MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (12)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (12)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA KUMI NA MBILI TULIPOISHIA... RPC alichukua laptop yake na kuwasha video iliyokuwa inaonyesha kila kitu kilichofanywa pale kwake na Sam . Afande Mbaruku aliangalia kila kitu huku nayeye matamanio yakimshika kwa Jinsi wale mabinti walivyokuwa wazuri na wanaovutia. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Sehemu zake za siri zilikuwa zimenyanyuka haswa lakini alijitahidi kubana miguu ili asijulikane. Pamoja na kila kitu alichokiona lakini akili yake ilinasa jambo ambalo aliliona pale. Aliisogeza ile laptop karibu na RPC na kumwambia… “Naomba unisikilize afande” RPC aligeuza shingo yake na kuanza kumsikiliza Mbaruku…. “Hapa nimegundua kitu kwa kuitazama hii Video” “Umegundua nini?” “Yule kijana hana hatia” “Kama hana hatia naomba umpeleke kwako akaifanye na familia yako pia ili tuwe sawa” “Huko unaenda mbali sana, hebu nisikilize” “Huyu kijana hana hatia kwa sababu alikuwa …