MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (12)

0

SEHEMU YA KUMI NA MBILI
TULIPOISHIA...
RPC alichukua laptop yake na kuwasha video iliyokuwa inaonyesha kila kitu kilichofanywa pale kwake na Sam.
Afande Mbaruku aliangalia kila kitu huku nayeye matamanio yakimshika kwa Jinsi wale mabinti walivyokuwa wazuri na wanaovutia.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Sehemu zake za siri zilikuwa zimenyanyuka haswa lakini alijitahidi kubana miguu ili asijulikane.
Pamoja na kila kitu alichokiona lakini akili yake ilinasa jambo ambalo aliliona pale.
Aliisogeza ile laptop karibu na RPC na kumwambia…
“Naomba unisikilize afande”
RPC aligeuza shingo yake na kuanza kumsikiliza Mbaruku….
“Hapa nimegundua kitu kwa kuitazama hii Video”
“Umegundua nini?”
“Yule kijana hana hatia”

“Kama hana hatia naomba umpeleke kwako akaifanye na familia yako pia ili tuwe sawa”
“Huko unaenda mbali sana, hebu nisikilize”
“Huyu kijana hana hatia kwa sababu alikuwa analazimishwa…angalia vizuri jinsi alivyokuwa anakataa na jinsi alivyokuwa anashawishiwa”
“Alafu kingine wewe umeangalia vibaya hii video…hajatembea na mke wako labda kama una ushahidi mwingine”

Wote kwa pamoja walirudia kuiangalia ile video na kwa kiasi flani RPC alirizika kuwa Sam kwa upande mwingine hakuwa na hatia lakini bado hasira za watoto wake kufanywa na mwanamme mmoja tena ndani kwake aliona kama ni fedheha.
“Sasa wewe usiumie ….nakupa huu ushauri na ninaomba uutekeleze utakusaidia”
“Ushauri gani huo…?”
Mbaruku alichukua mda mrefu kumshauri RPC ambaye kwa shingo upande alikubaliana nae na kisha wakaondoka kwenda Hospitali.
“KAZI HII NIACHIE MIMI” Mbaruku alimwambia RPC baada ya kumaliza kumshauri.
………………………………
Wiki mbili zilikuwa zimekatika kwa Sam kuwa Hospitali akitibiwa…Nyumbani kulikuwa hakukaliki kati ya Verity na Rafiki…walikuwa wanatamani sana kumuona Sam lakini kipigo ambacho kila mmoja kwa siri na kwa wakati wake alipata kutoka kwa baba yao hawakuthubutu hata kidogo kumuulizia Sam.
“Naomba unielewe Verity…nakutaka uachane na Sam na sitaki kusikia habari zake, siku nikisikia nitakuua pamoja nae.”
“Nisikilize Rafiki… unajua wewe ndie BINTI yangu mkubwa na ninakutegemea wewe, hebu achana na Sam urudi chuoni ukasome, mwanaume mwenyewe hana kazi yeyote alafu awe na wewe si mkosi huo, Vumilia mwanangu utapata mwanaume mwingine la sivyo nitamuua huyo Sam.”
Kila mmoja alipewa Wosia wake kutoka kwa Baba yao.
……………………………………..
Sam hakuamini macho na masikio yake siku ambayo alijikuta akiandaliwa kwa ajili ya safari.
Alikuwa amenunuliwa begi kubwa na baadhi ya nguo huku akiambiwa ajiandae kwa safari kesho yake.
Asubuhi kulivyokucha lilikuja Gari la RPC likiwa liko na dereva pekee na Sam akaambiwa apakie humo.
Bado alikuwa haelewi anaenda wapi hadi pale alipokuja RPC kwa dirishani na kumwambia.
“Unaenda CCP Moshi kwa ajili ya Mafunzo ya Uaskari… wewe umechelea na tayari wenzako wako mbele kwa mwezi mzima”
“Ukaonyeshe juhudi, ukifeli shauri yako ila tumewaambia kuwa tayari una mafunzo ya awali

………………………..
“Sam!”
“Naam!”
“Kwanini ulikuwa unataka kutoroka”
“Naogopa kufa?”
“Unaogopa Kufa?”
“Ndio”
“Kwani uliambiwa unakufa saivi”
“Nimeambiwa unataka kuniua”
“Umeambiwa nanani”
“Mimi mwenyewe najua kuwa unataka uniue”
“Nikuue? Hapana unakosea”
“Samahani sana Baba, sikupanga kukukosea, nilijitahidi sana nisikukosee lakini nimeshindwa…nisamehe sana sikutaka iwe hivyo, naomba usiniue…usiniue Baba nipe nafasi tu hata niondoke nikajaribu kutafuta maisha kivingine”

