Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MUUZA CHIPS (8)

Sehemu ya Nane, kijana chidi na, alikuwa ni mwoga, dada huyo alikuwa, eneo la stendi, hapa na pale, kwa ajili ya, mida ya saa, mwenye cheo kama
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA...
Chidi nae anampungia mtoto wa watu huku anaburuza begi lake na kuita toyo, kisha huyoo anapelekwa sehemu husika,… Chidi alibaki na tabasam tu mdomoni huku akiiangalia sana ile karatasi yenye namba za saumu, na chidi nae hajabikiza umbali mrefu kutoka USA mpaka Arusha mjini, ambako ndipo alipotakiwa kushuka, . Namba zile aliziandika kwenye ki notibuku ili asizisahau au kuzipoteza,..

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
lisaa limoja mbele gari inatua Arusha stendi na kumshusha kijana chidi ambae ndio mara yake ya kwanza kufika mjini, yaani hajawahi enda mji wowote ule, Arusha ndio mji wake wa kwanza,… Chidi akiwa na mfuko wake wa rambo akiwa kasimama hapo asijue afanyeje, Ghafla kuna mwizi anakimbizwa na kumpamia kijana chidi aliedondoka mpaka chini,..

"huyu apa pumbavu zake"

Ilikuwa ni sauti ya polisi waliokuwa wakimfukuza kijana huyo,.. Sasa kibaya zaidi ni kwamba hawakuwa wakimjua mtu waliokuwa wanamfukuza, na hapo wanaamini kuwa huyo aliodondoka ndio yeye, na hawakujua alipokimbilia kwasababu palikuwa na msongamano wa magari mengi, hivyo chidi alivyodondoka ndio nao askari polisi wakafika na kumkamata chidi,

"unajifanya umebadirisha nguo ili tusikujue, pumbavu wewe"

Chidi alianza kuchezea kichapo cha polisi pasina kutegemea,.. Tena huyo mwizi alionekana kuiba kitu cha dhamani sana mana kichapo alichokuwa anapokea chidi kwa polisi hao, kilikuwa ni kichapo cha paka mwizi,… Sasa akiwa anapokea kipigo hicho, ghafla alitokea mkuu wa askari polisi wote, yaan huyo ndio alikuwa mkuu…

"kumbe mtu mwenyewe mdoogo havi anatusumbua wiki nzima"

Aliongea huyo polisi mkuu huku akimshika kijana chidi katika shingo,

"we kijana, ivi unathubutu vipi kuiibia serikali yako,.."

Mara askari mdogo akaingilia kati, na kusema kuwa

"mkuu, huyu ndio yule alievunja kituo na kuiba silaha na kuumiza askari wawili"

"Whaaaaat, yaan haka katoto ndicho kalikofanya hayo matukio"

"ndio, atakuwa ni yeye tu, mana tulipokuwa tunamkimbiza alikua na silaha ubavuni"

Chidi kuskia vile tu, cha kwanza aliikumbuka sana familia yake, na kumkumbuka king wake, maana kama ni kupotelea jela basi hapo ndio anapotelea mana tayari keshavalishwa kesi ambayo haimhusu kwa lolote lile…

"sema silaha uliokuwa nayo iko wapi"

Ilikuwa ni sauti ya huyo mkuu wa polisi, Sasa ile anavuta mkono ili ampige kibao kijana chidi, ghafla mkono wa askari unazuiwa juu kwa juu, kana kwamba kuna mtu aliokuwa akizivunja sheria za polisi kumwazibu nwizi…..

Kijana chidi alijikuta katika wakati mgumu baada ya ya kuwasili jijini hapo, yaan kuingia tu anakutana na hali kama hiyo, mwizi waliokuwa wakimkimbiza alimpaamia kijana Chidi na kumdondosha kisha mwizi kutokomea pasina kujulikana,… Wahenga walisema kuwa, sii kila alie jela ana hatia, wengine wamesingiziwa tu, ila kwa hii ya kijana chidi, Kiukweli itawauma watu wengi sana..

Polisi mkuu wa mkoa huo ndie aliekuwa akimwazibu vikali kijana chidi, yaani makofi mangumi mateke bila kusahau virungu vilivyokuwa vikimpatia maumivu makali sana katika mwili wa kijana huyo,

Lakini askari huyo akiwa anaendelea kutoa adhabu kwa mwizi hiyo ghafla anashikwa mkono na polisi mwenzie mwenye cheo kama chakwake

"sheria haikisema umpige mwizi kiasi hiki, bali inasema umhukumu kutokana na kosa lake, lakini sio kumpiga kiasi hiki,.. Sisi wenyewe tunawakemea wananchi wasichukue sheria mkononi, afu tena nawe wachukuwa sheria mkononi mbele ya wananchi"

Aliongea mengi sana polisi huyo na kumuachia polisi mwenzake aendelee kumpiga kijana huyo… Lakini kwakuwa hakukua na sheria za kumpiga mwizi kabla ya kugika mahakamani, basi walimfunga pingu na kuondoka, lakini kabla hawajamaliza eneo la stendi walikutana na abiria kadhaa waliokuwa wanataka kivuka barabara kwenda upande mwingine,..

"heeeee jamani, ina maana huyu kijana kumbe alikuwa mwizi"

Aliongea mama mmoja kwa sauti iliowafanya wale polisi kusikia sauti ile, na kujua kuwa labda huenda hawa watu wanajuwa familia ya kijana huyo, hivyo walisitisha zoezi la kumpeleka sero, hivyo wakawafata wale wanawake na kuwauliza kuhusu kijana huyo

"ni kweli kijana huyu ni mwizi, je vp familia yake inapatikana wapi"

Alijibu askari yule huku akiwaangalia wale abiria, na walikuwa ni wamama kadhaa na wababa kadhaa hivi

"hapana sisi hatumjui kama mwizi, huyu sisi tulikuwa nae safarini leo na ndio tumeshuka na gari sasa hivi tu kutokea tanga, sasa ndio Nashangaa kuambiwa ni mwizi"

"huyu kijana ni mwizi, na aliiba sana, ila jana aliibia serikali, aliingia kituoni na kuchukuwa silaha na amejeruhi askari kadhaa,.. Sasa asubuhi ya leo ndio tukapigiwa simu kuna mahali yupo ndio tukaenda huko… Sasa ndio tumemkamata"

"sasa na yule tuliokuwa nae kwenye gari ni nani kama wewe ulikuwa huku… Eti kijana nyie ni mapacha"

"ha ha ha ha.. Hapana mama, sema mwizi wao alinipita pale, akanipaamia na kukimbia, sasa hawa walivyokuja wakajua ni mimi ambaye nilikuwa nimedondoka, wakanikamata"

Kijana chidi alijieleza huku polisi akiwa anashangaa kwanini asiwe mwizi huyu kijana,

"kama wewe ni msafiri kwa siku ya leo hebu tiketi yako"

Kijana chidi alijisachi na kutoa tiketi yake,

"khaaaaa, sasa mbona hukusema toka saa zote"

"ningewezaje kusema na wakati muda wote nilikuwa napigwa, yaan toka unikamate ulikuwa unanipiga tu, sasa mimi ningejitetea vipi"

Kwakuwa askari hao walikuwa ni waelewa kiasi flani, walimfungulia pingu kijana chidi na kumpa shilingi elfu 50 kwa ajili ya matibabu, mana walimchubua chubua kiasi flani

"haya unaona sasa,.. Ukikamata mwizi wewe ni kupiga tu, haya sasa kumbe sie"

Alikuwa ni yule askari mwingine mwenye cheo kama chake,

Chidi aliwashukuru sana abiria wenzake kwa kumseidia, mana bila wale Kiukweli chidi angelipotelea gerezani, tena kwa kosa hilo la kuvunja kituo na kuchukua silaha, Naamini asingelitoka na leo,… Kijana chidi anaagana na abiria wenzake kisha huyooo mapaka kwenye duka la simu, ambapo alinunua simu kabisaa huku akiwa ana michubuko ya hapa na pale, lakini hajaumia sana mana vibao na mangumi ndivyo vilivyo lindima kwenye mwili wake,

Chidi anaweka laini yake na kumpigia kaka yake ili aweze kuja kumchukua, ikiwa imefika saa 12 jioni kagiza kanakaribia kuanza….

Alimwelekeza kaka yake mahari alipo, huku chidi akiwa katulia tu sehemu akiyasikilizia maumivu ya vibao vile,.. Masaa yanaendelea kwenda na sasa yapata mida ya saa moja na nusu kijana chidi bado hajapokelewa na kaka yake,..

"kuna banda flani hivi limeandikwa kokakola hapa, afu kuna mtu mdada anakunywa kokakola pale palipoandikwa kokakola"

"ahahahahaha, haya subiri hapo hapo nakuja"

Alikuwa ni kijana chidi akimpigia kaka yake na kuelekezana vizuri, mana kaka yake alionekana kuzunguka sana stendi hapo bila mafanikio ya kumpata,..

Dakika 10 mbele chidi alishangaa kukaa na mdada mmoja kwa pembeni,

"mambo"

"poa"

Chidi alikuwa ni muoga sana wa kukaa karibu na wanawake, na hata itikia yake inakua ya mkato, kutokana na uoga na kutojali mwendelezo wa salamu aliosalimiwa

"samaani naomba nikuulize, Eti super market ipo maeneo gani hapa"

"mmhhh samahani dada yangu, mie mgeni ndio kwanzaa nafika"

"ooohh sorry… Afu unaonekana we mtanga wewe"

"umenionaje"

Mschana huyo alikuwa kapaki gari moja matata sana eneo hilo,…

"rafudhi yako tu nimeisikia"

Sasa ghafla kukapita mwanga wa gari, mana hapo walipo ni eneo la stendi kuu ya magari, hivyo taa za magari azikwepeki,.. Sasa dada huyo anataka kuondoka, lakini kama kuna kitu alikiona mwilini mwa kijana chidi hivyo alirudi na kumuangalia

"wewe, mbona umeumia uso hivi"

"mmhh samahani dada angu, nilikamatwa mwizi muda sio mrefu, wameniumiza sana, sema haina shida"

"haina shida na wakati umeumia?, no no naomba nikupeleke hospitali ukapate huduma ya kwanza"

Kijana chidi alikuwa ni mwoga sana lakini alikubali mana hata akikataa vidonda hivyo huenda vikamletea shida, hivyo alikubali na kuingizwa kwenye gari kalii aina ya V8 mayai,..

Mpaka hospitali kijana anapokelewa na madaktari kisha anaingizwa chumba cha matibabu,..

Dada yule alifika pale na kuongea na madaktari hao

"naomba ndugu yangu apone, nitalipa gharama zozote zile kikubwa apone tu"

Ilikuwa ni mida ya saa mbili usiku,

Simu ya kijana chidi inaita, lakini kwa bahati mbaya aliiacha kwenye gari kule, Afu mbaya zaidi aliokuwa akipiga alikuwa ni mke wake yule wa kijijini ndie aliekuwa akipiga simu hio ili kuweza kumjulia hali mume wake,… Lakini haikupokelewa kwasababu hata dada huyo hakuepo humo ndani ya gari,..

Chidi alifungwa fungwa vibendeji vya hapa na pale, na kuoneka kuwa safi,… Huku kwenye gari simu ilikuwa ikiendelea kuita, na sasa aliopiga alikuwa ni kaka yake,..

"aaahhh nadhani ungeenda kumletea chakula mana anaonekana kuwa na njaa"

Huyo ni dokta aliomwambia dada huyo akalete chakula, dada alitoka tu pembeni ya hospitali hio na kununu chakula ambacho ni cha takeway, hivyo hakutumia gari,… Alirudi na kumletea chidi chakula, kijana chidi kweli alikuwa ana njaa haswa,…

Masaa nayo yalizidi kusogea na sasa imefika saa 4 usiku, kijana chidi alikuwa kama anasinzia hivi mana si unajua kachoka sana kwa safari, ukichanganya na kile kichapo kilichomshukia kule stendi, yaani ndio kabisa kachoka,…

Wakati huo dada huyo alikuwa karibu sana na kijana chidi, na madaktari walikuwa hawapo kwa muda huo

"nakushukuru sana dada yangu, mana bila wewe sijui ningelitibiwa na nani"

"wala huna haja ya kunishukuru… Aahhh sasa sijui nikuache ila asubuhi nitawahi hapa"

"sawa, hakuna shida dada angu"

Sasa kabla dada huyo hajaondoka mara dokta mmoja kaja na kutaka kumhamisha mgonjwa katika chumba cha kulala wagonjwa mana pale ni sehemu ya matibabu,.. Basi dokta pamoja na huyu dada waliseidiana kumuamsha mgonjwa mana asingeweza kuamka mana kafungwa fungwa mabendeji mikononi miguuni kutokana na michubuko tu, na uzuri ni kwamba hajavunjika wala kuumia kwa ndani.. Walipomfikisha katika chumba hicho dokta alimua dada huyo amlaza kijana chidi ili yeye akachukuwe shuka safi kwa ajili ya kujifunikia mgonjwa,.. Sasa dada huyo alikuwa ni mwoga wa kumuachia kitandani, yaan anaona akimuachia anaweza kuumia, hivyo akawa anamlaza taaratibu,… Na utaratibu huo ulisababisha msisimko kwa kijana chidi baada ya kuguswa guswa na kifua cha dada huyo, na hata huyo alijiskia utofauti baada ya kugusana na kijana chidi, dada alitamani lile jambo lijirudie tena, lakini haikuwezekana,…

Chidi alikuwa ni mwanaume rijali haswa, kitendo kile kilimfanya hali yake kuwa mbaya maene ya huku,..

"afu unajua bado sijakujua hata jina"

Dada huyo alimwambia chidi huku akimuangalia kwa jicho la uzito,…

"naitwa rashidi"

"ooohh kumbe ni muislamu si kweli ee"

"ndio"

"ok, mie naitwa Sarah"

"mmmhhh nashukuru kukufahamu"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
48 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni