Sehemu ya Ishirini na Mbili, mdomo wake na, gauni la lina, kwa ajili ya, mpaka kiunoni na, ndani ya gari, nyumbani kwa tibuta
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (22) Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI ILIPOISHIA... ,,,tumekuja Binti Msafi ,mambo yameendaje,,? ,,,hakuna kinachoshindikana kwangu kwa uwezo wa ninayemwabudu,,, ,,,unataka kuniambia,, ,,,Celline yuko ndani,,,Sonki alikatishwa kauli na Binti msafi aliyesema hivyo Hakuamini pale Celline alipojitokeza mbele ya macho yake akiwa katika mavazi yaliyofanana na Binti Msafi,,,Celline,! WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Aliita hivyo Sonki kisha akamkimbilia Celline na kumkumbatia,chozi lilimtiririka shavuni kwa uchungu Sonki ambaye hakutaka kumwachia Celline,alimkumbatia hasa kama hatokuja kumkumbatia tena Binti Msafi alimtaka Sonki asiwe na wasiwasi tena lakini kabla hawajaondoka alimwita pembeni na kuongea naye binafsi ,,,sikiliza Sonki,unamjua Sablina,,? ,,,ndiyo namjua,,, ,,,ni nani kwak…