MUUZA SUPU (22) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 11 Mei 2023

MUUZA SUPU (22)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Geofrey Malwa

SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
,,,tumekuja Binti Msafi,mambo yameendaje,,?
,,,hakuna kinachoshindikana kwangu kwa uwezo wa ninayemwabudu,,,
,,,unataka kuniambia,,
,,,Celline yuko ndani,,,Sonki alikatishwa kauli na Binti msafi aliyesema hivyo
Hakuamini pale Celline alipojitokeza mbele ya macho yake akiwa katika mavazi yaliyofanana na Binti Msafi,,,Celline,!

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Aliita hivyo Sonki kisha akamkimbilia Celline na kumkumbatia,chozi lilimtiririka shavuni kwa uchungu Sonki ambaye hakutaka kumwachia Celline,alimkumbatia hasa kama hatokuja kumkumbatia tena

Binti Msafi alimtaka Sonki asiwe na wasiwasi tena lakini kabla hawajaondoka alimwita pembeni na kuongea naye binafsi
,,,sikiliza Sonki,unamjua Sablina,,?
,,,ndiyo namjua,,,
,,,ni nani kwako,,?
,,,aah,alikuwa mpenzi wangu,,,
,,,sio mtu mzuri hata kidogo,ndiye alimfanya Celline kuwa chizi,lakini huna haja ya kulipa kisasi,alichokipata kinamtosha kabisa,,,
,,,sawa,nimekuelewa,,,
,,,ninachokuomba,tulia na Celline,anakupenda kwa dhati,,,
,,,ahsante,,,

Ilikuwa ni furaha sana kwa Sonki aliyempata celline wake ambapo walikwenda mpaka kwa mwenyekiti na kumpa taarifa hizo,basi walimtoa mtoto wake aliyekuwa mchanga na kumkabidhi Celline,pia hata Lina alifurahi sana kwani alimwonea huruma mtoto huyo pindi alipokuwa akilia kwa nguvu mpaka joto la mwili linapanda juu

Kwa upande wa tibuta ambaye alimwinda Lina kila kona aliyokuwa akienda,kiukweli alikufa na kuoza juu yake jambo ambalo Lina alishalijua kwa siku chache alizokaa TAMUNI,siku hiyo Lina alikwenda mpaka nyumbani kwa Tibuta ambapo alimkuta akiwa ameketi kwenye kitanda,pindi alipomwona Lina alishtuka na kumkaribisha kama Malkia,,,
,,,Tibuta,ni kwa kipindi kifupi lakini nimegundua kuwa unanipenda,lakini,,,
,,,lakini nini Lina kama umeshahakikisha nakupenda,nini unasubiri kunipa nafasi,,?
,,,kuna kitu inabidi ukijue,,,
,,,kitu gani,,
,,,rafiki yako Sonki,nilishawahi kutoka naye kimapenzi,,,
,,,hamna tatizo Lina,hilo hata yeye alishaniambia,,,

Lina hakutegemea kama Tibuta angekuwa mwepesi wa kukubali bila kuweka shauku ya aina yeyote juu ya jambo alilomweleza,alibaki akimwangalia Tibuta huku akimvutia picha za aina tofauti kichwani mwake,alijikuta akiupeleka mdomo wake na kumbusu Tibuta mdomoni mwake kwa hisia kali kiasi kwamba wote wawili walifumba macho yao kwa msisimko walioupata hapo

Hakuna aliyeurudisha mdomo wake nyuma,walijikuta wakiganda hivyohuku macho yao wameyafumba kwa hisia,Tibuta akaufungua mdomo wake na kutoa ulimi uliozigusa lipsi za Lina zilikuwa laini zenye mvuto,Lina naye aliufungua mdomo wake na kuuruhusu ulimi wa Tibuta kuzama ndani ya kinywa chake,ikawa vita ya ulimi ambapo kila mmoja aliunyonya ulimi wa mwenziye

Wakajikuta wanaingia katika sayari nyingine kabisa,sayari ambayo walijiona wako peke yao ndio wanaishi,mkono wa Tibuta ulishaanza kufika kwenye kiuno cha Lina kilichojitenga vyema n amakalio,ulimpapasa kuzunguka mpaka mgongoni n akipanda juu kutokea shingoni ,,,mmmh,, mmmh,, alianza kuguna Lina huku akiunyoosha mgongo kwa jinsi mkono wa Tibuta ulivyokuwa unapandisha juu,,,

Mkono wa Tibuta ulishika zipu ya gauni la Lina iliyokuwa chini kidogo ya shingo kisha akaishusha taratibu mpaka kiunoni na kuuacha mgongo wazi mgongo wa Lina,lilikuwa ni tendo la dakika moja gauni la Lina kuteremsha mpaka kiunoni na kumwacha matiti yake yakiwa ndani ya sidiria,,, alichokifanya Tibuta alimlaza chali Lina aliyekuwa anakwenda kama Mlevi asiye na stamina miguuni,,akamtoa sidiria yake na kuyaacha matiti wazi kabisa,, Chuchu zake nyeusi zilionekana vizuri ambapo aliupeleka ulimi wake mpaka kwenye matiti na kuanza kuzinyonya Chuchu zake zilizokuwa na weusi Fulani ,,,aaah,,, mmmh,, aaaaaah,,,, aaaaaah,,,, alilalamika Lina huku akiubana mdomo wake kwa utamu aliouhisi,

