Sehemu ya Nane, kijana chidi na, alikuwa ni mwoga, dada huyo alikuwa, eneo la stendi, hapa na pale, kwa ajili ya, mida ya saa, mwenye cheo kama
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (8) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... Chidi nae anampungia mtoto wa watu huku anaburuza begi lake na kuita toyo, kisha huyoo anapelekwa sehemu husika,… Chidi alibaki na tabasam tu mdomoni huku akiiangalia sana ile karatasi yenye namba za saumu, na chidi nae hajabikiza umbali mrefu kutoka USA mpaka Arusha mjini , ambako ndipo alipotakiwa kushuka, . Namba zile aliziandika kwenye ki notibuku ili asizisahau au kuzipoteza,.. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... lisaa limoja mbele gari inatua Arusha stendi na kumshusha kijana chidi ambae ndio mara yake ya kwanza kufika mjini, yaani hajawahi enda mji wowote ule, Arusha ndio mji wake wa kwanza,… Chidi akiwa na mfuko wake wa rambo akiwa kasimama hapo asijue afanyeje, Ghafla kuna mwizi anakimbizwa na kumpamia kijana chidi aliedondoka mpaka chini,.. "huyu apa pumbavu zake" Ili…