RPC alikuwa anamwagika machozi usoni kwa kile alichokuwa amekibeba moyoni na maneno aliyokuwa anasikia kutoka kwa Sam.
Haikuwa kazi rahisi kwake lakini alikuwa akimpenda Sam, aliishi nae kwa adabu na heshima na kila kitu aliona ni makosa ya kibinadamu isipokuwa alikuwa anajihisi kudhalilika.
“Sikuui Sam…ila umenifanyia kitu kibaya sana, umewatom…b..a watoto wangu wote wawili, najisikia fedheha sana”
“Hapana Baba sijafanya hivyo!”
“Paaaa…”lilikuwa ni Kofi lililotua kwenye shavu la Sam
“Unakataa nini Sam? Unataka nikuonyeshe Video ulizokuwa unawatom..ba watoto wangu eenh? Unafikiri nafurahia kuziona sindio?”
“Nisamehe Baba lakini haikuwa Ridhaa yangu, sitarudia tena”
“Hata usiporudia umebakisha nini sasa, tena huyu Mkubwa umemtoa Bikra kabisa, si utanidharau sana mimi na familia yangu eeenh?”
“Hapana Baba, nakuheshimu sana na ninaipenda familia yetu hii, siwezi kukudharau hata siku moja”
“Usiongee tenaaaaaa, nyamazaaaaa una bahati sana nimeuelewa ushauri wa Mbaruku, na lazima niuzingatie na lazima uutekeleze”
Nenda kalale kesho jiandae kwa Safari!
………………………………
Sam usiku kucha alikuwa hana raha, alikuwa anawaza anaenda safari ya wapi, mawazo yake yote alijua anafukuzwa pale nyumbani.
Kingine kilichokuwa kinampa mawazo ni hali ile iliyokuwa imemtokea pale nyumbani, alijuta sana kwa kila kitu kilichotokea na alitamani kurudisha siku nyuma ili yale yaliyotokea ayazuie yasitokee.
Alimuwaza sana Rafiki ambaye alikuwa ameshampenda lakini hakukuwa tena na uwezekano wa kuonana nae, kila jina la Verity lilipomjia akilini alililaani sana kwani aliamini ndilo lililomuingiza matatizoni.

Mwili ulikuwa umechoka kwa mateso na kadhia alizopitia lakini alijipa ujasiri kuwa kila kitu kitakaa sawa tu.
Alishapaki mabegi yake yote kwani aliambiwa ajiandae kwa ajili ya Safari kesho yake lakini pia akilini mwake alikuwa anatafuta namna nyingine ya Kutoroka.
Japo usiku uliopita alijaribu kutoroka lakini akakamatwa na RPC lakini hakukata tama, alitaka kujaribu tena.
Katika mambo ambayo alikuwa hajui ni kwamba RPC alikuwa ametega kamera za CCTV kwenye nyumba yote.

Kila alichokuwa anakifanya kilikuwa kinaonekana kwa RPC.
Ilipofika mida ya saa Nane usiku aliamua kutoroka, alifungua dirisha na kuruka hadi nje, wakati anazunguka kutafuta sehemu yenye wepesi aruke ukuta alikutana uso kwa uso na RPC.
“Ingia ndani ukalale upumzike kwa ajili ya Safari”
Sentensi hiyo alipoisikia aliamua kurudi ndani na kulala kwani alijua kuwa amezungukwa pande zote.
********************************
Gari ilikuwa inachanja mbuga kwa kasi sana na wakati huu walikuw wanakaribia kufika Makambako.
Mpaka inafika saa nne mchana tayari walikuwa wamefika Iringa, Dereva aliona njia ya kupitia Chalinze ni ndefu hivyo akaamua kukatisha Mtera ili apitie Dodoma.
Waliingia Dodoma na kupita Singida, kisha Manyara hadi walipofika sehemu inaitwa Magugu walishuka wakanunua mchele mwingi wakapakia kwenye cruiser, walikula nyama choma na ugali kisha safari ikaendelea.

Waliipita Minjingu na hatimaye wakaingia Arusha kupitia Simanjiro.
Masaa yaliendelea hadi walipoingia Arusha ikiwa tayari ni saa nne usiku.
Hawakutaka kupumzika sana, waliingia sehem wakachukua chipsi mayai na soda za Kopo kisha safari ikaendelea hadi walipofika Moshi ikiwa tayari ni saa sita Usiku.
Safari hadi nyumbani kwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Moshi ilikuwa nyepesi kwani hapakuwa mbali kutoka pale Moshi mjini. 

