, lakini akili yako iwe makini na maisha"

"sawa mama… Nashkuru kwa kuniruhusu kwa moyo wako wote na naamini sintobadirika"

Chidi alikuwa akiwaahidi wazazi wake mambo mazuri sana, huku akiwaahidi kutobadiri mwenendo wake pindi afikapo mjini

Ilipofika mida ya saa 4 usiku, chidi na mpenzi wake wakiwa wanapiga stori za kama akifika mjini itakuaje mana chidi mwenyewe hajawahi kufika mjini hata siku moja na hio ndio mara yake ya kwanza,…

"mama king"

"abee mume wangu"

"nataka nikuachie simu yangu"

"haaaaaaaaaaaaaa baba king sema kweli"

"khaaa kweli kabisa, tena nimesajiri laini mpya ambayo ni yakwako"

"baba chidi, na mimi nitamiliki simu kweli"

Kijijini kule hua katika familia hawawezi miliki simu wote mana uwezo hakuna, Na katika familia ya akina chidi mwenye simu ni chidi peke yake, hivyo hata wazazi wake hakuna mwenye simu na hawahitaji simu, ni huko mjini ndio watu huendekeza mambo ya simu lakini huku kijijini hata wasipokua nayo hewala… Sasa leo kijana chidi anamkabidhi mke wake simu aliokuwa akiitumia ili aweze kutuma chochote atakachokipata mjini, kijana chidi alitoa laini yake na kuweka ile laini mpya ambayo itakua ni ya mke wake, mke wa chidi alifurahi sana mana hajawahi kushika simu, na simu yenyewe ni simu basi, ni vitekno vidogo hivi tena hata batani zimeisha kwa kuchoka,… Lakini kwa huku kijijini ni bonge la simu kwao tena simu ya maana haswa,

"siamini kama na mimi nitakuwa na simu, yani akina asha nitawalingishiaje"

"uipoteze sasa,.. Mana ukipoteza hii basi ujue umepoteza vichupi chupi vyako"

"mmmmhhh jamani baba chidi ina maana ukituma hela unatuma ya chupi tu, sasa si nitajaza begi kwa chupi tu jamani"

"usijali, nitawajali wewe na mtoto wako"

"Eti eee,…? Mme wangu nakuombea ufanikiwe kwa njia yeyote ile kasoro kuiba tu ndio staki, mana naskia wanachomwa moto huko"

"usijali mke wangu.. Nitakuwa makini"

Kijana chidi alikuwa akiombewa na kila mtu na hata mke wake alionekana kuwa na moyo kunjufu juu ya safari ya mume wake,..

"sasa hiii imeshakuwa simu yako,… Namba ya siri ya Tigo pesa ni mwaka wako wa kuzaliwa yaani 1997, sawa"

"sawa mume wangu,… Asante.. Lakini wewe utawasilianaje ukifika mjini"

"aahhh kule simu nyingi afu mwenyewe mtoto wa kiume, nitashindwa kuingia hata kibanda cha simu"

"ok.. Niandikie namba zako hapa mana ni wewe tu"

"tayari nilishaziandika kitambo, na zako nilishazichukuwa kitambo tu"

Basi stori zilikuwa nyingi mno mana kesho ndio kijana chidi anaondoka na kuelekea mjini arusha,..

"afu usijifanye umesahau baba king"

"nini tena, au wataka niiweke hadi vocha"

"nyoooo, vocha lazima uweke, lakini sio vocha"

"Kama sio vocha basi hakutokuwa na cha maana"

Kijana chidi alisahau kumpa mkewe haki ya ndoa, mana alimwahidi usiku wa leo sasa kama vile kasahau, na mkewe alimkumbusha kwasababu chidi alokuwa keshaanza kujifinika shuka pale chini katika godoro lake la sufi,..

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
48 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni