Sehemu ya Tisa, kuwa muda wa, ndani ya gari, ni mke wake, basi umefika salama, ehe ehe ehe, kiafrika ni ngumu, kijana chidi na, mke wa chidi
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (9) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... "naitwa rashidi" "ooohh kumbe ni muislamu si kweli ee" "ndio" "ok, mie naitwa Sarah" "mmmhhh nashukuru kukufahamu" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sasa cha ajabu ni kwamba dada huyo hakuwa tena anataka kuondoka, na haijulikani ni kwanini ameendelea kuganda na alikuwa tayari kwa kuondoka, "dada samahani muda wa kukaa na mgonjwa umeisha" Alikuwa ni dokta wa kike aliomwambia sarah kuwa muda wa kuwepo na wagonjwa umeisha,… "ok sawa natoka, nipe dakika tano tu" "sawa" Ukiwa na pesa hakuna kinachoshindikana kwenye hii dunia,.. "samahani chidi, naweza kupata namba yako, ili nikupigie asubuhi nikuletee chai na nini" "heeeeee…. Afu siiioni mfukoni ujue" "huioni" "ndio" "au utakuwa…