Walienda kwa Mwendo wa taratibu hadi walipofika kabisa kisha wakasimamishwa getini na walinzi ambao walikuwa ni maaskari wa Mafunzo pale pale Chuoni.
Walijitambulisha wakakaguliwa kisha wakaruhusiwa kuingia ndani baada ya Simu iliyopigwa kuwapa amri ya kupita.
“Poleni sana na safari”
“Asante sana”
“Kijana mwenyewe ndio huyu hapa eenh”
“Ndio huyu”
“Lete Vyeti vyako haraka sana”
Ilikuwa ni saa saba usiku lakini hawakuruhusiwa kulala isipokuwa usajili ulikuwa unaendelea.
Tarehe zilibadilishwa na kuonekana aliripoti na wenzake kisha akaumwa na kupata ruhusa.
Baada ya kila kitu kukamilika alipewa miongozo kadhaa ya kuishi kule chuoni kisha usiku ule ule akapelekwa Chuoni kuendelea na Mafunzo.
…………………….
Katika watu ambao walikuwa hawana furaha alikuwa ni Rafiki, hakujua kuwa Sam ameenda wapi,na ameenda kufanya nini.
Alitamani kumuuliza mama yake japo kupitia kwenye simu lakini aliogopa kufanya vile.
Masomo yalikuwa hayapandi kwasababu ya Sam lakini hakuwa na uwezo wowote wa kujua alipo, mbaya zaidi hata kwa akina Sam ambapo ndio asili yao hakupajua.
Alijikaza kisabuni mpaka alipofanya mitihani yake ya Mwisho ili arudi nyumbani na kufanikiwa kuimaliza salama.
Alifurahia sana akijua huenda atakaporudi nyumbani anaweza akajua chochote kuhusu Sam.
Siku ya siku aliporudi nyumbani alikuta hali ambayo sio ya kawaida, kulikuwa na watu wengi wakiwamo ndugu wa karibu na Majirani ambapo kwa hali ya kawaida ilionekana ama kama hakuna sherehe basi kuna msiba!

Mafunzo ya uaskari yalikuwa yamepamba moto katika chuo cha Upolisi CCP Moshi, Sam alikuwa anahenyeshwa usiku kucha.
Katika hali ya kumfanya aendane na wenzake alikuwa akipewa mafunzo ya ziada ikiwa ni pamoja nay ale ya Darasani na mazoezi ya ukakamavu.
Katika Mambo ambayo wengi hawafahamu ni kwamba katika mafunzo ya Uaskari masomo ya darasani yana nafasi kubwa kuliko hata yale ya Misuli ama ya kutumia nguvu.
Somo ya “Introduction to national laws” utangulizi katika sharia za nchi ni somo ambalo lilikuwa linapata kipaumbele sana katika mafunzo ya uaskari.

Askari lazima ajue sharia za nchi ili aweze kumbaini mvunja sharia, lazima ajue sharia za nchi ili aweze kuzisimamia na kulazimisha zifuatwe.
Somo lingine ambalo linahusu darasani sana ni somo la usalama barabarani, lazima askari ajue sharia za barabarani kwani siku moja anaweza kuongoza magari barabarani na kusimamia usalama katiaka usafiri.
Masomo mengine kama nidhamu kwa kazi, utii kwa wakubwa kazini, taaluma mbalimbali pia ni masomo ambayo Sam alikuwa anakaa darasani kuyasoma.
Uzuri ni kwamba pamoja na kuwa Sam alikuwa ameingia kwa kuchelewa lakini alikuwa anafanya vizuri sana kwenye mitihani kiasi kwamba wakufunzi walikuwa wanampenda sana.
Alifanya vizuri pia kwenye mazoezi ya viungo na ukakamavu kwani aliyamudu kwa kuonyesha ukakamavu wa hali ya juu.

Katika eneo lingine ambalo alitia for a ni eneo la matumizi ya Silaha, alilimudu kwa kiwango cha hali ya juu lakini zaidi zaidi ilikuwa ni kwenye kipengele cha kulenga shabaha
Katika kulenga shabaha ilikuwa ni ajabu kuwa katika majaribio kumi aliyokuwa anapewa kulenga ilikuwa kama halengi yote basi anakosa moja tu.
Hii iliwashangaza wengi sana, ilifika wakati kwamba mtu anakaa umbali wa Mita mia alafu anaweka ndoo ya maji kichwani alafu Sam anapewa alenge ile ndoo na HAIKOSI.
Wakufunzi walikuwa wanateta kuwa Sam atakuwa ni Sniper mzuri kuliko ilivyozoeleka, ma sniper kama hawa ni muhimu sana wakati wa mapambano kwani wanapunguza idadi ya Risasi za kutumia huku kila risasi kwao ikiwa imetimiza lengo.
Hawa ndio ambao wakiasi wanatumika kufanya uhalifu wa kuua kwa kulipwa kwani akijitega sehemu na kumlenga mhusika hamkosi.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)