Sehemu ya Sita, mtoto wa watu, arusha moshi arusha, cha salma kilikuwa, hali ya juu, halijaogawatu wote walitulia, hapa lione vile, hapa na pale
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (6) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Kijana chidi alisahau kumpa mkewe haki ya ndoa, mana alimwahidi usiku wa leo sasa kama vile kasahau, na mkewe alimkumbusha kwasababu chidi alokuwa keshaanza kujifinika shuka pale chini katika godoro lake la sufi,.. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Salma alishuka kitandani kama kawaida yake na kujibana kwenye godoro la chini huku wakimuacha mtoto wao ajinafasi kwenye kitanda cha futi mbili kwa tano sjui sita vile,.. Basi salma alianza uchokozi wa hapa na pale wa kumshika chidi mashavu mara amshike nanii yake, yaani ilimradi kijana chidi apandishe ashki za mapenzi,.. Na chidi nae hakichelewa mana ni mwanaume rijali haswa, Salma alikuwa na kakanga kamoja tu, tena vikanga vya kijijini si unavijua wewe, vimechoka afu vyepesiii na salma wa watu bado alikuwa analipa haswa, yaani kama ni k…