MUUZA CHIPS (7)

Sehemu ya Saba, akijiangalia jinsi alivyofunga, alianza kukasirika upyaaaa, aliekwazika na kitendo, alivyofunga hio kangahapo, aliwambia kuwa wanaume
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (7)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... Sasa dada kuingia anamkuta chidi katulia kwenye siti huku akitafuna muhogo mbichi, dada huyo alijilaumu sana kwa kile kitendo alichokifanya muda ule, na uzuri wa chidi yeye hakutaka kubishana na mdada huyo aliekuwa mzuri wa kila aina sema ana kakiburi flani hivi ambako sio kazuri kwa jamii, KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Chidi alimaliza kula mihogo yake, aliweka mfuko wake wa nguo katika siti yake kisha akatoka nje huku yule dada anamuangalia tu, na chidi hajui kama alikuwa anatafutwa na huyo huyo dada Chidi alienda msalani kisha akawa anarudi, mara akapishana na yule dada nae alikuwa akitoka nje, chidi akaingia na kukaa katika siti yake ile ile,.. Aliendelea kula mihogo mana hakuwa nao mmoja alikuwa nayo ya kutosha,.. Mtoto wa kiume alikuwa akila nazi na muhogo, mjanja utajua tu …