Lina alijikuta akijiachia mwili wake huku akimshikashika Tibuta masikioni mwake mpaka nyuma ya shingo,,ndani ya dakika kumi na tano waliandaana vyema kwa ajili ya mchezo ambapo Tibuta alihakikisha kitumbua cha Lina kimelowa hasa,aliutoa mtalimbo wake uliokuwa mrefu zaidi ya Sonki lakini si mnene sana na kuuingiza kwenye kitumbua cha Lina,mtalimbo huo uliteleza na kuzama ambapo ulibaki sehemu kidogo ili uzame wote kabisa

Kila alipojaribu kuuzamisha wote,Lina alikuwa akirudisha kiuno chake nyuma na kukishika kiuno cha Tibuta ili asiendelee kuuzamisha mtalimbo wote,,,aah,,hapo hapo,,aaaan,,,aaaaah,,basi tibuta alianza kupampu huku akikandamiza mtalimbo wake kitendo kilichomfanya Lina wa watu kusisimka na kutoa miguno ya utamu

Wakiwa wanaendelea na kusuguana Tibuta na Lina,Sonki na Celline walikuwa nyumbani kwa Sonki wakijadili kuhusu maisha yao na mipango mingine ya baadaye waliyopenda kuifakisha,,,
,,,Celline mpenzi wangu,unakumbuka mahali hapa,,,
,,,napakumbuka vizuri sana,ilibaki kidogo tufumwe na wanakijiji,,,
,,,ni kweli,lakini leo tumerudi,sio wawili tena,bali watatu,nampenda sana mwanangu,,,aliongea hivyo Sonki huku akimtazama mtoto wao aliyekuwa amelala katikati yao
,,,Sonki,nakushukuru sana kwa kunirudisha katika hali yangu ya kawaida,lakini kuna kitu kimoja nahitaji nikwambie mpenzi wangu,,,
,,,usijali,niambie tu nakusikiliza,,,
,,,wewe ni mume wangu,sijawahi kufikiria kitu chochote juu ya upendo wetu zaidi ya furaha na amani,NAKUPENDA SANA SONKI,,,
,,,najua nimekukosea sana Celline,yale yote nimejirekebisha,ulimwengu umenifunza mengi sana mama,nakuahidi Celline,nitakuwa mume bora kwako milele,sitakufuta machozi kwani sitakufanya ulie,sitokupa mashaka wala wasiwasi wowote kwani sitakuwa mbali na wewe,hata nikiwa mbali na wewe jua una moyo wangu Celline,,,
,,,ahsante sana kwa maneno mazuri mpenzi wangu,nafurahi kusikia hivyo,,,
,,,mmh,najua unajua maisha yangu yalivyo Celline,uko tayari kuishi na mimi kwenye hii nyumba,,?
,,,ndiyo,niko tayari,nitaishi popote ambako ni kwako hata pakiwa chini ya mbuyu,,,maneno ya Celline yaliwafanya wote kufurahi ambapo walikumbatiana na kupigana mabusu kisha wakalala

Baada ya kupita wiki mbili,siku hiyo ilikuwa ni Jumatatu ambapo gari aina ya Prado iliwasili kijijini hapo TAMUNI,kama ilivyo kawaida ya Tibuta katika wadhifa wake kijijini hapo aliisogelea gari hiyo na kusimama pembeni yake akiwasubiri wageni washuke

Katika hali ya kutokutarajia Tibuta alishtuka kumwona Sensia akishuka kwenye gari hiyo ambapo ilionyesha wazi yuko mwenyewe ndani ya gari hilo,kwavile ilikuwa sipo mara ya kwanza kuonana,wawili hawa walisalimiana kwa kuchangamkiana na kuulizana maswali yaliyolenga kujuliana hali zaidi,,,

,,,Tibuta,ndio jina lako kama sikosei eh,,?
,,,ni kweli kabisa,karibu TAMUNI kwa mara ya pili,,,
,,,Ahsante jamani,lakini ujio huu hauna tofauti na ule wa siku ile,,,
,,,nahitaji kumwona Sonki,,,
,,,aaah,hamna shida,yupo nyumbani kwake na mkewe mtarajiwa,naye hana siku nyingi tangu afike TAMUNI,,,
,,,unasema yuko na mkewe mtarajiwa,,?,na huku alikuja na nani,,?
,,,ndiyo,huku alikuja na Lina yule rafiki yako,,,alipoisikia hivyo Sensia alishtuka huku mapigo ya moyo wake yakienda mbio
,,,Lina,,!,huyo mkewe Sonki yukoje,,?
,,,mzungu kabisa,yaani mweupe pee,,anaitwa Celline,,,
,,,mmh,na Lina yuko wapi,,,
,,,yuko nyumbani,tukitoka huku ulikosema nikupeleke nitakupeleka ukamwone,,,
,,,hapana,twende tukamone Lina kwanza,,,

