MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (11) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA KUMI NA MOJA TULIPOISHIA... Sam alibaki anashangaa uwezo wa mapigo aliokuwa nao RPC kwani mapigo aliyoyapata hajawahi kuyaona, nguvu alizokuwa nazo wakati anamshika ilikuwa ni kama amebanwa na koleo huku akiwa amenyanyuliwa juu kama karatasi. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Wakati anatafakari na kusikilizia maumivu alinynyuliwa tena na kusukumwa hadi kwenye gari kisha akazamishwa ndani gari likawashwa mpaka ofisini kwa RPC. Aliachwa ndani ya gari kwa muda kisha akarudi afande miraji na maaskari wengine wawili ambao walimchukua mpaka hospitali. Pale hoapitali Sam alipewa huduma za majeraha aliyoyapata kichwani kisha akarudishwa nyumbani akiwa amefungwa mabandeji kichwani alipojigonga ukutani. Sam hakutaka maongezi na mtu yeyote, aliingia ndani akaangalia fedha zake alizopewa baada ya kushinda mechi kisha akaanza kupanga namna ya kutoroka kwani alikuwa n…