MUUZA CHIPS (49)

Sehemu ya Arobaini na Tisa, mbegu za kijana, za kijana huyo, afu njoo nazo, hakikisha mbegu za, hapa afu njoo, hapa zikiwa bado, mama sarah, mama huyo
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (49)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA AROBAINI NA TISA ILIPOISHIA... "sasa nitajuaje kama kweli kaenda kijijini kwao,… Mana huyu mtoto akipata tu mwenzangu tu basi mie sina changu… Ooohhh yes nimekumbuka kitu" Aliongea mama huyo na kujikuta anapata wazo kichwani kwake,… KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... KUMBUKA HII NI KUMBU KUMBU ILI UJUE SABABU YA MAMA KWENDA KWA MGANGA NI NINI Kesho yake asubuhi, ikiwa ni mida ya saa nne hivi, mama alivaa nguo zake safi kisha akawasha VX yake kisha huyoo akaondoka zake, mama alikuwa akielekea moshi vijijini huko,.. Tena prini haswa na hata sijui alielekezwa na nani, Dakika kumi mbele tunayasikia manjonjo ya mganga yakimkaribisha mama sarah mana mizimu ilishamuona kabla "taireeee, taireeee, karibuuuuu, karibuuuu,,, nimejua umekuja kwa ajili ganiii… Karibuuuu karibuuuuu, nimekuona toka ulivyoto…