Basi waligeuza safari na kuanza kuelekea nyumbani kwa Tibuta kule alikokuwa Lina,iliwachukua kama dakika tisa wakiwa wanatembea kwa mguu mpaka wakafika kwa Tibuta,walimkuta Lina akifua nguo zake,kiukweli ilikuwa ni furaha kwa Sensia alipomwona rafiki yake kipenzi,Tibuta aliaga anatoka kidogo nyumbani hapo na kuwaacha Sensia na Lina peke yao
,,,shoga yangu,ulinitisha sana,,,
,,,pole rafiki yangu,nilishindwa kukujulisha,huku hakuna umeme hivyo Simu zilizima chaji zote mbili,hata hivyo nilifanya makosa kutokukutaarifu nilipokuwa nakuja huku,nisamehe Sensia ilikuwa ni safari nisiyoitarajia,,,
,,,sawa,hilo sio tatizo,ila kinachoendelea hapa ndio tatizo,,,
,,,sijielewi niko dunia gani Sensia,kwa siku kadhaa nimejikuta nikimpenda sana huyu kijana,,,TIBUTA na kumwamini kupita maelezo,hakuna mwanaume aliyewahi kunionyesha upendo kama huu,amenifanya niijue thamani yangu kama mwanamke,moyo wangu una amani sana nikiwa karibu yake,kweli nimeamini Amani ya mwanadamu ni upendo wa kweli,sitamani kitu chochote duniani,,,
,,,,mmh,Lina kipenzi changu,sijawahi kuyasikia maneno haya kutoka kwenye kinywa cha mwanamke yeyote,sikutegemea hata kama ungeyasema wewe,ni kweli umempenda huyu kijana,lakini,,,,
,,,lakini nini Sensia,,?
,,,sikujua kama umeshampata mtu unayempenda,,,
,,,Sensia,,?,kwani hilo ni tatizo,kuna nini umefanya,,?
,,,nimekuja na DENIS,yupo ndani ya gari na anataka kuondoka na wewe,,,
,,,mmh,Sensia,hilo sio kosa lako rafiki yangu hata usijali,,,
,,,tutafanyaje sasa kuokoka na hili balaa,maana DENIS alivyo na hasira vile hata simwelewagi,,,
,,,sikiliza,mwambie hujanikuta TAMUNI,,,
,,,anhaa,hamna shida basi ngoja nimwambie sijamkuta halafu nione nini kitatokea,,,

Sensia alirejea haraka mpaka kwenye gari waliokuja nayo ambapo alichokikuta hakukitegemea,ilikuwa ni baada ya kuzunguka upande wa pili wa gari hiyo,Denis alikuwa akiongea na Tibuta huku wakicheka na kufurahi kwa pamoja kama watu waliojuana muda mrefu,,,aaah,Sensia mbona hujamleta Lina,,?,Denisi ameniambia anahitaji kumwona,,,lilikuwa ni swali kutoka kwa Tibuta kitu ambacho Sensia hakutegemea,alijikuta akishikwa na kigugumizi ghafla kwenye kujibu,,,
,aaah,naomba kuongea na wewe mara moja Tibuta,,,Alisema hivyo Sensia huku akisogea pembeni na Tibuta kwa ajili ya kuteta kidogo
,,,sikiliza,kuna kitu Lina alikuficha,,,
,,,kipi hicho,,?
,,,DENIS ni bwana yake Lina kabla yako,,,
,,,unasema,,?
,,,ndio hivyo,na hapa Lina aliniambia nije nimwambie kuwa hayupo,,,
,,,kwanini adanganye sasa,,?,ni bora amwambie ukweli tu,,,
,,,mmh,wewe unaweza,,?
,,,ndio,nikamwambie,,?
,,,haya,kamwambie,,,

Sensia alibaki mbali kidogo huku Tibuta akimfuata Denis,mapigo ya moyo wa Sensia yalienda mbio kwani uwoga ulimjaa kwa jinsi Denis atavyolichukulia suala hilo
,,,Denis,kuna kitu inabidi ukijue,,,
,,,kuhusu Lina,,?,aliuliza Denis na kumfanya Tibuta kushtuka kidogo
,,,ndiyo,kumbe niliyekuwa namzungumzia mimi siye,,,
,,,una hakika,,?
,,,ndiyo,,,
,,,hamna shida,usijali,hata mimi nilikuwa najiuliza ni kwa vipi Lina atafika huku,,,

Jibu hilo la Denis lilimpa ujasiri Tibuta ambapo hata Sensia mwenyewe aliyekuwa anasikia Maongezi hayo kwa mbali alijisikia mwepesi,kwa upande wa Denis kama Lina hakuwepo TAMUNI,hakukuwa na haja ya yeye kuendelea kukaa,alimfuata Sensia na kumwambia waondoke,,,

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni