KITABU CHA SHETANI (4) Jina: KITABU CHA SHETANI Mtunzi: Aziz Hashim SEHEMU YA NNE TULIPOISHIA... Edmund akatii alichoambiwa ambapo katika hali ambayo hakuitegemea, msichana huyo mrembo kupindukia alimkumbatia kwa nguvu kifuani huku akipumua kwa fujo mithili ya mtu aliyetoka kukimbia mbio za marathon, ngozi yake laini iliyokuwa na joto la huba vikazidi kumchanganya Edmund. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... “Nakupenda sana Edmund, hata sijielewi mwenzio, nimejikuta nakupenda tu ghafla wakati siyo kawaida yangu,” alisema Samantha kwa sauti ya kudeka, akaanza kumwagia mvua ya mabusu sehemu mbalimbali za mwili wake. Ni kama Edmund alikuwa akiusubiri kwa hamu muda huo kwani hakutaka kulaza damu, naye akawa anamuonesha ushirikiano mkubwa msichana huyo, wakagandana kama ruba huku mapigo ya moyo ya kila mmoja yakizidi kuongezeka kadiri muda ulivyokuwa unazidi kusonga mbele, miguno ya raha ikawa inasikika kutoka kwa kila mmoja. Waliendelea kupasha miili yao ta…